Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
mbona namuita Kongosho mama na hajaniwakia? confusion iko wapi Mr Rocky :>asante sana Blaki Womani na heri ya mwaka mpya pia aise
Nimekumiss sana na leo nimekutaja kwenye topic moja ya malezi ya watoto kule MMU naomba uifuatilie sana
hahahahaha ile ya Kongosho at least kuna sehem anafika anakiri yeye ni KE sasa sijui bana
Hivi wee una vijihasira?
bi mkubwa nakuhitaji kwenye maandalizi ya harusi
Sitosahau siku nilipotongoza dume lenzangu humu ndan mi nikidhan ni mrembo kumbe jina 2 lilinichanganya
jamaa alinitus ile mbaaya had asaiv naogopa kuingia humu.