Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

Msulibasi,

Nashukru kwa hongera.

Swala la Mwandosya ni swala la sera ya Chama Cha Mafisadi. Kwa maana hiyo upuuzi au ufisadi wowote uliofanyika wakti yeye akiwa Waziri ni utekelezaji wa sera zilezile mbovu za CCM ambazo Viongozi wa CCM huzitunga ili ziwanufaishe wao na siyo nchi. Ndiyo maana tunasema CCM imechoka hivo inatakiwa ipishe Ikulu kiongoze chama kingine kitakacholeta mabadiliko ya kweli na siyo MAISHA BORA HEWA na MATUMAINI HEWA wanayoahidiwa Watanzania na bado hawayaoni!!!

I concur ingawa wapinzani kuna kitu wameanza kukosea, kama kweli UKAWA wataingia kama washirika inabidi mchakato wao uende haraka kidogo, kwa ratiba ya CDM mchakato wa chama utafika august sasa ikiwa hivyo huo wa UKAWA utafanyika lini na migogoro itasuluhishwa lini-hili zoezi limeshakosewa jumla watashindwa tena . CUF na NCCR wamefanya kwa muda muafaka.
 
Nashukru kwa kunielewa.

Hili la mchakato wa mgombea wa Urais toka UKAWA wala lisikupe presha. UKAWA wamejipanga vizuri wewe endelea kusubiri tu muziki wake watakapo mtangaza rasmi mgombea wao toka umoja huo wa vyama husika.

UKAWA mpaka sasa wamewaacha CCM hewani wasijue nani hasa atapeperusha bendera ya UKAWA. Hii ni nzuri na ni changamoto kwa CCM.
 
hao ni wataalamu wa propaganda na siku zote mwanasisa yoyote hajawahi kukosa majibu.
 
Kama wengi tulivyosikia jana, kuna tuhuma hizi hapa chini ambazo zilitolewa jana na Zitto Kabwe na kuandikwa na vyombo vingi vya habari leo.................

Kama kweli hayo ndo majibu ya mtu anayetaka kuwa rais wa nchi, basi kumbe hakuna kitu CCM. Nahisi kuna mtu anajibu kwa niaba yake.

naomba pia atueleze Mkurugenzi mkuu wa TCRA alimtoa wapi? Na ni kwa nini alilazimisha kumuondoa brigedia? Je ni kweli ni kwa sababu ya mahitaji ya nyumba ndogo yake? Jibu halafu tuonyeshe jinsi mtu wenu asivyokuwa presidential material.
 
Kama wengi tulivyosikia jana, kuna tuhuma hizi hapa chini ambazo zilitolewa jana na Zitto Kabwe na kuandikwa na vyombo vingi vya habari leo.

HOJA YA ZITTO

Zittokabwe
: Prof. Mark Mwandosya aliwahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wakati wa uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Mashirika yote ya Umma , takribani, katika Wizara hii yaliyobinafsishwa zoezi la ubinafsishaji liligubikwa na tuhuma za ufisadi na hata kuchukuliwa upya na Serikali.

Shirika la Ndege la Taifa lilibinafsishwa chini ya Mwandosya na likafa. Kitengo cha makontena katika Bandari ya Dar Es Salaam kilibinafsishwa kipindi hiki na kuleta maneno mengi sana. Mchakato wa kubinafsisha Shirika la Reli pia ulianza kipindi hiki. Ubinafsishaji ulioleta maneno mengi zaidi ulikuwa ni wa Kampuni ya simu ( TTCL) kwa MSI detecon na Celtel International.

Prof. Mwandosya binafsi alipata tuhuma na mtoto wake kusomeshwa na watu waliouziwa kampuni hii kwa bei ya chee. Masuala haya yaliandikwa na vyombo vya habari miaka ya kati ya 2001 na 2005. Prof. Hana budi kufafanua haya mbele ya umma ili kujiridhisha na uwezo wake wa kupambana na rushwa na ufisadi.

MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

Zitto, Salaam.

Hongera pia kwa kuwa kiongozi wa ACT na hongera kwa kazi kubwa unayoifanya kueneza itikadi ya Chama chako. Ni jambo zuri katika kukuza demokrasia ya nchi yetu na hasa kukuza uzalendo. Siku zote nimekuelezea kama kijana ambaye hakika utakuwa tegemeo la Taifa letu, na hili nimekuambia mara nyingi. Nimeona vema nifafanue yale ambayo umeyataja katika post yako.

Niliyatolea maelezo ya kina miaka mingi iliyopita lakini nadhani utafiti sio moja ya maeneo tuliyo na nguvu nayo kwa hiyo umeyafukua bila kuyafanyia utafiti au kutaka upate ufafanuzi kutoka kwa mhusika.

Nianze na hili la ubinafsishaji kwa ujumla wake. Inawezekana ulikuwa badi shule, pamoja na nia njema ya kuanzisha mashirika ya umma, hatimaye yalikuja kuwa mzigo mkubwa kwa hazina yetu, maana yake kwa wananchi. Asilimia kubwa yalitegemea ruzuku ya serikali na baadhi yalikuwa mufilisi. Teknolojia ilikuwa imebadilika sana na ili kuyafungua ingeigharimu serikali na umma wa Tanzania kiasi kikubwa sana. Uchumi wa nchi wakati ule usingeweza kubeba mzigo huo. Ndipo Chama, wakati ule kiliporidhia Serikali ibakie na shughuli zake za msingi za Utawala, Ulinzi na Usalama, na Usimamizi wa ujumla wa uchumi.

Maamuzi yafuatayo yakachukuliwa:

Kwa upande wa shughuli za serikali zenye sura ya kibiashara, idara husika zikageuzwa kuwa wakala wa serikali, zikifanya kazi kwa uhuru zaidi chini ya Bodi zao. Kuhusu mashirika na kampuni za umma ilikubalika zirekebishwe na hatimaye zibinafsishwe. Ndipo kilipoundwa chombo maalum kisheria kilichokuwa na mamlaka kamili ya kubinafsisha
Mashirika ya umma.

Chombo hiki, Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) kilikuwa chombo huru kikiwa chini ya Ofisi ya Rais, Mipango. Kiliwekwa hapo kwa sababu mamlaka yake yalikuwa Mtambuka, na vyombo husika vilikuwa kwenye sekta mbalimbali. Kwa hiyo sekta husika na Wizara husika, pamoja na kuitwa PSRC wakatii wa majadiliano yaliyohusu mashirika yake, hazikuwa na mamlaka ya kisheria kuhusu ubinafsishaji. Ni vema hili likaeleweka.

Pamoja na hayo, nirudie ufafanuzi kuhusu ubinafsishaji wa TTCL, nafanya hivyo kutokana na dhana ya uwajibikaji wa pamoja, ikumbukwe kwamba maamuzi ya ubinafsishaji wa TTCL yalifikiwa na PSRC mwaka mmoja kabla Waziri Mwandosya hajaingia siasa! Hata hivyo suala kubwa ni mabadiliko ya teknolojia tu. TTCL ilikuwa imejikita zaidi kimfumo na kiteknolojia katika teknolojia ya analogue na land lines.Mfumo wate,kiutawala na kiteknolojia ulikuwa katika msingi huo. Teknolojia ya simu za mkononi, na ushindani uliojitokeza ndio hasa changamoto kubwa ya TTCL.

Hata hivyo mabadiliko makubwa na maendeleo makubwa katika TEHAMA yamepelekea Tanzania kuwa mbali na kuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingi za Afrika. Katika mawasiliano Tanzania imekuwa 'Mecca' na wengi wamekuja kujifunza tumewezaje kufanikiwa. Namshukuru Rabuka kwa kuniwezesha kutoa mchango wangu katika maendeleo ya sekta hii. Na ili kuhakikisha kwamba mlaji au mtumiaji wa huduma za kiuchumi hahujumiwa na wakati huo huo mtoa huduma au mwekezaji ana uhakika wa kufaidika na kuweza kutoa huduma endelevu,ndipo vilipoanzishwa vyombo vya udhibiti wa huduma za kiuchumi, Regulatory Bodies. Nimebahatika kuwa Waziri pekee mwanzilishi na msimamizi wa TCRA, SUMATRA,TCAA, na EWURA.

Nimeelezea kuhusu mfumo wa ubinafsishaji hivyo basi ninachoweza kufafanua ni kwamba nilipomaliza muda wangu kama Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, niliacha Shirika la Reli likisafirisha tani laki tisa za shehena kwa mwaka, safari za abiria kwenda Tabora kutoka Dar zilikuwa kila siku, na ATC ilikuwa na ndege mbili aina ya Boeing 737 na mbili aina ya Fokker Friendship.

Tuhuma za mtoto wa Profesa kulipiwa na kampuni moja ya simu hazina chembe yoyote ya ukweli Bwana Zitto. Mtoto ambaye alifuzu uhandisi wa mawasiliano ya simu aliomba kazi ya muda na akapewa.
Kampuni husika ilikanusha tuhuma hizo ambazo zilitolewa wakati wa mchakato wa kugombea uteuzi katika CCM kwa nafasi ya kuwa mgombea wa Urais mwaka 2005. Sasa zinafufuliwa tena na Bwana Zitto wakati wa mchakato huo huo mwaka 2015! Inaeleweka.

