Utafiti kwa staili hii ukawa ccm watashinda majimbo haya kwa kishindo

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Sio siri kwa staili hii ya ukawa kutokuwa na maelewano katika kusimamisha mgombea ubunge ....ccm hadi sasa wameshashinda majimbo yafuatayoo dar es salaam.
1.jimbo la ubungo.

2.jimbo la segerea

3.jimbo la kigamboni

4.jimbo la ukonga.

5.jimbo la temeke

6.jimbo la ilala.

Sio siri nawaonea sana huruma vijana wanaoishabikia ukawa wakati huku juu hali sio shwali, ..........

Chadema na cuf kusimamisha wagombea pamoja ni mtaji tosha wa ccm ushindi.

Hakika ukawa walianza kwa furaha ila watamaliza kwa huzuni katika hali hii.

5
 
Mwisho wa siku atasimama mmoja tuu...temeke yupo mmoja tu wa CUF chadema hajachukua na Leo tunafungua kampeni kata tandika
 
Sasa mbona hujaelezea utafiti huo kiongozi...umetoka na hitimisho tu!
 
Sio siri kwa staili hii ya ukawa kutokuwa na maelewano katika kusimamisha mgombea ubunge ....ccm hadi sasa wameshashinda majimbo yafuatayoo dar es salaam.
1.jimbo la ubungo.

2.jimbo la segerea

3.jimbo la kigamboni

4.jimbo la ukonga.

5.jimbo la temeke

6.jimbo la ilala.

Sio siri nawaonea sana huruma vijana wanaoishabikia ukawa wakati huku juu hali sio shwali, ..........

Chadema na cuf kusimamisha wagombea pamoja ni mtaji tosha wa ccm ushindi.

Hakika ukawa walianza kwa furaha ila watamaliza kwa huzuni katika hali hii.

5

Mlitaka mgombea awe mmoja ili.muweke pingamizi kirahisi,tumewashika,Tume ikipitisha tu majina ndo kazi itaanza,hayo majimbo uliyotaja yote CCM mna mlima mkubwa
 
Tusimbeze kwani mtaji mkubwa wa CUF unatoka chama tawala. Msukumo wa kugombea sehemu ambayo imeshaamuliwa chama fulani kigombee unatoka chama tawala! Hko chini kweye udiwani ndio kuna mvurugano balaa lakini mwisho wa siku mmoja tu ndio atabakia kupambana na CCM. Mgombea anashinikizwa kuchukua fomu ili tu avuruge makubaliano halafu ukipitia wasifu wake utashangaa kwani hata robo ya sifa hana, sehemu husika hafahamiki, chama chenyewe hakina mtandao sehemu husika yaani ni vurugu mechi tu!!!!
 
Maccm mmebaki kupiga ramli tu, hayo majimbo yote uliyotaja lazima yatue ukawa.
 
Hivi NLD na mzee Makaidi wapo bado? Naona mzee nae kaishia. Mbatia nae hana chama? Mbona sijamsikia hata katibu wake mkuu akiongea hivi karibuni?
Ukawa is all about Lowassa so they are irrelevant at the moment if they don't serve Lowassa's interest!
 
Sio siri kwa staili hii ya ukawa kutokuwa na maelewano katika kusimamisha mgombea ubunge ....ccm hadi sasa wameshashinda majimbo yafuatayoo dar es salaam.
1.jimbo la ubungo.

2.jimbo la segerea

3.jimbo la kigamboni

4.jimbo la ukonga.

5.jimbo la temeke

6.jimbo la ilala.

Sio siri nawaonea sana huruma vijana wanaoishabikia ukawa wakati huku juu hali sio shwali, ..........

Chadema na cuf kusimamisha wagombea pamoja ni mtaji tosha wa ccm ushindi.

Hakika ukawa walianza kwa furaha ila watamaliza kwa huzuni katika hali hii.

5

WE JIDANGANYE TU!TUMESIMAMISHA WAWILI WAWILI ILI MSIJE MKAWANUNUA WATU WA CUF!
Ahahaha
 
Back
Top Bottom