Midavudavu
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 287
- 59
Ninavyojua mimi baadhi ya majina ya sehemu mbalimbali yana maana na eneo husika. Je vipi kuhusu majina haya ya baadhi ya mitaa ya Zanzibar?
1. Mchambawima....hapo zamani kuna watu walikuwa wanachamba wima?
2. Mfereji maringo.....eneo lenyewe halina mfereji, mfereji huo maringo ni wa kufikirika?
3. Kibanda maiti....kulikuwa na kibanda kilikuwa na maiti eneo hilo?
4. Jambiani....vipi huko palitokea nini hadi paitwe hivyo?