Namalizia kama nilivyoanza, Zitto ni mwanasiasa ninayemheshimu sana. Mara nyingi naye amenitambua kama mwanasiasa wa kuigwa (role model). Lakini katika siasa tunasema saa 24 ni kipindi kirefu sana, na huwa tunabadilika!
Ushauri wangu kwake ni kwamba siku zote kabla hujahukumu sikiliza upande wa pili, kwa kilatini hii ni dhana muhimu inayojulikana kama AUDI ALTERAM PARTEM.

Pili ni vema ukazingatia zaidi mambo chanya ya msimamo na itikadi ya ACT. Lakini katika kushauri hivyo natambua kwamba " Akili ni nywele, kila mtu ana zake"

Ramadhan Kareem. Wakatabahu,

Mwandosya.

UPDATED: MAELEZO YA ZITTO BAADA YA MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

Nimeridhishwa na maelezo ya Prof. Mark Mwandosya juu ya minong'ono dhidi yake. Namtakia kila la kheri.Akipitishwa na chama chake tutakutana kwa wananchi..

Zitto Kabwe.
Hivi ndiyo siasa inavyotakiwa kuwa. Mimi ninaamini kama wanasiasa wengine wangekuwa wanajibizana kistaarabu, siasa kwa tanzania ingekuwa ni mfano kwa wengine lakini hili la 'pinga kila analosema mpinzani wako na kubali kila anachokataa mpinzani wako' ni siasa za kitoto sana
 
Miye kipande hiki tu ndio kinanichanganya kabisaaaa sielewi ukweli ni upi maana nijuavyo hailingani na madai yake..Sijui wenzangu mna kumbukumbu gani.. Hivi Mwandisya aliwahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wakati wa ATC na TRA, ni wakati wa Mwinyi? hadi akaacha hizo ATC na TRA zikifanya kazi, maana nakumbuka toka Ajali ile kubwa ya reli Dodoma, treni hazikufika Tabora kwa miaka mingi tu..Na ATC iliuzwa lini kwa Wasouth?..

We ndo pumba kabisa....TRA ilianzishwa wakati wa Mkapa
 
Zitto hongera.kwa maswali mazuri,prof anaulizwa namna alivyosimamia ubinafisha ulio sababishia taifa hasara yeye anatujibu sababu za kubinafsisha HAFAI

HOJA YA ZITTO

Zittokabwe
: Prof. Mark Mwandosya aliwahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wakati wa uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Mashirika yote ya Umma , takribani, katika Wizara hii yaliyobinafsishwa zoezi la ubinafsishaji liligubikwa na tuhuma za ufisadi na hata kuchukuliwa upya na Serikali.

Shirika la Ndege la Taifa lilibinafsishwa chini ya Mwandosya na likafa. Kitengo cha makontena katika Bandari ya Dar Es Salaam kilibinafsishwa kipindi hiki na kuleta maneno mengi sana. Mchakato wa kubinafsisha Shirika la Reli pia ulianza kipindi hiki. Ubinafsishaji ulioleta maneno mengi zaidi ulikuwa ni wa Kampuni ya simu ( TTCL) kwa MSI detecon na Celtel International.

Prof. Mwandosya binafsi alipata tuhuma na mtoto wake kusomeshwa na watu waliouziwa kampuni hii kwa bei ya chee. Masuala haya yaliandikwa na vyombo vya habari miaka ya kati ya 2001 na 2005. Prof. Hana budi kufafanua haya mbele ya umma ili kujiridhisha na uwezo wake wa kupambana na rushwa na ufisadi.

MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

[/SIZE]Zitto, Salaam.

Hongera pia kwa kuwa kiongozi wa ACT na hongera kwa kazi kubwa unayoifanya kueneza itikadi ya Chama chako. Ni jambo zuri katika kukuza demokrasia ya nchi yetu na hasa kukuza uzalendo. Siku zote nimekuelezea kama kijana ambaye hakika utakuwa tegemeo la Taifa letu, na hili nimekuambia mara nyingi. Nimeona vema nifafanue yale ambayo umeyataja katika post yako.

Niliyatolea maelezo ya kina miaka mingi iliyopita lakini nadhani utafiti sio moja ya maeneo tuliyo na nguvu nayo kwa hiyo umeyafukua bila kuyafanyia utafiti au kutaka upate ufafanuzi kutoka kwa mhusika.

Nianze na hili la ubinafsishaji kwa ujumla wake. Inawezekana ulikuwa badi shule, pamoja na nia njema ya kuanzisha mashirika ya umma, hatimaye yalikuja kuwa mzigo mkubwa kwa hazina yetu, maana yake kwa wananchi. Asilimia kubwa yalitegemea ruzuku ya serikali na baadhi yalikuwa mufilisi. Teknolojia ilikuwa imebadilika sana na ili kuyafungua ingeigharimu serikali na umma wa Tanzania kiasi kikubwa sana. Uchumi wa nchi wakati ule usingeweza kubeba mzigo huo. Ndipo Chama, wakati ule kiliporidhia Serikali ibakie na shughuli zake za msingi za Utawala, Ulinzi na Usalama, na Usimamizi wa ujumla wa uchumi.

Maamuzi yafuatayo yakachukuliwa:

Kwa upande wa shughuli za serikali zenye sura ya kibiashara, idara husika zikageuzwa kuwa wakala wa serikali, zikifanya kazi kwa uhuru zaidi chini ya Bodi zao. Kuhusu mashirika na kampuni za umma ilikubalika zirekebishwe na hatimaye zibinafsishwe. Ndipo kilipoundwa chombo maalum kisheria kilichokuwa na mamlaka kamili ya kubinafsisha
Mashirika ya umma.

Chombo hiki, Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) kilikuwa chombo huru kikiwa chini ya Ofisi ya Rais, Mipango. Kiliwekwa hapo kwa sababu mamlaka yake yalikuwa Mtambuka, na vyombo husika vilikuwa kwenye sekta mbalimbali. Kwa hiyo sekta husika na Wizara husika, pamoja na kuitwa PSRC wakatii wa majadiliano yaliyohusu mashirika yake, hazikuwa na mamlaka ya kisheria kuhusu ubinafsishaji. Ni vema hili likaeleweka.

Pamoja na hayo, nirudie ufafanuzi kuhusu ubinafsishaji wa TTCL, nafanya hivyo kutokana na dhana ya uwajibikaji wa pamoja, ikumbukwe kwamba maamuzi ya ubinafsishaji wa TTCL yalifikiwa na PSRC mwaka mmoja kabla Waziri Mwandosya hajaingia siasa! Hata hivyo suala kubwa ni mabadiliko ya teknolojia tu. TTCL ilikuwa imejikita zaidi kimfumo na kiteknolojia katika teknolojia ya analogue na land lines.Mfumo wate,kiutawala na kiteknolojia ulikuwa katika msingi huo. Teknolojia ya simu za mkononi, na ushindani uliojitokeza ndio hasa changamoto kubwa ya TTCL.

Hata hivyo mabadiliko makubwa na maendeleo makubwa katika TEHAMA yamepelekea Tanzania kuwa mbali na kuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingi za Afrika. Katika mawasiliano Tanzania imekuwa 'Mecca' na wengi wamekuja kujifunza tumewezaje kufanikiwa. Namshukuru Rabuka kwa kuniwezesha kutoa mchango wangu katika maendeleo ya sekta hii. Na ili kuhakikisha kwamba mlaji au mtumiaji wa huduma za kiuchumi hahujumiwa na wakati huo huo mtoa huduma au mwekezaji ana uhakika wa kufaidika na kuweza kutoa huduma endelevu,ndipo vilipoanzishwa vyombo vya udhibiti wa huduma za kiuchumi, Regulatory Bodies. Nimebahatika kuwa Waziri pekee mwanzilishi na msimamizi wa TCRA, SUMATRA,TCAA, na EWURA.

Nimeelezea kuhusu mfumo wa ubinafsishaji hivyo basi ninachoweza kufafanua ni kwamba nilipomaliza muda wangu kama Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, niliacha Shirika la Reli likisafirisha tani laki tisa za shehena kwa mwaka, safari za abiria kwenda Tabora kutoka Dar zilikuwa kila siku, na ATC ilikuwa na ndege mbili aina ya Boeing 737 na mbili aina ya Fokker Friendship.

Tuhuma za mtoto wa Profesa kulipiwa na kampuni moja ya simu hazina chembe yoyote ya ukweli Bwana Zitto. Mtoto ambaye alifuzu uhandisi wa mawasiliano ya simu aliomba kazi ya muda na akapewa.
Kampuni husika ilikanusha tuhuma hizo ambazo zilitolewa wakati wa mchakato wa kugombea uteuzi katika CCM kwa nafasi ya kuwa mgombea wa Urais mwaka 2005. Sasa zinafufuliwa tena na Bwana Zitto wakati wa mchakato huo huo mwaka 2015! Inaeleweka.

Namalizia kama nilivyoanza, Zitto ni mwanasiasa ninayemheshimu sana. Mara nyingi naye amenitambua kama mwanasiasa wa kuigwa (role model). Lakini katika siasa tunasema saa 24 ni kipindi kirefu sana, na huwa tunabadilika!
Ushauri wangu kwake ni kwamba siku zote kabla hujahukumu sikiliza upande wa pili, kwa kilatini hii ni dhana muhimu inayojulikana kama AUDI ALTERAM PARTEM.

Pili ni vema ukazingatia zaidi mambo chanya ya msimamo na itikadi ya ACT. Lakini katika kushauri hivyo natambua kwamba " Akili ni nywele, kila mtu ana zake"

Ramadhan Kareem. Wakatabahu,

Mwandosya.

