Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Kama chadema hawaitaki act waache kulialia ,eti act wanagawa kura za upinzani waacheni act wafanye siasa za upinzani wakiwa huru hatutaki act waungani na hawa matapeli wa siasa.
ACT itachukua dola ikiwa kama chama kimoja hatuhitaji muungano kufanikisha hilo tupo tayari kusubiri hata 2025.
 
Ebu angalia kamusi yako maana ya MJINGA, tunajifunza kila siku.
...............................................................................................................................................................................
Nimejikuta nimekumbuka kipande cha hekima za Mwenyekiti wa Kijiji chetu.Japo ni nje ya mada, nisamehe kushare nawe neno la ufahamu


  • Ndugu Zangu,

    KUNA tofauti ya mjinga na mpumbavu. Marehemu Mzee Jongo alipata kutamka; ” Kusoma sio kuufuta ujinga, bali ni kuupunguza”. Kila mwanadamu ana ujinga wa jambo moja au mia moja. Kuwa na ujinga wa jambo si kosa, hata Profesa anaweza asijue namna ya kuchochea kuni za kuchomea hindi bichi likachomeka. Kijana wa darasa la saba anaweza kuwa hodari wa jambo hilo kumshinda Profesa.

    Lakini upumbavu ni ile hali ya mwanadamu kufanya jambo isivyotakiwa huku akiwa na uelewa wa namna ya kufanya inavyotakiwa. Huo ndio upumbavu. Na ndio maana binadamu kuitwa mpumbavu ni tusi. Kuitwa mjinga si tusi, kila mmoja ana ujinga wake. Kuwa na ujinga wa jambo fulani ni kutoelewa jambo hilo. Ni nani anayeelewa kila jambo?

    Na mwanadamu unafanyaje unapoamka na kukuta dunia unayoishi ardhi yake imeanza kumegeka na kuchotwa na bahari? Kuna niliyemwuliza swali hilo. Naye akanijibu; ” Huo ndio utakuwa mwisho wa dunia!” Aliyenijibu alikuwa amechoka kufikiri. Nilidhani amgetamka, kuwa angeanza kujifunza kuogelea. Maana, kwa kuogelea majini angeweza kukutana na kisiwa, au nchi kavu.

    Wanadamu tumejaliwa akili ili tuweze kufikiri. Na kufikiri ndio njia mojawapo ya kuiteka kweli. Kufikiri kunahamisha milima na hata kuiweka kando kuruhusu mwanga upite. Inakuwaje basi mwanadamu anapoacha kufikiri? Na hilo ni Neno La Leo.

    Maggid
    Iringa,
    Jumanne, Machi 22, 2011
    http://mjengwa.blogspot.com




Naona wewe unatamani kuota mkia wenye usinga ili uwe na uwezo wa kufukuza nzi kama ng'ombe kwa sababu tu unadhani itakuwa ni hatua ya kukuongezea maarifa kama ng'ombe.

Niko nje kabisa ya uwezo mdogo kama huo. Niko kiwango cha kujieleimisha na sistahili kujiita mjinga kama wewe unavyotamani. nahisi ni kweli maana labda lazima uelimishwe na mwingine.
 
Nimetambua kitu wanaobattle na ACT zaid ya mamluki wa ccm chadema haina hoja na zitto so stop wasting too much energy on these nonsenses
 
hakuna kama ZITTO tz

Nawe umekuja na misemo kama ya nyimbo za injili! Dah! tuna kazi kweli. Jamani kama jamaa anazo za kugawa nami naomba maana baada ya wadau wa maendeleo kuzuia misaada, hali ni ngumu.

Zitto kama unanisikia nami naomba hizo pesa za mgao, lakini mgao wangu ulingane na ubora wangu. Sina mzaha!
 
Nimetambua kitu wanaobattle na ACT zaid ya mamluki wa ccm chadema haina hoja na zitto so stop wasting too much energy on these nonsenses

Nina hakika bado hujatambua!
Kwa upande wangu sina shida na mambo ya vyama maana kama ni nonsense, zimejaa huko kwenye siasa. Kwenye mjadala huu tatizo ni wale wanaodhani Zitto ni bora hata kuliko wao! Mi namfahamu kwamba ni mmoja kati ya wale ambao ni nonsense! hana lolote.
 
