nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
![]()
Vifo hivi viwakumbushe wanajeshi wetu kwamba watanzania wote ni ndugu na kwamba sote ni mavumbi na mavumbini ni lazima tutarudi. Mateso wanayoyafanya wanajeshi kwa raia wa Mtwara ni ya kinyama!!! Si ya kiutu hata kidogo!!! Ni bahati mbaya kwamba jeshi letu linatumiwa vibaya na wanasiasa!!! Mungu aturehemu sote na roho za wanajeshi hawa zipumzike kwa amani!!
......du! RIP our soldiers....inauma....wameondoka wazima...sasa wanarudi kwenye body bugs....Ifike sasa mahali serikali ya TZ wawe wanafikiria nje ya box....isije ikawa waasi wa uganda wame overlap na kuwafata kuwatandika askari wetu wa kibongo kule Darfur...ikiwa kama response ya waasi(wa uganda)dhidi ya statements za JK kuwataka waongee na serikali zao...I can bet we have lot of enemies around us......na sisi wenyewe wala hatupendani ndani ya nchi yetu.....can't imagine kukitokea vita leo TZ.....sidhani kama uzalendo uliopo TZ sasa ni sawa na ule uliokuwepo tulipochapana na waganda.......