UPDATED: MAELEZO YA ZITTO BAADA YA MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

Nimeridhishwa na maelezo ya Prof. Mark Mwandosya juu ya minong'ono dhidi yake. Namtakia kila la kheri.Akipitishwa na chama chake tutakutana kwa wananchi..

Zitto Kabwe.
[/QUOTE]
 
Zito anashangaza sana. Ameona professor ndio tishio kwa mtu anayempigia kampeni kaamua kumhusisha na ufisadi. Kamlinganisha lowasa na mwandosya kaona 'ufisadi' wa professor mwandosya ni mkubwa kuliko 'ufisadi' wa lowasa. Hii kali ya karne
 
Zito kalianzisha tifutifu na chadema kafurumushwa. Kwasasa yuko bize kuanzisha tifutifu na Wagombea wa ccm wanaoonekana kuwa tishio.

Kama ni kuzungumzia ufisadi itakuwa kichekesho kutomgusa anayempigia debe.
 
Zitto aliomba majibu kapewa.

Uungwana ni kuwasiliana na aliyetoa majibu one on one na kusafisha hali ya hewa. Then kutolea tamko kama amekubali maelezo au anadhani Prof. amepindisha mambo.

kosa sio kufanya kosaa,bali kulirudia

Nimemshaangaa Zitto, pamoja na sifa anazopata humu kuwa ni jembe ..... binafsi nimekuwa nadoubt!!!

Yeye kama Supremo Leader anakujaje na hearsay kwenye mitandao na kuwatuhumu watu!!? Kama kweli ni jembe kama watu wanavyodai angekuja na concrete issues siyo ya hii oh walidai mtoto wako alisomeswa, au mashirika yalibinafsishwa ukiwa Waziri kwa njia za ufisadi, tueleze!!? Sasa Mwandosya katoa majibu bila hata lots of supporting evidences, Zitto anadai ameridhika.

Sasa Mwandosya kusema kuwa mtoto wake hakusomeshwa na shirika lilishatolea maelezo 2005, kunamrizishaje Zitto!!? Hakukuwa na haja ya Zitto kuja na hizi tuhuma bila kutaja kijana alisomeshwa wapi na malipo ya scholarship yake yalikuwaje!!? Kwa ujumla Zitto aliokoteza maneno ya mitaani na kuyaleta kwenye siasa. Inawezekana yana ukweli ndani yake ila yamekosa uzito!!
 
... ni vema ukazingatia zaidi mambo chanya ya msimamo na itikadi ya ACT. Lakini katika kushauri hivyo natambua kwamba " Akili ni nywele, kila mtu ana zake"

Ramadhan Kareem. Wakatabahu,

Mwandosya.

UPDATED: MAELEZO YA ZITTO BAADA YA MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

Nimeridhishwa na maelezo ya Prof. Mark Mwandosya juu ya minong'ono dhidi yake. Namtakia kila la kheri.Akipitishwa na chama chake tutakutana kwa wananchi..

Zitto Kabwe.

Unajua Zitto, kwanza, haya mambo ya kusikia minong'ono na kuyatoa hadharani kama vile ni ukweli, Nyerere aliwahi kumuuliza Mwandishi wa habari fulani huko Kenya kwamba, hivi wewe ukisikia minong'ono kwamba mimi ni baba yako, nilitembea na mama yako tukakuzaa wewe, utaamini kuwa ni kweli na kuanza kuwaambia watu?"

Mwandosya angeweza kukuuliza swali hilo hilo.

Pili, huyu ni Mwandosya, ambaye wewe katika historia ya uanasiasa wako na usimamizi wa kamati ya fedha unamfahamu sana. Ni huyu ambaye karibu peke yake alikuwa na msimamo tofauti na viongozi wa CCM karibu wote juu ya Escrow, kuwatetea wewe na Kafulira kwamba mlikuwa na hoja. Ukweli ni kwamba ndani ya CCM Mwandosya ndie aliyetia shinikizo kwamba mlichosema juu ya Escrow kisipuuzwe, na waliohusika wawajibishwe, na wewe ukamshangilia sana. Ni huyu Mwandosya ambaye hata ndani ya CCM wanakubali kuwa ni mtu safi na mwenye hekima sana. Leo hii unamtuhumu kwa vitu vidogo kama sijui eti mtoto wake alilipiwa hoteli na kampuni binafsi?

Infact, zaidi ya kusema umeridhishwa na maelezo ya Prof. Mwandosya, unapaswa kumuomba msamaha.

Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Sasa kama walikuwa wanabinafsisha mashirika yasiyo na faida TTCL iliingiaje wakati kulikuwa na enough investment already done kiasi kwamba wengine walitaka kuja kujifunza kwetu.

