majina ya humu noma

majina ya humu noma

Badu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
407
Reaction score
106
Sitosahau siku nilipotongoza dume lenzangu humu ndan mi nikidhan ni mrembo kumbe jina 2 lilinichanganya
jamaa alinitus ile mbaaya had asaiv naogopa kuingia humu.
 
hahahahah kuna wengine hata umuulize wewe ni KE au ME hakujibu na uandikaji nao unajikuta unachanganya sana maana huwa unakuta mtu ni ME ila anaandika kama KE so ni ngumu sana Marry Hunbig
 
Last edited by a moderator:

Basi tupeleke proposal kwa mods tunapo jiunga,tutaje gender zetu na ziwe displayed on the forums,au we unasemaje Mr Rocky?
 
Last edited by a moderator:
Donn na Marry Hunbig kweli nakubaliana na nyie tuombe sana kuwe na option hiyo
Kuna siku hapa ilizuka balaa unaongea na mtu as if ni mwanamke kumbe anakuchora tuu mpaka unakuja kushtuka aise kumbe sio mwanamke ni mwanaume ushaumbuka tayari na unaweza jikuta unapata hata ban aise
 
Last edited by a moderator:
hahahahah kuna wengine hata umuulize wewe ni KE au ME hakujibu na uandikaji nao unajikuta unachanganya sana maana huwa unakuta mtu ni ME ila anaandika kama KE so ni ngumu sana Marry Hunbig

mwaka haujazeeka ........heri ya mwaka mpya mkuu mzima nimekumiss 2013...........inakuwa style ya Kongosho
 
Last edited by a moderator:
mwaka haujazeeka ........heri ya mwaka mpya mkuu mzima nimekumiss 2013...........inakuwa style ya Kongosho

asante sana Blaki Womani na heri ya mwaka mpya pia aise
Nimekumiss sana na leo nimekutaja kwenye topic moja ya malezi ya watoto kule MMU naomba uifuatilie sana

hahahahaha ile ya Kongosho at least kuna sehem anafika anakiri yeye ni KE sasa sijui bana
 
Last edited by a moderator:
Sitosahau siku nilipotongoza dume lenzangu humu ndan mi nikidhan ni mrembo kumbe jina 2 lilinichanganya
jamaa alinitus ile mbaaya had asaiv naogopa kuingia humu.

Ha ha ha ...Pole sana usiwe unadandia treni kwa mbele..
 
Donn na Marry Hunbig kweli nakubaliana na nyie tuombe sana kuwe na option hiyo
Kuna siku hapa ilizuka balaa unaongea na mtu as if ni mwanamke kumbe anakuchora tuu mpaka unakuja kushtuka aise kumbe sio mwanamke ni mwanaume ushaumbuka tayari na unaweza jikuta unapata hata ban aise

Hapa naona kwa umoja wetu tuombe hii feature aise
 
Last edited by a moderator:
hahahaha nimekumic Arushaone, kumbe kweli unao wengi maana juzi ulitaka kutolewa macho

...........afu eti kisa nilikusalimia tu Rich woman. Ngoja nisiwamention wasije kukuletea maandamano! BTW mambo mrembo.....!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom