Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

..kwanza matokeo ya uchaguzi wa raisi hayawezi kupinga mahakamani.

..pili matokeo ya ubunge yanaweza kupingwa mahakamani.

..hivyo ndivyo katiba yetu ya sasa inavyoelekeza.

..siyo kweli kwamba unatakiwa usitambue matokeo ya ubunge na raisi kwa pamoja. mbona Kenya na Ghana, ambako matokeo yanaweza kupingwa mahakamani, walikwenda mahakamani kupinga matokeo ya uraisi lakini siyo ubunge?

..tatizo la Zitto ni kwamba kulifanyika kikao cha wabunge wa CDM na huko kwenye kikao ikawasilishwa hoja ya kutoka bungeni wakati wa hotuba ya raisi. huko kwenye kikao chao wabunge, waliounga mkono kutoka nje walishinda kwa kura. kwa msingi huo kila mbunge wa CDM alipaswa kuzingatia uamuzi huo. sasa siku ya kutekeleza uamuzi huo Zitto akiwa ndiye naibu kiongozi wa wabunge wa CDM hakutokea bungeni!!

..Kuhusu hili la kususia bunge la Katiba hata kipenzi chako, Zitto Kabwe, naye alitoka bungeni. Sasa huyu siku zote mnasema ana akili nyingi sana, kwa hiyo hoja yako ya akili ndogo kuongoza akili kubwa naona haina mashiko.
Mkuu nililiweka hivi makusudi uingie 18 zangu. Sasa nikuulize kazi ya Wabunge ni nini pale bungeni? Si kutunga Sheria! iweje hawa watu wapo miaka 20 bungeni hata siku moja hawajafikiria kuibadilisha sheria hiyo. hata kusimamisha mswada tu unapinga Rais kutangaza na NEC imetoka. Kwa nini wasiweke muswada rais kutotambuliwa hadi uthibitisho wa kura halali umefanywa kwa hatua kadhaa iwe kupitia vyombo vya kimataifa au vinginevyo!.

Watu mnakwenda Bungeni kubishana juu ya mambo ambayo hayahusu kabisa Sheria tena jambo kubwa kwenu ni mahakama ya kadhi mwaka mzima mnabishana na ndio sheria pekee. Toka !993 kuna Ammendments ngapi zimefanyika katika katiba ya mwaka 1977. sasa ni swala la kuwatazama hawa wabunge wetu huenda Bungeni kufanya nini ikiwa sheria zenyewe sii jambo la muhimu kwao isipokuwa mwaka mzima ni matusi na kubishana juu ya Ufisadi..

Mkuu wangu, wabunge wanapokuwa bungeni ni wawakilishi wa Wananchi sio chama, kila mbunge anawajibika kwa wananchi. Na ndio maana hata wakati wa kura unaweza kuta mbunge wa Chadema akapiga kura ya NDIO wakati wenzake wamepiga kura ya HAPANA na hivyo hufanyika ushauri na kujaribu kumvuta mbunge akubaliane na hoja yenu. Mabunge yote duniani hufanya hivyo. hakuna mbunge anayelazimika kukitumikia chama ikiwa swala lenyewe halihusiani na Itikadi, sera na Ilani ya chama.

Chadema kuamua kuondoka Bungeni siku ya kuapishwa JK ni uamuzi wao, sio wana Chadema wote wanakubaliana na maamuzi hayo. Halafu mbona hazikupita siku wakanyoosha mikono, na kurudi pale pale ZZK alipokuwa. Kama ingetokea kweli Chadema wamesimama ngangali na kupinga matokeo hadi ikafikia hatua fulani ya maridhiano, sawa lakini ukweli ni kwamba Chadema wenyewe waliona wanapoteza muda na kujirudi wakakubali kile walichokikataa.

Unajua mwangu wakati fulani hugoma kula Ugali akasema hataki nami humuacha sitengenezi kitu chochote. Akitaka kula Ugali ule pale, dagaa kwa Mrenda saafi mezani, baada ya njaa kumshika sana hujikokota akaenda kula akashiba na akalala saafi...Mshindi miye.
 