Almost 20 years later tunajua huyo mwekezaji akufanya investment zozote zaidi ya kutumia mitambo aliyoikuta na kufungua shirika lake la simu, sanasana alichokuwa anatafuta ni access tu ya infrastructure za TTCL yeye alifanya nini kutetea kipindi hicho shirika lina potential ya kusogea lenyewe maana amna cha maana mwekezaji alichofanya.

Mwandosya ni fisadi tu kama wengine.
 
pamoja na mwandosha kukanusha baadhi ya tuhuma ukweki ubinafsishaji wa ttcl uligubikwa na rushwa na utata mkubwa na gazeti la rai wakati huo chini ya kina ulimwengu ulionyesha mpaka invoice ambazo motto wa mwandosya alilipiwa na kampuni iliyonunua hisa za ttcl kwanini amechukua muda mrefu kukanusha mwandosya naye hana usafi wa kujiita yeye msafi
 
Mi namfahamu sana Mwandosya! Ni fisadi mkubwa tu, kama wenzie ndani ya ccm! Mtoto wake wa kike alisomeshwa na wawekezaji aliowapendelea.

Hivi mwizi akikamatwa atashindwa kujitetea? Ndivyo afanyavyo Mwandosya
 
Kama wengi tulivyosikia jana, kuna tuhuma hizi hapa chini ambazo zilitolewa jana na Zitto Kabwe na kuandikwa na vyombo vingi vya habari leo.

HOJA YA ZITTO

Zittokabwe
: Prof. Mark Mwandosya aliwahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wakati wa uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Mashirika yote ya Umma , takribani, katika Wizara hii yaliyobinafsishwa zoezi la ubinafsishaji liligubikwa na tuhuma za ufisadi na hata kuchukuliwa upya na Serikali.

Shirika la Ndege la Taifa lilibinafsishwa chini ya Mwandosya na likafa. Kitengo cha makontena katika Bandari ya Dar Es Salaam kilibinafsishwa kipindi hiki na kuleta maneno mengi sana. Mchakato wa kubinafsisha Shirika la Reli pia ulianza kipindi hiki. Ubinafsishaji ulioleta maneno mengi zaidi ulikuwa ni wa Kampuni ya simu ( TTCL) kwa MSI detecon na Celtel International.

Prof. Mwandosya binafsi alipata tuhuma na mtoto wake kusomeshwa na watu waliouziwa kampuni hii kwa bei ya chee. Masuala haya yaliandikwa na vyombo vya habari miaka ya kati ya 2001 na 2005. Prof. Hana budi kufafanua haya mbele ya umma ili kujiridhisha na uwezo wake wa kupambana na rushwa na ufisadi.

MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

Zitto, Salaam.

Hongera pia kwa kuwa kiongozi wa ACT na hongera kwa kazi kubwa unayoifanya kueneza itikadi ya Chama chako. Ni jambo zuri katika kukuza demokrasia ya nchi yetu na hasa kukuza uzalendo. Siku zote nimekuelezea kama kijana ambaye hakika utakuwa tegemeo la Taifa letu, na hili nimekuambia mara nyingi. Nimeona vema nifafanue yale ambayo umeyataja katika post yako.

Niliyatolea maelezo ya kina miaka mingi iliyopita lakini nadhani utafiti sio moja ya maeneo tuliyo na nguvu nayo kwa hiyo umeyafukua bila kuyafanyia utafiti au kutaka upate ufafanuzi kutoka kwa mhusika.

Nianze na hili la ubinafsishaji kwa ujumla wake. Inawezekana ulikuwa badi shule, pamoja na nia njema ya kuanzisha mashirika ya umma, hatimaye yalikuja kuwa mzigo mkubwa kwa hazina yetu, maana yake kwa wananchi. Asilimia kubwa yalitegemea ruzuku ya serikali na baadhi yalikuwa mufilisi. Teknolojia ilikuwa imebadilika sana na ili kuyafungua ingeigharimu serikali na umma wa Tanzania kiasi kikubwa sana. Uchumi wa nchi wakati ule usingeweza kubeba mzigo huo. Ndipo Chama, wakati ule kiliporidhia Serikali ibakie na shughuli zake za msingi za Utawala, Ulinzi na Usalama, na Usimamizi wa ujumla wa uchumi.

Maamuzi yafuatayo yakachukuliwa:

Kwa upande wa shughuli za serikali zenye sura ya kibiashara, idara husika zikageuzwa kuwa wakala wa serikali, zikifanya kazi kwa uhuru zaidi chini ya Bodi zao. Kuhusu mashirika na kampuni za umma ilikubalika zirekebishwe na hatimaye zibinafsishwe. Ndipo kilipoundwa chombo maalum kisheria kilichokuwa na mamlaka kamili ya kubinafsisha
Mashirika ya umma.

