Majina ya bar

G8 pub,kinondoni.
 
****** bar iko arusha, onyonya ukunonze bar ipo mosh kiboroloni, neighbours bar iko dar mbezi
 
Nyegeshwa Bar ipo Kibanda cha mkaa
 
sister.Hiyo chako ni chako bar ina tazamana na satarday bar.
Huwa zina wachanganya watu maarufu sasa ni sat bar lakini watu wanaita chako ni chako bar.
inawezekana mana tulikuwa wageni hapo dodoma......wenyeji ndo wakatupeleka hapo wakasema ni chako ni chako ukute na wao wenyewe hawajui vizuri.
 
Mpumalanga Bar



duuu haya majina mengine ya bar kitu kiko tabata iko
 
Nape nepi Bar and Guest House
 
Traffic jam pub-ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…