Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
asante kwa mwaliko nipange kwenye kamati ya ulabu nimeshaanda opena za kutosha
asante sana Blaki Womani na heri ya mwaka mpya pia aise
Nimekumiss sana na leo nimekutaja kwenye topic moja ya malezi ya watoto kule MMU naomba uifuatilie sana
hahahahaha ile ya Kongosho at least kuna sehem anafika anakiri yeye ni KE sasa sijui bana
Missing you Blaki Womani my yfu.
asante kwa mwaliko nipange kwenye kamati ya ulabu nimeshaanda opena za kutosha
nitaongea na mama mchungaji kama ivo vitu vitakuwepo.
asante kwa mwaliko nipange kwenye kamati ya ulabu nimeshaanda opena za kutosha
Ulabu hautakuwepo Blaki Womani,nimeokoka miye!
Usihofu nitakupanga kwenye kamati ya vinywaji!
Sijambo Rich woman
Hofu kwako
hata kwa chobisi
Ulabu hautakuwepo Blaki Womani,nimeokoka miye!
Usihofu nitakupanga kwenye kamati ya vinywaji!
hata mie nimeokoka kidogo so ni kwamba unapata karizim cha kucheza mduara
Haya karibu upoze hasira zako (zilizoshindwa kupika viazi).