Chombo hiki, Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) kilikuwa chombo huru kikiwa chini ya Ofisi ya Rais, Mipango. Kiliwekwa hapo kwa sababu mamlaka yake yalikuwa Mtambuka, na vyombo husika vilikuwa kwenye sekta mbalimbali. Kwa hiyo sekta husika na Wizara husika, pamoja na kuitwa PSRC wakatii wa majadiliano yaliyohusu mashirika yake, hazikuwa na mamlaka ya kisheria kuhusu ubinafsishaji. Ni vema hili likaeleweka.

Pamoja na hayo, nirudie ufafanuzi kuhusu ubinafsishaji wa TTCL, nafanya hivyo kutokana na dhana ya uwajibikaji wa pamoja, ikumbukwe kwamba maamuzi ya ubinafsishaji wa TTCL yalifikiwa na PSRC mwaka mmoja kabla Waziri Mwandosya hajaingia siasa! Hata hivyo suala kubwa ni mabadiliko ya teknolojia tu. TTCL ilikuwa imejikita zaidi kimfumo na kiteknolojia katika teknolojia ya analogue na land lines.Mfumo wate,kiutawala na kiteknolojia ulikuwa katika msingi huo. Teknolojia ya simu za mkononi, na ushindani uliojitokeza ndio hasa changamoto kubwa ya TTCL.

Hata hivyo mabadiliko makubwa na maendeleo makubwa katika TEHAMA yamepelekea Tanzania kuwa mbali na kuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingi za Afrika. Katika mawasiliano Tanzania imekuwa 'Mecca' na wengi wamekuja kujifunza tumewezaje kufanikiwa. Namshukuru Rabuka kwa kuniwezesha kutoa mchango wangu katika maendeleo ya sekta hii. Na ili kuhakikisha kwamba mlaji au mtumiaji wa huduma za kiuchumi hahujumiwa na wakati huo huo mtoa huduma au mwekezaji ana uhakika wa kufaidika na kuweza kutoa huduma endelevu,ndipo vilipoanzishwa vyombo vya udhibiti wa huduma za kiuchumi, Regulatory Bodies. Nimebahatika kuwa Waziri pekee mwanzilishi na msimamizi wa TCRA, SUMATRA,TCAA, na EWURA.

Nimeelezea kuhusu mfumo wa ubinafsishaji hivyo basi ninachoweza kufafanua ni kwamba nilipomaliza muda wangu kama Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, niliacha Shirika la Reli likisafirisha tani laki tisa za shehena kwa mwaka, safari za abiria kwenda Tabora kutoka Dar zilikuwa kila siku, na ATC ilikuwa na ndege mbili aina ya Boeing 737 na mbili aina ya Fokker Friendship.

Tuhuma za mtoto wa Profesa kulipiwa na kampuni moja ya simu hazina chembe yoyote ya ukweli Bwana Zitto. Mtoto ambaye alifuzu uhandisi wa mawasiliano ya simu aliomba kazi ya muda na akapewa.
Kampuni husika ilikanusha tuhuma hizo ambazo zilitolewa wakati wa mchakato wa kugombea uteuzi katika CCM kwa nafasi ya kuwa mgombea wa Urais mwaka 2005. Sasa zinafufuliwa tena na Bwana Zitto wakati wa mchakato huo huo mwaka 2015! Inaeleweka.

Namalizia kama nilivyoanza, Zitto ni mwanasiasa ninayemheshimu sana. Mara nyingi naye amenitambua kama mwanasiasa wa kuigwa (role model). Lakini katika siasa tunasema saa 24 ni kipindi kirefu sana, na huwa tunabadilika!
Ushauri wangu kwake ni kwamba siku zote kabla hujahukumu sikiliza upande wa pili, kwa kilatini hii ni dhana muhimu inayojulikana kama AUDI ALTERAM PARTEM.

Pili ni vema ukazingatia zaidi mambo chanya ya msimamo na itikadi ya ACT. Lakini katika kushauri hivyo natambua kwamba " Akili ni nywele, kila mtu ana zake"

Ramadhan Kareem. Wakatabahu,

Mwandosya.

UPDATED: MAELEZO YA ZITTO BAADA YA MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

Nimeridhishwa na maelezo ya Prof. Mark Mwandosya juu ya minong'ono dhidi yake. Namtakia kila la kheri.Akipitishwa na chama chake tutakutana kwa wananchi..

Zitto Kabwe.

Mwandosya ni mwizi na fisadi tu, aache kuona watanzania wote ni wajinga!
 
Majibu mengine hata swali la nyongeza hulioni!

Huna swali Kwa kuwa huna data.
Prof ameshauri ufanye utafiti kabla haujafanya chochote. Majibu ya Zitto ni kuwa anamuombea apitishwe na chama chake ili wakutane Kwa wananchi, Kwa maana ingine Zitto bado ana info
 
ayatol...aa suprime leader msalit zzk ashaanza kaz rasmi kucheza ngoma ya lowasa..lowasa anamtumia kuwavuruga washindan wake ndan ya ccm..zzk kwel mufilis

ZZK kawa kawaida yake ya ukuwadi, ameanza kazi Rasmi ingawaje kuna ka-ukweli ndani yake, hata hivyo kwa maccm hakuna msafi.
 
