Kwa nini umeidharau mada hii; huoni umuhimu wake kwenye jukwaa la michezo? Si siasa au filisofi bali ni habari za michezo.Mzee wangu Kichuguu i have much respect to you. Una heshima kubwa hapa jf. Ni m1 wa senior member hapa jukwaani. Mada kama hizi kwako hazikufai. Maana kuna hatari kubwa ya kuvunjiwa heshima.
Sie tunaokujua kupitia hii jf tunakujua kwa mada zako zenye hoja na zilizoshiba elimu.
Jukwaa hili limejaa wehu. Kwa heshima yako uliyojijengea, kwa maoni yangu hapa hapakufai. Labda kama utapita kuchangia nyuzi za watu wengine.
Acha kumfundisha mzee nidhamu ya wogaMzee wangu Kichuguu i have much respect to you. Una heshima kubwa hapa jf. Ni m1 wa senior member hapa jukwaani. Mada kama hizi kwako hazikufai. Maana kuna hatari kubwa ya kuvunjiwa heshima.