Kapwela,

..hayo majibu uliyotoa ktk post yako #260 ndicho haswa kilichotegemewa wakati Kamati Kuu ya CDM inamteua mama mzazi wa Zitto Kabwe kuwa mjumbe wa kamati ya usuluhishi.

..ninachotaka kusema ni kwamba CDM walitumia kila njia ili Zitto aendelee kubaki ndani ya chama. Walijua thamani ya Zitto kwa CDM.

..Kafulila na wenzake hawakupata bahati kama Zitto, ya mama zao wazazi kuteuliwa ujumbe wa kamati ya usuluhishi. yaani hawa hawakupewa hata nafasi ya kuundiwa kamati ya namna hiyo.

..Tatizo la Zitto siyo kwamba chama chake kilikuwa hakimthamini, bali ni usaliti, umimi, na kuamini kwamba ana akili kushinda viongozi wenzake, especially mwenyekiti wa chama.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nililiweka hivi makusudi uingie 18 zangu. Sasa nikuulize kazi ya Wabunge ni nini pale bungeni? Si kutunga Sheria! iweje hawa watu wapo miaka 20 bungeni hata siku moja hawajafikiria kuibadilisha sheria hiyo. hata kusimamisha mswada tu unapinga Rais kutangaza na NEC imetoka. Kwa nini wasiweke muswada rais kutotambuliwa hadi uthibitisho wa kura halali umefanywa kwa hatua kadhaa iwe kupitia vyombo vya kimataifa au vinginevyo!.

Watu mnakwenda Bungeni kubishana juu ya mambo ambayo hayahusu kabisa Sheria tena jambo kubwa kwenu ni mahakama ya kadhi mwaka mzima mnabishana na ndio sheria pekee. Toka !993 kuna Ammendments ngapi zimefanyika katika katiba ya mwaka 1977. sasa ni swala la kuwatazama hawa wabunge wetu huenda Bungeni kufanya nini ikiwa sheria zenyewe sii jambo la muhimu kwao isipokuwa mwaka mzima ni matusi na kubishana juu ya Ufisadi..

Mkuu wangu, wabunge wanapokuwa bungeni ni wawakilishi wa Wananchi sio chama, kila mbunge anawajibika kwa wananchi. Na ndio maana hata wakati wa kura unaweza kuta mbunge wa Chadema akapiga kura ya NDIO wakati wenzake wamepiga kura ya HAPANA na hivyo hufanyika ushauri na kujaribu kumvuta mbunge akubaliane na hoja yenu. Mabunge yote duniani hufanya hivyo. hakuna mbunge anayelazimika kukitumikia chama ikiwa swala lenyewe halihusiani na Itikadi, sera na Ilani ya chama.

Chadema kuamua kuondoka Bungeni siku ya kuapishwa JK ni uamuzi wao, sio wana Chadema wote wanakubaliana na maamuzi hayo. Halafu mbona hazikupita siku wakanyoosha mikono, na kurudi pale pale ZZK alipokuwa. Kama ingetokea kweli Chadema wamesimama ngangali na kupinga matokeo hadi ikafikia hatua fulani ya maridhiano, sawa lakini ukweli ni kwamba Chadema wenyewe waliona wanapoteza muda na kujirudi wakakubali kile walichokikataa.

Unajua mwangu wakati fulani hugoma kula Ugali akasema hataki nami humuacha sitengenezi kitu chochote. Akitaka kula Ugali ule pale, dagaa kwa Mrenda saafi mezani, baada ya njaa kumshika sana hujikokota akaenda kula akashiba na akalala saafi...Mshindi miye.

..ninavyoelewa mimi kwa muda mrefu vyama vya upinzani vilikuwa vikipiga kelele kufanyike mabadiliko makubwa ya sheria ya uchaguzi, pamoja na katiba nzima.

..sasa kutokana na uchache wao huko bungeni kilio hicho kilichukua muda mrefu kusikilizwa. kwa kifupi CCM huwa wafanyii kazi kero yoyote ile mpaka pale wanapoona kero hiyo inaweza kuwapa nguvu wapinzani.

..Hili suala la Katiba lilishindikana kwa njia kujenga hoja za kistaarabu. Kile KITUKO walichofanya wabunge wa CDM cha kutoka wakati Raisi anahutubia ndicho kilichowashtua CCM na kuamua kushughulikia suala hili la katiba.

..Suala la mbunge kuwa ametumwa na wananchi au chama linahitaji mjadala wa peke yake.

..YES, nakubaliana na wewe kwamba wabunge wa CDM hawaku-consult na wananchi kama watoke bungeni wakati Raisi anahutubia au la. Sidhani kama wabunge huwa wana-consult wananchi ktk kila jambo ambalo wanalazimika kulifanyia maamuzi ndani ya bunge.

..Pia wewe unazungumzia KURA YA MBUNGE, wakati CDM hawakuwa wanapiga kura mle bungeni. Miswada ndiyo hupigiwa kura na mbunge anaweza kuwa na muda wa kuwashirikisha wananchi akapige kura ya namna gani mswada utakapowasilishwa.

..Uamuzi wa kutoka bungeni wakati Raisi anahutubia ndiyo kati ya hizo scenarios nilizokwambia kwamba hakuna muda wa kutafuta ushauri wa wananchi. Mbunge anatakiwa afanye maamuzi akitegemea atakwenda kuutetea uamuzi wake kwa wananchi waliomtuma. Hicho ndicho ambacho wabunge wa CDM walifanya.

..Mimi naamini kitendo kile cha kutoka bungeni wakati Raisi akihutubia ndicho kilichopelekea serikali kufanyia kazi kilio cha kuandika upya katiba yetu.

NB:

..Ningekuwa mjumbe wa bunge la katiba ningetoka katikati ya hotuba ya Raisi aliyoitoa siku anafungua bunge hilo.
 
Mkuu wangu mara unasea Chadema walifanya mkutano na kukubaliana watoke nje wakati wa kuapishwa JK, sasa unasema tena sio kila mara wabunge wanatakiwa kupata ridhaa ya wanachama wao juu ya jambo kama hili. Unajua kumkana rais linahitaji nguvu kubwa ya wananchi na sio chama. wananchi ndio wenye uwezo mkubwa wa kumkana rais kwa maandamano ama kuach ahata kufanya kazi na moto ukashinka.

Sasa ikiwa chama hakikuandaa mpango huo na wanachama wake, wakalipelekea hadi wananchi waunge mkono inakuwa shida kufanya maamuzi yasokuwa na baraka za wananchi wenyewe. hapa ndipo niliposimama mimi na ukweli ni kwamba Vyama vya Upinzani kwa miaka yote kufikia 2010 hawakuwajhi kuiweka hoja hii ili ibadilishwe sheria hiyo isipokuwa katika waraka wa Warioba hata kabla mapendekezo hayo hayajafika kwa wanasiasa. Ina maana hoja nzima imetokana na wananchi sio wanasiasa.

Anyway tusiendelee kubishana juu ya jambo lilokwisha pita lakini hizi habari za kwamba Zitto alibebwa sana wakati wapo watu wanafanya makosa ambayo hata mwananchi wa kawaida anayaona hawachukuliwi hatua ila Zitto MSALITI kusema kweli siafiki. Leo Chadema inaajipambanua kuwa chama cha walokole halafu tuseme wengine mtuite Wadini inatoka wapi? Niliyaona CUF kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2010 nikasema hicho ndicho kitakuwa kifo chao na kweli bara walitoka watupu sio sababu ya Rashid kutoka chama bali maamuzi yao wenyewe.
 
..wabunge wa CDM walifanya KIKAO na wakaazimia kutoka nje wakati Raisi anahutubia bunge.

..hata kama hukubaliani na kitendo kile, lakini utakubaliana nami kwamba kilifungua ukurasa mpya ktk historia ya nchi hii.

..Raisi alikuwa kama mungu mtu. Alikuwa na nguvu za ajabu, sasa kitendo kile kwa kweli naamini kiliwafungua macho wananchi wengi na kuona kumbe inawezekana.

