Majina Maarufu ktk Makabila.

Mwakifwamba,
Mwakyusa,
Atuwene,
Atufyigwege,
Matingo,
Njoka Mtali
nk haya ni kwa sie wanyakyusa.
 
We thubutu.
Sie wa TA ni mchanganyiko wa Waarabu na wazungu
Unywele mpaka kunako mpododo.
Utantaka!


Mh sikuiona hii,mbona uliniambia asili yenu ni Tarime..
Na jina lako la utoto lilikuwa Bhoke,mlivyohamia Tanga ndio ukabadilisha
ukajiita Batuli....na ndio kisa cha kujiita Madame B hapa JF....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…