Majina tata ya matawi ya CUF!!

Majina tata ya matawi ya CUF!!

Halafu kuna tawi moja wamechora picha ya msikiti wa madina, jina lake torabora! siwaelewi kabisa hawa jamaa.
Wanaonekana siyo chama cha siasa bali chama cha kiimani zaidi

Sasa hao si bora wamechora picha kama urembo, je wale CHADEMA walioingiza mapadri kwenye nafasi za juu za uongozi na hata ubunge si ndio wameonesha kabisa kwamba ni chama cha kanisa?
 
Sasa hao si bora wamechora picha kama urembo, je wale CHADEMA walioingiza mapadri kwenye nafasi za juu za uongozi na hata ubunge si ndio wameonesha kabisa kwamba ni chama cha kanisa?

Kwani uliambiwa padre kuongoza ni laana?
 
Kwani uliambiwa padre kuongoza ni laana?

Sio laana kama ambavyo sio laana kutumia hayo majina. Ila tu inadhihirisha ajenda ya CHADEMA ni kuitawala nchi kikanisa. Chama kina mapdri wa kutosha isipokuwa masheikh tu ndio haina. Si udini huo?
 
F
Sio laana kama ambavyo sio laana kutumia hayo majina. Ila tu inadhihirisha ajenda ya CHADEMA ni kuitawala nchi kikanisa. Chama kina mapdri wa kutosha isipokuwa masheikh tu ndio haina. Si udini huo?

Hayo majina mbona yamekaa kiutemitemi na kiuasi?
 
Acheni udini, mbona hii nchi imeshawahi kuongozwa na Sheikh na wakristo hawakulalamika...

[h=2]Statement of Christian-Muslim Leaders on Horn of Africa[/h]
Under the leadership of the African Council of Religious Leaders (ACRL), Christian and Muslim religious leaders pledged to stand together to end violent conflict in Somalia and the Horn of Africa region. The meeting was graciously opened by His Excellency Sheikh Ali Hassan Mwinyi, the Second President of the United Republic of Tanzania

Since summer 2006, when civil war broke out among warring militias and the Transitional Federal Government (TFG), the area has been increasingly plagued by a resurgence in violation of human rights-particularly against women and children-worsening conditions in refugee and internally displaced persons camps, and rising illicit trafficking in small arms and recruitment and use of child soldiers.

The group of Christian and Muslim religious leaders affirmed their commitment to work together in a written statement, "convinced of the fact that religious and traditional leaders have a role in contributing towards peace and reconciliation process in Somalia and the Horn of Africa and that the issue of peace and reconciliation need not be considered as the responsibility of governments only but also a mandate of religious leaders."
Source:
Statement of Christian-Muslim Leaders on Horn of Africa
 
Hivi ukikuta tawi limeandikwa David Cameroon litakua na mahusiano na Chama gani hapa nchini?
 
kwani kuna shida gani? kwani hayo si majina tu?

Mkuu usituaminishe kwamba jina la kitu ni trivial kihivyo. Jina la kitu ndio kitu chenyewe na lina-reflect hicho kitu na tabia zake. Na ndivyo ilivyo CUF na matawi yake ambayo yana akisi rangi halisi za CUF na wanachama wake - tabia na mienendo yao.
 
Majina ya maeneo ya watu wapingao kukandamiizwa na yeyote awaye, hata kama ana nguvu vipi atatiwa konzi tu na yeye!
 
Naona hawa CCm wanataka kutuambia kuwa CUF ni waislamu na CHADEMA ni wakristu na wanashikilia hapohapo wakisema hawa ni wadini na hawa ni wadini then wao wanapita hapo katikati bila shida.Naombeni sana wanajamii tuwe makini na haya matamshi ya kukipelekea chama fulani kuwa ni cha mrengo fulani maana CCM ndiyo wanaitumia na kupita kiulaini
 
Back
Top Bottom