..Sasa kuna maamuzi mengine mbunge anatakiwa kufanya na muda hamruhusu kutafuta ushauri/ridhaa ya wapiga kura wake. Inapofika wakati huo mbunge analazimika kuchukua uamuzi, na kama wananchi hawakubaliani na uamuzi wake huo basi wanaweza kumuadhibu wakati wa uchaguzi.
 
Kitendo cha kutoka wakati rais anaapishwa unasema ilikuwa ufunguo Mpya? Mkuu wangu waanchi ndio waloweza kuweka ufunguo mpya ktk siasa za bara tena wakati wa Mkapa akizomewa na kutupiwa hadi mawe, lakini vyama vya siasa havikuweza kuwa pamoja nao. Navyosikia mimi sikuwepo ilifikia hadi Nyerere kulihutubia taifa na kuonya juu ya Utawala bora na toka pale Nyerere naye wakamtosa wakamuacha afilie mbali na Ukanda wa jeshi tu.

Mimi naweza sema hakuna rais alowachezea akili bunge kama JK kwa sababu aliwajua kwamba wana njaa tu, hawana lolote na kusema kweli uitzama jinsi walivyokuwa wakililia vyeo mle utafahamu ya kwamba Bunge lilopita lilikuwa usanii mtupu. maamuzi yoyote ya Mbune bungeni lazima yawe yanakubaliana na itikadi, sera na Ilani ya chama ama matakwa ya wananchi wake. Mbunge ni lazima ufahamu yote haya sii kuingia Bungeni ukitegemea akili yako huwezi kutatua matatizo pasipo misnigi hiyo.

Anyway nimesema tuyaache kama yalivyo Zitto ataendelea kuwa Zitto na hanijui wala hana mpango na mimi hivyo yachukulie maelezo yangu mimi kwa sababu zamani niliamini Zitto mkorofi na nikaandika mengi kiasi kwamba alinikata kwenye FB yake, Twitter na hata simu yake na sina mawasilaino naye kabisa. lakini baada ya kuujua ukweli nilikuja gundua mengi nyuma ya watu wengi japo sii wote waliopo Chadema.
 
..Mkapa azomewe na kutupiwa mawe na wananchi?!!

..THUBUTU!! Tena IGP wakati huo alikuwa Omari Mahita.
 
Alaa huko Mbeya msafara wake ulipata mshikeshike kama hukumbuki vizuri..

..sina uhakika kama ni propaganda au kweli.

..nilichosikia mimi ni JK ndiye alifanyiwa kituko hicho.

..Unajua kwa huu uzee wangu, ukiniambia Mkapa alitupiwa mawe hata BP inapanda.

..Yaani unanipeleka kufikiria ni nini IGP Mahita angekwenda kufanya.

..Hebu tuyaache hayo.
 
Kweli tuyaache ila nikwambie katika Marais alochokwa na wananchi alikuwa Mkapa na alipata watetezi wengi sana. Hii JF yenyewe kabla toka tukiwa Nyenzo, BCS na Jambo ilipata umaafuru kulitokana na Mkapa.
 
..Mkapa alikuwa na "kawawa" wake, Frederick Sumaye, ambaye alikuwa anabeba mzigo wa madhambi yote ya Mkapa.

..watu walikuwa wanamlaumu Sumaye kwa ufisadi huko wakimfichia Mkapa madhambi yake.

..mimi nimekuja kugundua kwamba waliokuwa wakifanya hivyo ni wana mtandao.

cc Nguruvi3
 
Sumaye alikuwa kama Lowassa kwa JK na alipigwa vita kwa sababu ndiye alokuwa tishio kwa uchaguzi wa JK ndani ya CCM 2005. Walipolikata jina lake uwanja ukawa wazi lakini kwa wananchi walimchoka Mkapa na wakamtaka Sumaye wakidhani atapiga vita Ufisadi. Hii picha ya Lowassa na JK inanikumbusha sana enzi ya Mkapa yaani tulidhani Sumaye na Mkapa haziivi, kumbe dugu moya!..
 
