Majina ya uswahilini vs Masaki & Oysterbay

Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
360
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?:phone:
 
umekosa cha kuandika wewe ndugu!
aya bwana tushajua umeishi msasani na mikocheni miaka mingi
alafu hii post ni ya fb sio jf kwa great thinkers!
 
kwa sasa ndo unaishi uswahilini.unda tume ya kufanya uchunguzi.
 
umekosa cha kuandika wewe ndugu!
aya bwana tushajua umeishi msasani na mikocheni miaka mingi
alafu hii post ni ya fb sio jf kwa great thinkers!

Mi naona post yake ina hoja ya kujadili alichoandika kina ka ukweli kidogo mi nimeishi uswahilini na ni kweli majina ya kule kwetu ni shida, tabia, sikuzani.
 
Majina ya kike ya uswahilini mengine ni Pili,Tatu,Asha,Fatuma,Sikudhani,sikujua,Taabu, na majina ya uswazi ya kiume ambao ni wauza maji au Matingo ni Rama na Mudi.
 
Mi nimezaliwa Masaki na jina la dada yangu ni Mwanamtokapabaya. JK ameishi regent Estate miaka mingi, mtoto wake anaitwa Mwanaasha, hebu tuondolee magirini yako
 
Tusimlaumu kuna kitu kizuri anataka kuuliza,ila kakosa arts of building arguments..pia tusiendekeze spoon feed hapa JF..tuna mambo mazito ya kujadili mf namna gan rosources katika nchi yetu zitakavyotumika kuinua taifa,ni viongozi gan wenye uwezo wa kuorganize hizi resources kusaidia ktk elimu,afya na maji. Tuna katiba mpya mbele yetu. Mtoa maada tunatambua umuhimu wa kujadili vitu tofaut tofauti, na tunaheshimu swali lako lakin tunakuomba nenda kafanye research(u got research question) then utuletee majibu! Ila kwa sasa macho na akili zetu ni kwenye ujenzi wa taifa!
 
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?:phone:

Huo ni UTUMWA sasa hayo majina yamekuongezea nini katika kipato chako? Fanya kazi acha Upuu-uzi!
 
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?:phone:

Mleta uzi kuna point unataka kui-hit lakini naona kama unazunguka hivi...
 
Tusimlaumu kuna kitu kizuri anataka kuuliza,ila kakosa arts of building arguments..pia tusiendekeze spoon feed hapa JF..tuna mambo mazito ya kujadili mf namna gan rosources katika nchi yetu zitakavyotumika kuinua taifa,ni viongozi gan wenye uwezo wa kuorganize hizi resources kusaidia ktk elimu,afya na maji. Tuna katiba mpya mbele yetu. Mtoa maada tunatambua umuhimu wa kujadili vitu tofaut tofauti, na tunaheshimu swali lako lakin tunakuomba nenda kafanye research(u got research question) then utuletee majibu! Ila kwa sasa macho na akili zetu ni kwenye ujenzi wa taifa!

yani navuta picha jf ingejaa thread zinazousu resources!!
Na inawezekana ata wewe unajiita great thinker!!
 
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?:phone:
Cheap mind discusses about people
 
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?:phone:[/QUOTE
Hawezi kukuta Natalia vingunguti
 
Mi naona post yake ina hoja ya kujadili alichoandika kina ka ukweli kidogo mi nimeishi uswahilini na ni kweli majina ya kule kwetu ni shida, tabia, sikuzani.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chausiku je umemsahau
 
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?:phone:[/QUOTE
Hawezi kukuta Natalia vingunguti
Yapo mengi tu huku tandale kwa mtogole.
 
Majina yanamata wadau. Wewe angalia wenye majina hayo, mfano shida. unasoma nae anaakili darasani lakini ikifika kipindi cha mitihani anaanza kupata shida hadi anashindwa kufanya mitihani. Majina ya ajabu ajabu ya nini kwa mtoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom