Kuna mwingine aliyekuwa anaitwa Felix; alifariki ghafla sana miaka takriban mitano iliyopita huko St Louis Missouri, tukaambiwa alikuwa member wa hapa JF lakini username yake haikufahamika mara moja.
RIP wenzetu wa JF mliotangulia mbele ya haki; mwenyezi Mungu aendelee kuzipumzisha roho zenu kwa amani.