Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

Kwa watu wavivu wa kufikiri wanaweza kuona kama Prof. Mwandosya hapa katiririka lakini ukweli ni kwamba alichoongea ni utumbo mtupu! Mwandosya hajazunngumza hata chembe moja ya ukweli hapa.

Hivi Professor huyu wa Kinyachusa pamoja na majigambo yake hayo ya kubinafisha mashirika ya Umma anaweza kutuonyesha ni shirika gani linalofanya vizuri baada ya Ubinafsishaji? Liko wapi angalao moja tu atuambie.

Mimi ningependa kuanza na hili la TTCL. Nakumbuka vizuri sana nikiwa na akili timamu kuwa kabla ya Detecon/MSI hawajauziwa/kupewa TTCL kwa bei ya kutupa TTCL chini ya marehemu Adolar Mapunda(RIP) ilikuwa na kiasi cha Tshs. 90 Billion. Mkurugenzi Mkuu Adolar alikwenda mpaka Bungeni akaiambia Serikali kuwa TTCL inauwezo wa kuanzisha Kampuni ya Simu za Mkononi yenyewe na tayari ilishapewa leseni na BRELA kuanzisha Kampuni ya CELNET. Lakini Serikali kupitia Mwandosya wakamwabia Mapunda kuwa TTCL hawataruhusiwa kuanzisha huduma ya Mobile badala yake wamsubiri Mwekezaji DETECON/MSI.

Kila Mtanzania anajua jinsi mchakato wa uuzaji/Ubinasishaji wa TTCL ulivyokwenda. Mwekezaji huyu tapeli kwa kushirikiana na kina Mwandosya walikubaliana walipe USD 120m lakini badala yake wakalipa USD 60m kwa ahadi

kwamba ile nusu iliyobaki 60m USD ingelipwa baada ya kuanza kazi. Matokeo yake ni kwamba walipoingia tu TTCL

walichezea mahesabu ya TTCL na hela zote zile 90B Tshs wakazikomba na kuzipeleka kwenye Kampuni yao ya Celtel.

Iumbukwe kwamba leseni ileile ya CELNET toka BRELA ndiyo waliyoitumia hawa jamaa kwa kufanya nabadiliko kidogo

kwenye jina kutoka Celnet kwenda CELTEL.

Muda wa kulipa ile 60m USD iliyobaki ulipofika hawa wahuni wakadai kuwa baada ya kupitia mahesabu upya wamegundua kuwa TTCL haina fedha kabisa tofauti na walivyofikiria mwanzo na kwa hiyo wako tayari kulipa 4.5m USD tu badala ya 60m USD!

Ikumbukwe kuwa kabla ya hawa wakezaji uchwara hawajapewa TTCL kulifanyika upembuzi yakinifu wa kimiundo mbinu waliyokuwa nayo TTCL na kupitia mahesabu ya TTCL na ndiyo maana wakakubaliana na Serikali ya CCM chini ya Mkapa na Mwandosya kuwa watainunua TTCL kwa 120m USD na si vinginevo!

Kwa kutumia ulaghai na kucheza na mahesabu ndipo wakawaweka sawa kina Mwandosya kwa kuwapa RUSHWA ya fedha pamoja na kuwasomeshea watoto wao akiwemo huyo Binti wa Mwandosya aliyepelekwa Afrika Kusini kwa gharama za CELTEL. Watu wanajua chuo alichopelekwa na mpaka chumba alichokuwa nakaa huyo Binti wa Mwandosya huko SA.

Kwa hili la TTCL Prof. amedanganya kwa 100%.

Nitaendelea............now loading.....

1. Kama utakua haukuwa shuleni, unaweza kulinganisha kampuni ya sigara , kampuni ya bia kabla na bada ya ubinafsishaji , waulize waliokuwa wanakunywa na kuvuta watakuambia.

2. Kuhusu TTCL ametaja hapo thana ya collective responsibility-issue ya tufanye au tusifanya ilishapitishwa na PSRC, Maana ya haigusi yeye mojakwa moja lakini hapaswi kutojibu kwa niaba ya serekali -hapo unapata sifa yake ya team work na sio individual empire and glory-ndio maana kwa ufupi tu zitto kaamua kuwa mpole .jibu lipo makini sana
 
haa haa tunaomba na wagombea wengine waje wajibu tuhuma zao hapa...kama kina sitta na wengine.
 
Fisadi kama mafisadi wengine so asilete porojo hapa. kila anayetuhumiwa kwa ufisadi akipewa nafasi kujieleza hawezi kukosa cha kuongea ndio maana hata akina Lowassa, Change, Muhongo, Tibaijuka wote huwa wanakanusha kuhusika na ufisadi.

Lakin sio kwa prof.huyu n msafi na hachsfuki ,hata majibu yake ysmenyooka.
We muulize lowassa kuhusu richmond utaona majibu yakw
 
Kinacho nifurahisha kwenye huu uzi ni jinsi Bavicha wanavyo mfagilia Prof kutoka CCM! Teh Teh CCM haina mpinzani!

Kwani ni vibaya mwana UKAWA kumtetea mwanasiasa mwadilifu wa CCM, au wa CCM kumtetea wa UKAWA. ?
 
Majibu mengine hata swali la nyongeza hulioni!

swali la nyongeza lipo, hela ilitolewa na serikali kuanzisha celtel ili ttcl imudu ushindani wa simu za mkononi, wakubwa wakagawana hisa, wazungu wakawekwa na kudai kampuni si ya ttcl, mbona hilo hajalijibu?
 
Kumbe huyu mzee ndiye aliyekuwa nyuma ya regulatory bodies muhimu kama Ewura Sumatra tcra na tcaa katika hatua za awali
 
Sio mccm,ila huyu prof akipita maendeleo yatakuwa makubwa sana, jimbo la lake lipo kijijini sana lakn kuna maendeleo makubwa sana had nyani wamewekewa maji ya kunywa porini na vikombe ,umeme ndo usiseme lakin majiran zake siye mbunge wetu anasinzia bungeni mbali nakuwa mjn maendeleo hakuna,anajsfia kutujengea mochwari miaka yote 20 aliyokaa bungeni. nafurah kwamba kasoma alama za nyakati mwaka huu hagombei tena baada ya kuonja joto la uchaguzi 2010!
 
Kwa watu wavivu wa kufikiri wanaweza kuona kama Prof. Mwandosya hapa katiririka lakini ukweli ni kwamba alichoongea ni utumbo mtupu! Mwandosya hajazunngumza hata chembe moja ya ukweli hapa.

Hivi Professor huyu wa Kinyachusa pamoja na majigambo yake hayo ya kubinafisha mashirika ya Umma anaweza kutuonyesha ni shirika gani linalofanya vizuri baada ya Ubinafsishaji? Liko wapi angalao moja tu atuambie.

Mimi ningependa kuanza na hili la TTCL. Nakumbuka vizuri sana nikiwa na akili timamu kuwa kabla ya Detecon/MSI hawajauziwa/kupewa TTCL kwa bei ya kutupa TTCL chini ya marehemu Adolar Mapunda(RIP) ilikuwa na kiasi cha Tshs. 90 Billion. Mkurugenzi Mkuu Adolar alikwenda mpaka Bungeni akaiambia Serikali kuwa TTCL inauwezo wa kuanzisha Kampuni ya Simu za Mkononi yenyewe na tayari ilishapewa leseni na BRELA kuanzisha Kampuni ya CELNET. Lakini Serikali kupitia Mwandosya wakamwabia Mapunda kuwa TTCL hawataruhusiwa kuanzisha huduma ya Mobile badala yake wamsubiri Mwekezaji DETECON/MSI.

Kila Mtanzania anajua jinsi mchakato wa uuzaji/Ubinasishaji wa TTCL ulivyokwenda. Mwekezaji huyu tapeli kwa kushirikiana na kina Mwandosya walikubaliana walipe USD 120m lakini badala yake wakalipa USD 60m kwa ahadi kwamba ile nusu iliyobaki 60m USD ingelipwa baada ya kuanza kazi. Matokeo yake ni kwamba walipoingia tu TTCL walichezea mahesabu ya TTCL na hela zote zile 90B Tshs wakazikomba na kuzipeleka kwenye Kampuni yao ya Celtel. Iumbukwe kwamba leseni ileile ya CELNET toka BRELA ndiyo waliyoitumia hawa jamaa kwa kufanya nabadiliko kidogo kwenye jina kutoka Celnet kwenda CELTEL.

Muda wa kulipa ile 60m USD iliyobaki ulipofika hawa wahuni wakadai kuwa baada ya kupitia mahesabu upya wamegundua kuwa TTCL haina fedha kabisa tofauti na walivyofikiria mwanzo na kwa hiyo wako tayari kulipa 4.5m USD tu badala ya 60m USD!

Ikumbukwe kuwa kabla ya hawa wakezaji uchwara hawajapewa TTCL kulifanyika upembuzi yakinifu wa kimiundo mbinu waliyokuwa nayo TTCL na kupitia mahesabu ya TTCL na ndiyo maana wakakubaliana na Serikali ya CCM chini ya Mkapa na Mwandosya kuwa watainunua TTCL kwa 120m USD na si vinginevo!

