Benki ya NMB PLC yafungua matawi 17 leo, hii ni alarm kwa mabenki mengine

OffOnline

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
564
408
Pamoja na kwamba leo ni sikukuu, Benki ya NMB ambayo ni Mshindi wa Tuzo nyingi zikiwemo za ufanisi wa kazi na huduma bora, kwa mara nyingine tena imeonesha kuwajali Wateja wake kwa kutangaza kufanya kazi leo kwa kufungua matawi yake 19 katika maeneo mbalimbali Nchini.

Taarifa ya NMB imesema Matawi ambayo yapo wazi leo kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana ni Kariakoo, Tegeta, Tandika, Mbezi Louis, Mt. Uluguru, Ifakara, Arusha Market, Karatu, Mbuyuni, Pamba Road, Mazengo, Singida, Kahama na Mwanjelwa.

Matawi ambayo yatakua wazi leo kuanzia saa nne asuhuhi mpaka saa kumi jioni ni Mlimani City Dar es salaam na Rock City Mwanza lakini Tawi la Holili Kilimanjaro limefunguliwa toka saa mbili asuhuhi hadi saa 12 jioni huku Tawi la Kabanga likifunguliwa saa 2 asuhuhi hadi saa moja usiku.

Tawi pekee la NMB ambalo litakua wazi kwa saa 24 ni Mtukula ambapo ukiachia matawi hayo, huduma za Benki zitaendelea kupatikana kupitia NMB Wakala, POS, Lipa Mkononi (QR), ATM, NMB Direct na NMB Mkononi.
 
Yule muhaya wa crdb anawaza ujinga na hajui kwamba tunajua bank statement ya crdb iko mbaya
 
Kuna uzi humu tulihabarishwa Equity Bank of Kenya has assets value larger than NMB, CRDB, and NBC combined! Let alone the bigger banks of Kenya like KCB, etc.
 
Huo urongo tu ndg yangu
 
Back
Top Bottom