M mtoto wa maskini JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 1,152 Reaction score 638 Sep 21, 2016 #161 nyanzobe , nyanzara , nene
Nkungulume JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,987 Reaction score 1,210 Sep 21, 2016 #162 Sikonge said: Nyanso, Kapemba, Kalunde, Misayo, Kutogwa, Chellu, Mwilwa, Mkola, Mazila na Mwasi. Ehh, akina Fundikira wanatunza sana majina ya Kilugha. Safi sana Humu ndani tuna Kichuguu (Kibubunswa) Samahani nilifikiri majina yote............... Click to expand... Haya ni ya kinyamwezi kama jina lako lilivyo utakuwa unatoka Tabora
Sikonge said: Nyanso, Kapemba, Kalunde, Misayo, Kutogwa, Chellu, Mwilwa, Mkola, Mazila na Mwasi. Ehh, akina Fundikira wanatunza sana majina ya Kilugha. Safi sana Humu ndani tuna Kichuguu (Kibubunswa) Samahani nilifikiri majina yote............... Click to expand... Haya ni ya kinyamwezi kama jina lako lilivyo utakuwa unatoka Tabora
M mtoto wa maskini JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 1,152 Reaction score 638 Sep 21, 2016 #163 Mpyena Blazze said: Ngolelwa,Shilolile,Dalahile,Yose,Nyanjige,Sundi,Kabula,Sabuda,Lemi,Milembe,Butogwa,Ng'wipagi,Nyanzala,Beyonce, Rihanna,Ngolo,Bukombe. Click to expand... Nyanjige sio lakisukuma hili la kijita
Mpyena Blazze said: Ngolelwa,Shilolile,Dalahile,Yose,Nyanjige,Sundi,Kabula,Sabuda,Lemi,Milembe,Butogwa,Ng'wipagi,Nyanzala,Beyonce, Rihanna,Ngolo,Bukombe. Click to expand... Nyanjige sio lakisukuma hili la kijita
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,349 Reaction score 36,317 Sep 21, 2016 #164 Victoire said: Nshoma,Nkeya,Minza,Hollo,Nkwaya,Nkwimba Click to expand... Hivi minza maana ake nini? Nalipenda sana hill jina..mengine ni n'gwalu , milembe, chella,kagoli,geha na mkamiti.
Victoire said: Nshoma,Nkeya,Minza,Hollo,Nkwaya,Nkwimba Click to expand... Hivi minza maana ake nini? Nalipenda sana hill jina..mengine ni n'gwalu , milembe, chella,kagoli,geha na mkamiti.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,349 Reaction score 36,317 Sep 21, 2016 #165 Nkungulume said: Haya ni ya kinyamwezi kama jina lako lilivyo utakuwa unatoka Tabora Click to expand... Mjomba wasukuma na wanyawezi ndio wamoja...tofuati ni location tu..wasukuma maana yake wa kaskazini
Nkungulume said: Haya ni ya kinyamwezi kama jina lako lilivyo utakuwa unatoka Tabora Click to expand... Mjomba wasukuma na wanyawezi ndio wamoja...tofuati ni location tu..wasukuma maana yake wa kaskazini
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Sep 21, 2016 #166 Nyamalwa
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,928 Reaction score 5,770 Sep 21, 2016 #167 FirstLady1 said: mungule nyamizi kwangu ............ Click to expand... Kwangu sio jina, ni hadhi anayopewa toto la mwisho
FirstLady1 said: mungule nyamizi kwangu ............ Click to expand... Kwangu sio jina, ni hadhi anayopewa toto la mwisho
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Sep 21, 2016 #168 Bukwabi said: Kwihaya Nyabusu Mbula Nyamiji Mabisi Balatogwa Nyungi Bankolwa Ng'wiza Bingile Mpelwa Bugumba Mageni Nyamalwa Mija Nkwimba Matama Mbalu Bunani Solanyhiwa Click to expand... Asee hilo jina la 3 "mbula"kwetu ni tusi kubwa sana!
Bukwabi said: Kwihaya Nyabusu Mbula Nyamiji Mabisi Balatogwa Nyungi Bankolwa Ng'wiza Bingile Mpelwa Bugumba Mageni Nyamalwa Mija Nkwimba Matama Mbalu Bunani Solanyhiwa Click to expand... Asee hilo jina la 3 "mbula"kwetu ni tusi kubwa sana!
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,119 Reaction score 18,020 Sep 21, 2016 #170 Ngolo,Ng'washi,Mbalu,Luli,Bhozu,Saana, Luja.... Hivi Kulwa na Doto asili yake si usukumani ama?
V Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,006 Reaction score 60,104 Sep 21, 2016 #171 LIKUD said: Hivi minza maana ake nini? Nalipenda sana hill jina..mengine ni n'gwalu , milembe, chella,kagoli,geha na mkamiti. Click to expand... Hata sijui maana yake
LIKUD said: Hivi minza maana ake nini? Nalipenda sana hill jina..mengine ni n'gwalu , milembe, chella,kagoli,geha na mkamiti. Click to expand... Hata sijui maana yake
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,980 Reaction score 4,284 Sep 21, 2016 #172 Nyani Ngabu said: Kwenye lugha nyingi kuna baadhi ya majina ni unisex kwa mfano Tracy na Stacy Click to expand... Ila Stacy Limekaa ki_feminine zaidi.
Nyani Ngabu said: Kwenye lugha nyingi kuna baadhi ya majina ni unisex kwa mfano Tracy na Stacy Click to expand... Ila Stacy Limekaa ki_feminine zaidi.
V Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,006 Reaction score 60,104 Sep 21, 2016 #173 Karne said: Ngolo,Ng'washi,Mbalu,Luli,Bhozu,Saana, Luja.... Hivi Kulwa na Doto asili yake si usukumani ama? Click to expand... Inawezekana,maana mtoto anaezaliwa baada ya kulwa na Dotto anaitwa Shija,anaemfuata Shija anaitwa Mhoja
Karne said: Ngolo,Ng'washi,Mbalu,Luli,Bhozu,Saana, Luja.... Hivi Kulwa na Doto asili yake si usukumani ama? Click to expand... Inawezekana,maana mtoto anaezaliwa baada ya kulwa na Dotto anaitwa Shija,anaemfuata Shija anaitwa Mhoja
V Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,006 Reaction score 60,104 Sep 21, 2016 #174 Victoire said: Ng'wana makani,Ng'wana Derefa,Ng'wana Ng'wandu,Ng'wana Hollo.Shilungushella Click to expand... hayo majina ni maarufu sana Shinyanga Town
Victoire said: Ng'wana makani,Ng'wana Derefa,Ng'wana Ng'wandu,Ng'wana Hollo.Shilungushella Click to expand... hayo majina ni maarufu sana Shinyanga Town
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,030 Reaction score 15,232 Sep 21, 2016 #175 Nimemkumbuka Minza wangu!
D dalaber JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 1,806 Reaction score 1,655 Sep 21, 2016 #179 Nkela Usinde
Mshua's JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 806 Reaction score 554 Sep 21, 2016 #180 PakaJimmy said: Ngulungulu Mwilapwa Ntundu Shitalati Bagenyi. Click to expand... Sijawahi sikia