Majimbo haya njia nyeupe kwa CHADEMA

Majimbo haya njia nyeupe kwa CHADEMA

Kikwete vipi haya:
Bwawa la samaki umasaini,
Meli mpya ya kwenda bukoba
Uwanja wa ndege mkubwa Bukoba,
Mwenye kuzikumba ahadi za msanii JK aongeze.....

alisema ataunganisha shule za kata kwenye mkongo wa taifa
 
Ntayafuatilia hayo majimbo tuyafanyie upembuzi yakinifu
 
mbona husemi ya chadema kama vile ilemela nyamagana meatu musoma mjini ukelewe arusha iringa mbeya mjini hawa wote wamefanya nini kama siyo maandamano kila siku?

MAANDAMANO NI sehemu ya utendaji kwenye siasa hasa KAMA serikali yenyewe iliyopo madarakani si sikivu katika kutekeleza Wa maendeleo ya watu.

Sent by chescomatunda using JamiiForums
 
Majimbo pacha ya Iramba magharibi na mashariki yapo wazi kwa CHADEMA. Ni suala la muda tu ufike wayachukue.
 
vipi mnyika kaleta maji ubungo? Vipi halima mdee kajenga barabara msasani mandazi road? Vipi wenje kaishawajengea machinga jengo lao (machinga complex).

rudisheni zile hela za uswiss kama vyote hivyo havitafanywa. Nchi inakwisha kwa ufisadi. What do you expect. Tunahitaji kutatua mfumo mbovu ulioko wa kuwapa watu wachache kumiliki rasilimali za taifa. Kodi tanzania nzima zinalundikwa dar (serikali kuu/hazina) halafu kugawanywa tena mikoani. Wajanja wachache huzila. Hatufiki........kwa mtindo huu.
 
Vipi Mnyika kaleta maji Ubungo? Vipi Halima Mdee kajenga barabara Msasani mandazi road? Vipi Wenje kaishawajengea machinga jengo lao (Machinga Complex).

SOMA KISA HIKI.
Mtoto wa miaka mitatu anamzuia babaake kuingia chumbani baada ya kufika kutoka kazini akamkuta mamaake anavaa hivyo mtoto anamwambia baba usiingie chumbani kwani mama anavaa nguo katoka bafuni.... TATIZO HAPA NI MTOTO KUTOELEWA MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA BABA NA MAMA...

MAJIBU YA JOHN MNYIKA:
 
Kimara Bonyokwa kuna visima vingapi?
 
Hivi kugombea huwa unajiamulia tuu au inabidi uchaguliwe???

Ni demokrasia ya wapi hiyo ambayo mtu anachaguliwa kugombea nafasi yoyote ile?kugombe ni hiari ya mtu na dhamira yake japo matokeo ya kuchaguliwa ama kutochaguliwa ni jambo jingine.Natumwa na dhamila kwamba nina mambo ya kuifanyia Kalenga,hivyo nitagombea tu kama nilivyo onesha awali ili kutimiza dhamila yangu,iwe mvua ama Jua.
 
Vipi Mnyika kaleta maji Ubungo? Vipi Halima Mdee kajenga barabara Msasani mandazi road? Vipi Wenje kaishawajengea machinga jengo lao (Machinga Complex).

Ahadi za Vasco unazipeleka kwa Wenje? Ume sahau mdingi wako ndiye ali ahidi Machinga Complex kila wilaya? Yamemshinda nini?
 
Ahadi za Vasco unazipeleka kwa Wenje? Ume sahau mdingi wako ndiye ali ahidi Machinga Complex kila wilaya? Yamemshinda nini?

Tujenge nguvu ya CHADEMA hasa vijijini ili kazi ya ukombozi iwe rahisi, imeandikwa ukishindana na mpumbavu utafanae.
 
Wakati wa watanzania kujaribu bahati nasibu ushapitwa,hayo majimbo kadhaa yanayoongozwa na chadema mpaka sasa hayana maana ,kwa mfano nyamagana na ilemela hapa mwanza sijaona hata kimoja cha maana kwa hawa masharo baro,na wenje kwa kujua hana issue anajiandaa kwenda kugiombea kwao huko rorya baada ya kujua watu wa mwanza hatuna mchezo na maisha ya kisiasa! ole wake atakayeipigia chadema kura 2015 hakika kizazi chake kitajutia milele!

Wewe mchumia tumbo magamba wamekuwa hapo muda wa miaka 50 ya uhuru wamekufanyia nini cha maana zaidi ya kutuibia na kuwaacha wananchi wako hoi!

Maendeleo yako yanaanzia na fikra kwenye kichwa chako na siyo mikono na miguu yako. Kama Tanzania hatutaweka kichwa kizuri pale ikulu tusahau kupiga hatua yoyote! Viongozi wa majimbo ni mikono na miguu na kichwa ni Raisi. Kama kichwa hakijui kinafanya nini je miguu na mikona itafanya nini?

Kamwe hatutaweza kuendelea kwa kuendelea kurudia kuweka watu walewale ambao wameshindwa kwa miaka 51. Ni lazima watanzania wakubali mabadiliko lasivyo tutaendelea kucheza ngoma ileile na kujifaraji kuwa tunasonga mbele!

Ni lazima tukubali mabadiliko ili tupate mawazo mapya ya kujenga uchumi kwa ajili ya watoto wetu! Tuwashukuru hawa waliotufikisha hapa lakini ni dhahiri kuwa wametosheka na ni muda mwafaka wa wengine kujaribu pia!
 
Ni demokrasia ya wapi hiyo ambayo mtu anachaguliwa kugombea nafasi yoyote ile?kugombe ni hiari ya mtu na dhamira yake japo matokeo ya kuchaguliwa ama kutochaguliwa ni jambo jingine.Natumwa na dhamila kwamba nina mambo ya kuifanyia Kalenga,hivyo nitagombea tu kama nilivyo onesha awali ili kutimiza dhamila yangu,iwe mvua ama Jua.
Tutakutana huko jamaa yangu, mie pia nataka kugombea na ninajua ni mimi pekee nitakayeweza kuibadilisha kalenga na sio vinginevyo
 
Haiingii akilini mwangu kwamba ni wewe tu ndiye mwenye uwezo wa kuibadili Kalenga bali mimi naamini wenye uwezo wa kubadili Kalenga ni wanakalenga wenyewe,bali mtu mmoja miongoni mwao watamchagua wao ili awawakilishe,kwa maana hiyo wewe kuwa tayari kwa kinyang'anyilo ndani ya chama.Mimi najua kutakuwa na wanakalenga wengi watakao chukua form kuomba ridhaa ya kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo udiwani ambao hata mimi nitagombea pia kata ya ULANDA.NATAFUTA UKOMBOZI WA PILI,CHADEMAAA!UHURU WA KWELI NA MAENDELEO YA KWELI.
 
Back
Top Bottom