..Mkapa alikuwa na "kawawa" wake, Frederick Sumaye, ambaye alikuwa anabeba mzigo wa madhambi yote ya Mkapa.

..watu walikuwa wanamlaumu Sumaye kwa ufisadi huko wakimfichia Mkapa madhambi yake.

..mimi nimekuja kugundua kwamba waliokuwa wakifanya hivyo ni wana mtandao.

cc Nguruvi3
Na walifanikiwa ku-sideline Sumaye na kukata makali yake
Ndio maana Fred anataka kurudi baada ya kugundua alihujumiwa

Ukiangalia kesi kama ya Mahalu, mzigo anaubeba Fred, ukweli mbele ya hakimu Mkapa ndiye alitoa ushahidi

Kagoda na madudu mengine wanamtandao waliyageuza kama ya Fred, kumbe Mkapa alikuwa ndiye mwamuzi

Ndiye aliwaleta ''Netgroup' wa south kuvuruga Tanesco, akaleta wawekezaji holela n.k.

Wanamtandao wakabaidilisha kibao na kumtwisha Zigo Fred.

Pamoja na hayo, Fred alikuwa vulnerable kwasababu kauli zake mhh! zilihitaji kufunga masikio
 
wewe kweli mwehu..hizi cheap propaganda na character assassination dhidi ya ZZK mnazitunga na kuziamini wenyewe. si yeye wala usalama wa taifa wenye haja ya kuwajibu.
uzuri ni kwamba ,,, hao wote(zzk na TISS)WAMEWAZIDI AKILI KWA UMBALI MREFU SAAANA KIASI CHA KUTOBABAISHWA NA PROPAGANDA ZA KIBANGIBANGI mnazoziendesha. jiulizeni, kwa nini pamoja na kutumia nguvu nyingi,fedha nyngi na muda mwingi lakini bado mmeshindwa kumteteresha!!!?? ni kwa sababu hamna akili, hamna busara, mmejaa usanii,hamna uzalendo na zaidi ni kwamba mnaendesha chama kama kikundi cha wavuta bangi na wahuni.
MNA KILA SABABU YA KUPANICK na siwalaumu ktk hilo
the man zzk is cruising na hamuwezi kumzuia
subiri matokeo ya uchaguzi hapo october ndio mtamsujudu na kumuimba

Kwa nini unamsifu mwenzako kiasi hiki? Sifa kama hizo unastahili kujipa mwenyewe. Hiyo ndo kawaida ya binadamu kujiamini kuliko mwingine. Nikiangalia ulivyoandika ni kama unakubali kwamba huyo zzk ni bora kuliko wewe. Is that normal with human brain?

Mimi siamini kama Zitto ni chochote kwangu! yeye ana yake mi nina yangu. ana mafanikio yake, nami nina yangu! FINITO!
 
..kwanza matokeo ya uchaguzi wa raisi hayawezi kupinga mahakamani.

..pili matokeo ya ubunge yanaweza kupingwa mahakamani.

..hivyo ndivyo katiba yetu ya sasa inavyoelekeza.

..siyo kweli kwamba unatakiwa usitambue matokeo ya ubunge na raisi kwa pamoja. mbona Kenya na Ghana, ambako matokeo yanaweza kupingwa mahakamani, walikwenda mahakamani kupinga matokeo ya uraisi lakini siyo ubunge?

..tatizo la Zitto ni kwamba kulifanyika kikao cha wabunge wa CDM na huko kwenye kikao ikawasilishwa hoja ya kutoka bungeni wakati wa hotuba ya raisi. huko kwenye kikao chao wabunge, waliounga mkono kutoka nje walishinda kwa kura. kwa msingi huo kila mbunge wa CDM alipaswa kuzingatia uamuzi huo. sasa siku ya kutekeleza uamuzi huo Zitto akiwa ndiye naibu kiongozi wa wabunge wa CDM hakutokea bungeni!!

..Kuhusu hili la kususia bunge la Katiba hata kipenzi chako, Zitto Kabwe, naye alitoka bungeni. Sasa huyu siku zote mnasema ana akili nyingi sana, kwa hiyo hoja yako ya akili ndogo kuongoza akili kubwa naona haina mashiko.