Naona wewe unatamani kuota mkia wenye usinga ili uwe na uwezo wa kufukuza nzi kama ng'ombe kwa sababu tu unadhani itakuwa ni hatua ya kukuongezea maarifa kama ng'ombe.

Niko nje kabisa ya uwezo mdogo kama huo. Niko kiwango cha kujieleimisha na sistahili kujiita mjinga kama wewe unavyotamani. nahisi ni kweli maana labda lazima uelimishwe na mwingine.

Nakumbuka Mwalimu Nyerere alipata kusema "kuwa na akili ni pamoja na kujua kitu unachokijua na kile usichokijua". Maana yake usipokijua-usichokijua, ipo shida kubwa, sio jambo la kawaida!!

Sie binadamu wote, hakuna ata mmoja asiye mjinga, sote tuna ujinga wetu sehemu fulani.Jambo la muhimu ni kila siku kupunguza ujinga huo.Ndio maana ya kujifunza.Kutojifunza ni sawa na kuwa mfu maana uhai upo kwenye fikra.Na huwezi kujifunza kama hujui usichokijua.
 
any proof ya hizo tiss tafadhali coz mmeumbwa kusema msioyajua na kusikiliza msichokiona weka proof
 
Kwan James Mbatia aliacha lini kuwa kibaraka wa CCM?
CUF iliacha lini kuwa CCM B ?
Vipi kuhusu ving'ola na usalama wa Taifa anaotembea nao Maalim Seif, ameporwa hadi leo awe UKAWA??

Jiwe mnalikataa leo, kesho mtaligombania. Mark my Words


Mkuu, usimwamshe aliye lala.
 
wewe kweli mwehu..hizi cheap propaganda na character assassination dhidi ya ZZK mnazitunga na kuziamini wenyewe. si yeye wala usalama wa taifa wenye haja ya kuwajibu.
uzuri ni kwamba ,,, hao wote(zzk na TISS)WAMEWAZIDI AKILI KWA UMBALI MREFU SAAANA KIASI CHA KUTOBABAISHWA NA PROPAGANDA ZA KIBANGIBANGI mnazoziendesha. jiulizeni, kwa nini pamoja na kutumia nguvu nyingi,fedha nyngi na muda mwingi lakini bado mmeshindwa kumteteresha!!!?? ni kwa sababu hamna akili, hamna busara, mmejaa usanii,hamna uzalendo na zaidi ni kwamba mnaendesha chama kama kikundi cha wavuta bangi na wahuni.
MNA KILA SABABU YA KUPANICK na siwalaumu ktk hilo
the man zzk is cruising na hamuwezi kumzuia
subiri matokeo ya uchaguzi hapo october ndio mtamsujudu na kumuimba

Shukrani mkuu, umewamaliza kabisa
 
Acha kudanganya uma.hunania ya dhati ya kuiondoa ccm wewe.wakati tunajua fika kua ccm wadhamin wa act.wewe ulianzisha chama cha act ukiwa ndani ya cdm.huo uzalendo mbona hukuufanya ukiwa cdm kama wewe hukua mroho wa madaraka.yani mm cna akili za kushikishwa.kawaokote hao wasiojitambua.
 
Tafuta tu uzi huku humu utapata....
Kwa hiyo umechapia unadhani walisema hivo kumbe walichosema ni kwamba wataweka wazi hesabu zao za Mapato na Matumizi kwa mwananchi yeyote anayetaka kujua. Uwazi sio ktk mitandao japo binafsi yangu ukiniuliza sioni kabisa sababu ikiwa mahesabu yao hayajapitia ukaguzi wa TRA ktk file Kodi kila mwaka. Yapo mambo ambayo ACT wameyachukua ambayo sioni umuhimu wake wala faida yake isipokuwa ni mchezo wa siasa tu.
 
Taarifa rasmi toka ukawa kupitia m\kiti mwenza mh. Mbowe ACT ifuate taratibu kujiunga UKAWA. ZZK acha ubabaishaji.
 
Mkuu JokaKuu,
Mie bado ninasubiri vyanzo vya mapato vya ACT wazalendo.. Walituhadi mwenyewe tena kwa mbwembwe kweli kuwa mapato na matumzi yataletwa kila baada ya miezi 3 humu humu Jamii forum..

Cha kusikitisha sasa tunakwenda mwenzi wa 10 hakuna cha mapato na matumizi na tukuulza wanasema tumamuulie Mzee Mtei kule Tengeru..

Yaani huyu kijana ni mjengo hoja kweli kweli, na ni msomi Tanzani nzima hakuna... Ila isije kuwa tumeisha uzwa kwa Andrea Codes (Ujerumani)Maana wanasiasa hawaminiki kama alivyowahi sema wenyewe (Husimwamini wana siasa- by Zitto Kabwe)

Pia tunasubiri kuona mali na madeni ya viongozi wa ACT.. Mwigamba na mama Mwenyekiti Zingatieni katiba ya ACT..
.Aione Mkandara :shocked::shocked: na Kapwela

Swali hilo la mapato Zitto aliulizwa katika mkutano wa Furahisha Mwanza na majibu yake yakawa ya jazba ambapo alijibu hivi:

"Nenda kamuulize mbowe alitoa wapi fedha za kujenga chadema. Huko alikozipata ndiko nasi tunazipata"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeisoma hiyo kwa makini au? maana wanazungumzia wao kutoka Bungeni wakati wa Kuapishwa JK.. come on now! tulipinga wengine humu JF kitendo hicho kwa sababu utaratibu upo na unalazimika kuufuata. Mnapopinga matokeo ya NEC ni hatua ya kwanza, kisha kuna mahakama mna kuachia Mahakama itoe maamuzi, nao wakisha amua mshindi nani basi huna jinsi. JK ni mteuliwa tu huwezi kumgomea yeye kuwa badala ya system nzima ilikuwa aibu tupu.

Mara nyingi sana kutomtambua rais ni kutoyatambua matokeo, sasa wanapokwenda Bungeni kama Wabunge walotambua matokeo yao, halafu inapokuja swala la rais unatoka nje. Unafiiri ingekuwaje kama Chadema wangeingia Bungeni CCM waka walk out? kwa sababu hawatambui baadhi ya wabunge wake. Mnaweza sema namtete ZZK lakini kama kweli chama kingeendelea na kutomtambua toka atangazwe na wakaweka mikao mahakamani,watu wakakusanyika kama Misri vile kupinga matokeo ya NEC hapo ningesema kweli Chadema imeiva na inataka mabadiliko. lakini upuuzi ule utanisamehe mkuu hata mimi nisingetoka.

Hii ya Bunge la katiba nisingetoka maana unaawachia nafasi CCM bure kabisa kutengeneza katiba yao kisha unaiita katiba ya Chenge! wewe ulikuwa wapi ilihali umekula hela za wananchi halafu una ujasiri wa kutoka unapopenda kama vile Katiba itatokana na uamuzi wako, tena wmnatumia Uchama kuitana Ntarahamwe yaani Katika ilikuwa ya vyama sio ya wananchi. Sina baya na Chadema lakini wakati mwingine inaonekana kabisa Akili ndogo kuongoza Akili kubwa..

..kwanza matokeo ya uchaguzi wa raisi hayawezi kupinga mahakamani.

..pili matokeo ya ubunge yanaweza kupingwa mahakamani.

..hivyo ndivyo katiba yetu ya sasa inavyoelekeza.

..siyo kweli kwamba unatakiwa usitambue matokeo ya ubunge na raisi kwa pamoja. mbona Kenya na Ghana, ambako matokeo yanaweza kupingwa mahakamani, walikwenda mahakamani kupinga matokeo ya uraisi lakini siyo ubunge?

..tatizo la Zitto ni kwamba kulifanyika kikao cha wabunge wa CDM na huko kwenye kikao ikawasilishwa hoja ya kutoka bungeni wakati wa hotuba ya raisi. huko kwenye kikao chao wabunge, waliounga mkono kutoka nje walishinda kwa kura. kwa msingi huo kila mbunge wa CDM alipaswa kuzingatia uamuzi huo. sasa siku ya kutekeleza uamuzi huo Zitto akiwa ndiye naibu kiongozi wa wabunge wa CDM hakutokea bungeni!!

..Kuhusu hili la kususia bunge la Katiba hata kipenzi chako, Zitto Kabwe, naye alitoka bungeni. Sasa huyu siku zote mnasema ana akili nyingi sana, kwa hiyo hoja yako ya akili ndogo kuongoza akili kubwa naona haina mashiko.
 
Back
Top Bottom