Majina tata ya matawi ya CUF!!

Hivi kuna siri gani mbona majina ya matawi ya cuf ni ya kishari shari tu

1.Tawi la Cossovo
2.Tawi la chechniya
3.Tawi la Ukanda wa Gazza!!

katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 CUF ilikuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania. Kilikuwa na nguvu sana kama ambavyo wote tunakumbuka, at the same time Majeshi ya Marekani na NATO ndio yalikuwa yanafanza uvamizi Afghanistan ili kuwaondoa Taleban. Sasa ktk uvamizi huo, majeshi hayo yalikuwa yanapata shida ktk baadhi ya ngome/ kambi za Taleban. Wanachama wa CUF wakawa wanafungua matawi na kuyaita majina ya zile ngome Kongwe za Taleban zilizoleta shida kwa NATO kama ushabiki tu mfano, Kunduz nk..


Pia ktk kipindi cha 1998 na 1999, jimbo la Kosovo ktk nchi ya Serbia lilivamiwa na majeshi ya NATO na kupelekea vita ya Kosovo kati ya waasi waliokuwa wanataka Kosovo ijitenge kutoka Serbia Vs. Majeshi ya NATO..ktk vita hii majina kama KOSOVO na CHECHNYA yalisikika ktk duru za kimataifa so ktk vita hii pia CUF wakaokoteza majina na kuunda matawi kisha kuyapa majina hayo.

Kuhusu ukanda wa Gaza, wote tunajua stori ya Gaza Strip..kuna vita ya hapa na pale baina ya majeshi ya Israel na vikundi vya wanaharakati wa kipalestina. CUF wakachukua hlo jina kisha wakaunda tawi na kulipa jina hlo..
Lengo kubwa la hawa watu wa CUF halikuwa na misingi ya amani au siasa endelevu zinazo base ktk LOGICAL REASONING, lengo lao lilikuwa kuji potray kama watu ambao ni HARCORE..ni kwa7bu ya udhaifu huu ndio maana chama hiki sasa kinakufa, hakina strategists, na hakija wekeza ktk siasa endelevu na Modenaizesheni, siasa za CUF za leo ni zile zile za mwaka 2000..
 
Kuna tawi sijui linaitwa Masjid niniiii?!! Ngona nikikumbuka nitawaambia.

..wewe ni mtu mzima na akili zako, badala ya kujibu swali kwa hoja, unaandika ujinga...hv vijana wa watanzania tutastaarabika lini na kujifunza kutumia AKILI na BUSARA??
 
Ukiangalia kimtazamo mwingine....hayo matawi yanamaanisha 'struggle', maana sehemu zote ni za struggle kweli kweli, bila kijalisha anayestruggle ni muIslam au mKristo! Huwezi ita matawi majina kama 'Amani, Upendo, Furaha etc' wakati nchi ipo kwenye struggle! Hayo matawi mi sioni kama yanawakilisha uDini..kwa sababu ukienda kwenye hayo matawi ya CUF yenye hayo majina, kuna wanachama ambao ni waKristo...ikiwemo viongozi, na hawana matatizo na hayo majina kwani yanawakilisha struggle yao!
 
Hivi kuna siri gani mbona majina ya matawi ya cuf ni ya kishari shari tu

1.Tawi la Cossovo
2.Tawi la chechniya
3.Tawi la Ukanda wa Gazza!!

mkuu hayo si majina ya maeneo.. au cossovo & chechiniya inamaana nyingine kiswahili ...??! vipi kuhusu mtaa wa libya k/koo:sleepy:
 
hata matawi ya CCM nayo yana utata wake,mengi yapo maeneo ambayo kisheria iwe makazi au biashara hazipaswi kuwa hapo,hivyo hufungua matawi hayo kuwapoza watawala wasiwafukuze!
 
Mara nyingi matawi ya chama cha CUF yamekuwa yamekaa kiubabeubabe kama vile 'Hapa cheche lazima', Tamil tiger, chinjachinja n.k. Hivi hawa cuf wana malengo mazuri na nchi hii kweli?
 
Chechniya, Kosovo, Faluja- yote yapo Manzese hayo

C - chuki
U - ujahidina na
F - fujo

Makabwela hoyeeeeee!!
 
Mara nyingi matawi ya chama cha CUF yamekuwa yamekaa kiubabeubabe kama vile 'Hapa cheche lazima', Tamil tiger, chinjachinja n.k. Hivi hawa cuf wana malengo mazuri na nchi hii kweli?

Halafu kuna tawi moja wamechora picha ya msikiti wa madina, jina lake torabora! siwaelewi kabisa hawa jamaa.
Wanaonekana siyo chama cha siasa bali chama cha kiimani zaidi
 
Back
Top Bottom