Usipende kupelekwa pelekwa kisa Mbowe au Slaa amesema! Reason, na ukiona jambo halina logic, achana nalo. Haijalishi hata kama Mbowe alikutaka ufanye ama lah, jambo la msingi fanya ku-reason and do the right thing.

Uamuzi wa Zitto kubaki bungeni baada ya wabunge wa CHADEMA wengine kutoka ni wa kizalendo na imethibitisha kuwa ndiye mwanasiasa wa kweli.
 
Mosi, mie sina nafasi yoyote ya uongozi kwenye ACT,hivyo siwezi kuiwakilisha ACT kwa lolote hapa.

Ni matumaini yangu ya kuwa wenye nafasi wanaingia humu na hayo maswali hayana budi kujibiwa..

Pili, tunamchagua kiongozi ambaye tunamjua, kusema Dr Slaa ni padre mstaafu sio kashfa, ni jambo la kujivunia tu na labda ndio limemjenga kuwa alivyo leo.Na kuwa na historia hiyo hakumpunguzii ata kidogo sifa ya kuwa Rais, ata kidogo.Na mie ni Mkristo pia.

Hakuna niliposema kuwa "Padre ni kashfa.. ila ninaomba ufafanuzi wako kwa hii sentensi yako.. "Dr.Slaa (padre) hatapata kura kutoka chama cha CUF".
Mimi nimekuunganisha dot na kupata maana halisi ya sentensi yako kuw
a Dr. Slaa kwa vile mtakoliki tena aliyekuwa padre hawezi kupigiwa kura na wanachama wa Cuf kwa vile wanachama wote wa Cuf ni waislamu.. Hayo ni mawazo yangu inawezekana kabisa niko "wrong" na wewe ulimaanisha kingine.. hivyo basi naomba uniambie ni nini ulichomaanisha.

Kuhusu udini hiki ndicho nilichosema,na nimekirudia mara nyingi, na mpaka leo bado ndivyo ninavyoiona Tanzania, ndio hali halisi.

Sasa kama unaona Tanzania kuna udini (kitu ambacho mimi sioni) ni kwa nini upigie debe badala ya kuupiga vita kwa nguvu zako zote. Na kuupiga piga ni pamoja na kujiepusha kuandika au kutamka maneno yenye viashiria vya udini..rejea hao juu.

Pili hivi huu udini mnao usema ni udini wa aina gani? au tunahubiriwa udini wa wanasiasa.. Sisi huku mitaani hakuna udini Juzi hapa tumetoka kumzika jirani yetu mwislamu na katika hayo mahudhurio kulikuwa waislamu na wakristo.
Sio hilo tu hapa ninapoongea wiki hijayo kuna harusi ya kiislam mwaliko nimeishaletewa. Katika kukua kwangu sijawahi kubaguliwa sehemu yeyote ile au kuhisi ninagabuliwa kwa ajili ya dini yangu. Sasa basi labda nyie mnao sema kuna udini naomba utwambie jinsi mlivyobaguliwa/kunyanyaswa kwa ajili za dini zenu au hata ndugu jamaa na marafiki zenu.. Naomba msiniambie maswala ya serikali na mahospital au msinipe mambo ya wanasiasa maana hawa watu wanatumia teke hlii kwa ajili ya matumbo yao. (hapa naomba
ushuhuda wako wewe kama wewe kwa nini unahisi kuna udini)

...............................................................................................................................................................................

  • Kuna mtihani mwingine muhimu sana utaikabili UKAWA na watapaswa wauvuke.Mahakama ya Kadhi, upande wa CUF na wafuasi wao hili ni jambo muhimu sana lakini upande wa Chadema hili jambo ni nuksi, kuna mtihani mkubwa sana hapo kuziridhisha pande zote.Kila mtu anaweza akawa aliona kuwa bunge lililopita ilipofika hoja ya kadhi hakukuwa na UKAWA, ilikufa kwa muda.Sasa kwenye uchaguzi mkuu wafuasi wa CUF watataka wathibitishiwe hilo kuwa wakitoa kura inawekwa kwenye katiba??na ukiahidi hivyo utawaelezeje wa upande wa pili?

    Swala la mahakama ya kadhi ni swala rahisi sana ila linakuzwa na wanasiasa kwa minajili ya matumbo yao kama nilivyokwisha sema hapo juu..

    Mimi kama Alinda sina tatizo na Mahakama ya kadhi na nafikiri ili ni kwa wakristo wengi tu (ok kuna wakristo wengine wanalipinga maana hakuna kitu kinaweza kukubaliwa na watu wote) Ila tatizo linapofika kwa wanasiasa wanaligeuza kuwa mitaji..

    Na ninafikiri kama serikali ingekuwa na nia kweli na mahakama ya kadhi basi ingetoa elimu kwa wale watu ambao wana wasi wasi, na baada ya hapo ni kukaa chini pande nne yaani wakristo, waislamu, serikali na wataalum wa aina mbali mbali (km sheria, mausiano,dini na nk.) hawa watu wakikaa chini bila kuingiliwa na wanasiasa ni matumaini yangu wangeleta muhafaka.

    Tukumbuke mahakama ya kadhi haizuiriki tena cha muhimu ni kukaa pamoja kama ndugu, kama watanzani na kama wataka kupata muhafaka na mwisho wa siku hakuna lisilowezekana chini ya jua..

    Na hiki kitu kwa viongozi wa Ukawa sina shaka nalo watatoka na muhafaka maana waislamu hawako Cuf tu, Waislamu wako Chadema, wako CCM wako CUf, wako Nccr na nk. na mashabiki wa chadema sio wakristo tu au mashabiki wa Cuf sio waislamu tu.

    Kikwete aliongea kuhusu suala la udini kwenye uchaguzi uliopita.Nakubaliana 100% na Kikwete udini ulikuwepo sana kwenye uchaguzi ule, uzalendo sio kujifanya kipofu, ni kuyatambua matatizo tulio nayo, kuyakubali na kuyafanyia kazi.Nasikitika tu kuwa pamoja na Kikwete kuyatambua mapema baada ya uchaguzi ule hajafanya lolote kurekebisha hali hiyo na kufuta isijirudie tena hali ile.Anaondoka madarakani akiliacha taifa palepale.Hapa amefeli vibaya.

    Ni kweli Kikwete aliliongelea na nilitegemea kuwaona wagombea urais wote kwa pamoja wakikataa kura za ubaguzi iwe ni kwa Dr.Slaa au Mh. Kikwete na nk. "kama unanipigia kura kwa vile mimi Slaa ni mkristo basi wewe kaa nyumbani kura yako sitaki.. kama unanipigia kura kwa vile mimi ni Wiislamu basi kaa nyumbani kura yako sitaki. Ila kwa bahati mbaya sana hiki kitu sikukiona na sio Kikwete tu aliyesema kuhusu udini hata MH. ZItto Kabwe alisema kuwa alipata kura ndogo kwa vile wakristo hawakumpigia kura (kitu kama hicho ila sikumbuki) ila Sikusikia Zitto akikataa kura za waislam wanaotaka kumchagua kwa ajili ya dini yake.. Sasa kama ni kweli mimi sijui, kama ni hisia tu na hapo sijui, kwa bahati mbaya sana mimi kama Alinda mwaka 2005 nilimpigia kura Mh.Kikwete na 2010 nilimpigia kura Slaa kwa vile rais wangu alini-let down kwa swala zima la kushughulikia mafisadi.

