Mwitongo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2009
- 312
- 360
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?hone: