hivi alipitaje ubunge.?? alichaguliwa au aliteuliwa...ni chama gani huyo jamaa. Ama kweli walioanzisha shule waliona mbali.!..Nini.??.eti hakuna mtu maarufu Tz kama huyo sijui nani,."profesa""!!??? maji yepi mpiga ramli.?? ana maanisha..mi ndo kwanza jana nimemuona, nlikuwa namckia tu...maskini ya Mungu bunge letu..!!
laitani mngelijua kama huyu majimarefu ni mtu wa namna gani, wala asinge waumiza vichwa.....wilaya ya korogwe kuna sehemu inaitwa kilole,karibu na kituo cha tanesco kuna mama mmoja anaitwa mama-maria alikuwa anafanya biashara ya mamantilie,huyu maji marefu na jamaa mmoja anaitwa rama kibonge walikula na kumkimbia huyu mama maria...sasa mnategemea ataongea nini bungeni?
ooops! sijui majini yake ndio yamemuambia aseme utumbo huo!
Walimpa kwa sababu ni mganga wao!tafakari hapo.Maana Korogwe kuna wajinga watupu au!!!?
darasa la saba jamani muoneeni huruma hajui asemaloJana katika kikao cha bunge jioni Mbunge wa korogwe Prof. Maji marefu alisema anayo majina ya wabunge wanaosign na kuchukua posho kutoka mashirika mengine na wakifika bungeni wanadai hawataki posho.. alipoambiwa mwenyekiti wa bunge amsimamishe na awataje akasema asubiri kwanza. Hivi bunge ni la kusema uongo na mtu akatetewa? nilifikiri kama ni Zito amesema hivyo angeambiwa awataje maramoja.....Jamani awataje basi
hivi alipitaje ubunge.?? alichaguliwa au aliteuliwa...ni chama gani huyo jamaa. Ama kweli walioanzisha shule waliona mbali.!..Nini.??.eti hakuna mtu maarufu Tz kama huyo sijui nani,."profesa""!!??? maji yepi mpiga ramli.?? ana maanisha..mi ndo kwanza jana nimemuona, nlikuwa namckia tu...maskini ya Mungu bunge letu..!!
Jana katika kikao cha bunge jioni Mbunge wa korogwe Prof. Maji marefu alisema anayo majina ya wabunge wanaosign na kuchukua posho kutoka mashirika mengine na wakifika bungeni wanadai hawataki posho.. alipoambiwa mwenyekiti wa bunge amsimamishe na awataje akasema asubiri kwanza. Hivi bunge ni la kusema uongo na mtu akatetewa? nilifikiri kama ni Zito amesema hivyo angeambiwa awataje maramoja.....Jamani awataje basi