Zitto Zitto:Wakati wa sakata la Escrow nakumbuka akisema''kwa kuzingatia ushauri niliopewa na MZEE wangu Prof Mwandosya,ninamheshimu sana...''aka-behave ktk uwasilishaji wa hoja zake kama alivyoshauriwa.
Ajabu leo hii anauliza as if hajui u-INNOCENT na UADILIFUwa Prof!
Na kama haitoshi naomba tumuulize Bw Zitto Kabwe:Kitu gani kimepelekea wewe binafsi kumuheshimu na kumuongea mbele ya umma wa Watanzania(BUNGENI mwaka jana) mtu ambaye unamjua nje ndani kwamba si muadilifu,rafiki wa rushwa na anaenunulika kirahisi(kusomeshewa binti yake tu) ili aheshimike kama unavyomuheshimu wewe?
 
Mkandara,

Mbona tayari mwendelezo wa pili!!!?
Shukuran nimekusoma....Unajua tatizo letu sisi Watanzania hatupendi kutumia Uhalisia zaidi ya hisia na Matumaini. Ni vigumu kabisa watu kukubali kwamba Prof. Mwandosya anaweza kuwa sababu ya chombo fulani kuharibika simply because ni Profesa. Hawezi kushirikiana na mafisadi kwa sababu ni Profesa, mpole na haelekei..Tukaweka matumaini kwamba yeye akipewa uongozi ataweza kufanya vizuri kuliko walomtangulia...jamani IKULU ni mahala patakatifu kweli, lakini ukitaka kupafanya kijiwe cha mitikasi ama Yatch club itakuwa kijiweni na wanachama wake watakuwa watu wa aina fulani..
 
Nimemshaangaa Zitto, pamoja na sifa anazopata humu kuwa ni jembe ..... binafsi nimekuwa nadoubt!!!

Yeye kama Supremo Leader anakujaje na hearsay kwenye mitandao na kuwatuhumu watu!!? Kama kweli ni jembe kama watu wanavyodai angekuja na concrete issues siyo ya hii oh walidai mtoto wako alisomeswa, au mashirika yalibinafsishwa ukiwa Waziri kwa njia za ufisadi, tueleze!!? Sasa Mwandosya katoa majibu bila hata lots of supporting evidences, Zitto anadai ameridhika.

Sasa Mwandosya kusema kuwa mtoto wake hakusomeshwa na shirika lilishatolea maelezo 2005, kunamrizishaje Zitto!!? Hakukuwa na haja ya Zitto kuja na hizi tuhuma bila kutaja kijana alisomeshwa wapi na malipo ya scholarship yake yalikuwaje!!? Kwa ujumla Zitto aliokoteza maneno ya mitaani na kuyaleta kwenye siasa. Inawezekana yana ukweli ndani yake ila yamekosa uzito!!
Mkuu kama umemsoma vizuri Zitto alichomtaka Mwandosya ni kuwaeleza WANANCHI juu ya tuhuma zile, badala ya Mwandosya kutoa maelezo kwa wananchi yeye aliichukulia kama Personal attack kwake! Na ukimsoma Mwandosya utaona kabisa kwamba alikuwa akitoa maelezo na majibu kumshusha Zitto kwanza, huku akijitenga na lawama zozote zinazohusiana na Ubinafsishaji ama kuanguka kwa mashirika hayo wakati hoja haikuwa Ubinafsishaji bali Usimamizi na Utekelezaji wa mashirika yale.

Mwandosya kama mgombea Urais hakutakiwa kabisa kujibizana na Zitto bali angeyachukulia maswali yale kama msingi wa kujisafisha ili arudishe imani ya wananchi.. Ndio maana nasema kuwa Profesa na Mwanasiasa ni mambo mawili tofauti maana mmoja ni mtaalam mwingine ni mtumishi wa watu. Mwanasiasa siku zote unawakilisha watu, Kila unalozungumza linawahusu wananchi na maslahi yao mbele ya kila kitu. Mtaalam unatazama vitu kisayansi kabla ya watu..

Zitto kasema ameridhika ili kuondoa wingu lilokuwepo na kumpa heshima yake Prof. Lakini wanaotakiwa kupima ni nyie wananchi kama majibu ya Mwandosya yanatosha au laa. Zitto sio hakimu wa kuwahukumu wagombea Urais bali ametoa hoja ambazo hawa wagombea kama wajanja wataanza kufanyia kazi majibu ili wakichaguliwa wataweza vipi kukabiliana na maswali hayo..
 
Back
Top Bottom