    Nawatambua watu kadhaa ambao ni wapinzani wa jadi wa CCM lakini ilibidi wampigie kura Mkapa badala ya Prof Lipumba mwaka 2000, na kuna wengine ambao katu hawataweza kumpigia kura Dr Slaa kwa misingi hiyohiyo.Hizi element zipo kwenye jamii japo tunaweza tusipende ata kuziongelea.Tusijifanye hatuzioni.Tuzifanyie kazi

    Hilo ni kweli kuna watu wa CCM wanaowapigia kura vyama vya upinzani na kuna wanachama wa vyama vya upinzani wanapigia CCM. HIvyo basi inategemea swala hili unaliangalia kwa jicho lipi ukiliangalia kwa jino la udini utaona kuna udini, lakini inawezekana hao watu waliona hoja za Prof. Lipumba ndo jibu la matatizo yao...au walimuelewa vizuri prof. Lipumba kuliko Mkapa. Ukitumia mfn huo mwaka 2005 (kama sikosei) Mbowe alipata kura chache sana kulinganisha na Prof. Lipumba hivyo basi kama udini ungekuwepo basi walao Mbowe angekuwa mshindi wa pili.. yaani Mh. Kikwete angegawana kura na Pro. Lipumba.

    Tukiangalia matokeo ya mwaka 2010 utaona DR. Slaa alipata kura 2ml sasa unataka kusema katika hizo kura 2ml kulikuwa hakuna kura za waislamu? au Mh. Kikwete hakuna kura za wakristo? Kasumba ya watanzania hawajawahi kuchagua mtu kutoka na dini yake labda huku mbeleni..

    Tuupinge udini wa nguvu zetu zote, maana watakao kuja kupata shida ni watoto zetu.. na huu ujumbe auone kaka yangu @Mkandara maana naona taratibu anaelekea kwenye janga la dini. Tusiangalie kitu kwa jicho la ubaguzi na kwa ili Mkandara wewe ni mfn mzuri maana unaishi nje ya Tanzania na ninafikiri unafahamu kama mtu ukianza kuangalia kitu kwa jicho la ubaguzi basi inawezeka kabisa paka kakupita na kukuangali na wewe ukasema "huyu paka ameniangalia sana kwa vile mimi ni mkristo, wiislamu, au mwafrika.
    .........................................................................
    .......................................................................................

TUUNGANE WOTE KUPAMBANA NA HAYA, KUJIFANYA HAYAPO NI KUJIDANGANYA WENYEWE,TULIFANYIE KAZI, TULIPONYE TAIFA
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

Japo hujanitendea haki ku-edit nilichoandika maana mwingine atachokulia uliyoyaongeza wewe ndio maneno yangu, ungeweza kuyaweka kwa chini.

Japo maana yako haijatofautiana sana na nilichomaanisha(kasoro wanachama "WOTE" badala yake WENGI). Alinda may be mwenzangu upo kwenye denial lakini mie mwenzio naishi kwenye uhalisia, nimeyaishi hayo kisiasa, nimeyaona na ninaendelea kuyaona kila siku.

Tanzania kuwa udini, wala sio siri, angalia tu ata hapa JF Rais Kikwete akifanya uteuzi, tunashuhudia hapa udini wa watu.Wala sio siri na sitaki kuwa mnafiki kusema sioni kitu kilicho wazi kabisa, otherwise haupo honest.

Mfano mmoj; msingi wa CUF ni mahakama ya kadhi inayotambulika kikatiba, Chadema haiwezi kusema hivyo maana itawakera washabiki wake wengi, sasa UKAWA itaenda na jibu gani juu ya hilo?kwa hali ilipo sasa waislam watahitaji jibu la wazi,la uhakika.
 
Hapa ndugu yangu siku edit.. Ni kuwa wakati naandika nilipomaliza nikata kufanya editing ya kitu nilichoandika (nilikwenda Go Advanced) baada ya kumaliza kufanya editing zangu ile ninataka tuma ikataja msg ya "kuwa siwezi kutuma huo ujumbe maana ni mfupi" Sasa nikawaza cha kufanya nisijue maana hapo nilishajipindi kama dk30, nido nikapata wazo la kubonyeza hizo "mm" ili kusudi nikisha tuma nije kuzidelete lakni nilipojaribu kuzidelete nililetewa ujumbe ule ule wa siwezi kutuma msg maana ni fupi! ndo nikaamua liwalo na liwe...:smile-big: natumaini utanielewa...
 
Kama act imejipambunua kuwa chama cha kijamaa wakaungane na ccm muungano usio na kificho kwa sababu ccm pia ina misingi ya kijamaa
 
Back
Top Bottom