Kwa kutumia ulaghai na kucheza na mahesabu ndipo wakawaweka sawa kina Mwandosya kwa kuwapa RUSHWA ya fedha pamoja na kuwasomeshea watoto wao akiwemo huyo Binti wa Mwandosya aliyepelekwa Afrika Kusini kwa gharama za CELTEL. Watu wanajua chuo alichopelekwa na mpaka chumba alichokuwa nakaa huyo Binti wa Mwandosya huko SA.

Kwa hili la TTCL Prof. amedanganya kwa 100%.

Nitaendelea............now loading.....

Mkuu umenene vyema kabisa ni hivi tu karibuni hii hoja ilizimwa na Mama kiroboto baada January makamba kujikanyaga kwenye hii hoja ,serikali imekubali kulipa 7usd ili waimiliki hiyo TTCL KWA asilimia 100
 
1. Kama utakua haukuwa shuleni, unaweza kulinganisha kampuni ya sigara , kampuni ya bia kabla na bada ya ubinafsishaji , waulize waliokuwa wanakunywa na kuvuta watakuambia.

2. Kuhusu TTCL ametaja hapo thana ya collective responsibility-issue ya tufanye au tusifanya ilishapitishwa na PSRC, Maana ya haigusi yeye mojakwa moja lakini hapaswi kutojibu kwa niaba ya serekali -hapo unapata sifa yake ya team work na sio individual empire and glory-ndio maana kwa ufupi tu zitto kaamua kuwa mpole .jibu lipo makini sana

Msulibasi,

Wewe inaonekana aidha ni fisadi au ni shabiki wa Prof. Mwandosya.
Yaonekana hata unachokiongea hukijui. Nionyeshe shirika linalopata faida baada ya ubinafisishaji chini ya utawala wa Mkapa na huyu Waziri wake kihiyo anayejiita Profesa.

Hivi wewe ni mgeni katika nji hii? Hizi habari za TTCL, ATC,TRL,NBC n.k huzijui? Haya ni mashirika yaliyokuwa yanatengeneza FAIDA na fedha za mashirika haya zilikuwa zikitumika vibaya kwa kuchotwa bila mpango na haohao Vigogo wa Serikali ya Chama Cha Mafisadi kwa ajili ya matanuzi na vikao vya chama huko Chimwaga na Dar. Kama hujui uliza mwanakwetu tukujuze. Kuna watu bado wameweka vimemo vya vigogo wa Serikali na CCM wakiomba fedha kwa ajili ya Kampeni za chaguzi mbalimbali. Vipo na zinaweza kutolewa kama ushahidi!!!

Hata kama unazungumzia swala la Collective responsibility bado huyu jamaa yako Mwandosya alikuwa kwene ngazi ya Waziri ambaye anatakiwa kumshauri Rais inavyopaswa kuhusu Ubinafsishaji kama ulikuwa na tija kwa Taifa au la! Labda nikujuze tu ya kwamba MSI/DETECON hawakuja na mtaji wowote wa kuanzisha Celtel leo hii inaitwa Bharti Airtel. Hivi vitu tunavifahamu na tuna ushahidi ambao unaweza kutolewa wakti wowote na mahali popote kwenye Mahakama yoyote.
Jambo la kwanza unatakiwa ufahamu kwamba Celtel alilipa jumla ya Dola 64.5milioni tu kununua 35% ya hisa ndani ya TTCL na 65% zilizobaki zilikuwa zinamilikiwa na Serikali kinadharia tu kwani Serikali haikuwa na sauti yoyote ndani ya TTCL pamoja na kumiliki hisa kubwa! Kwa kutumia mbinu za kifisadi Serikali ya CCM (Prof.Mwandosya na Rais Mkapa)ilitoa maelekezo HAZINA kwamba HAZINA iwape Celtel zile dola 64.5m ili wawekeze kwenye miundombinu ya TTCL kwa nia ya kuiendeleza! Kwa maana ningine ni kwamba Celtel kama Celtel hawakuja na MTAJI wowote wa kuwekeza ndani ya TTCL baada ya kuuziwa/kupewa kwa bei ya kutupa!!Kwa hiyo MSI/DETECON walikuja na Briefcase tu na pum**u zao.

Katika mkataba wa Ubinafsishaji wa TTCL hawa jamaa walikuwa wamepewa masharti ya kutimiza/kutekeleza ikiwemo kuongeza idadi ya simu za kawaida(mezani/fixed) toka 300,000 kufikia 804,000 ndani ya miaka 4 lakini pia kujenga mtandao wa simu za mkononi kupitia Celtel. Baada ya hawa matapeli kuingia TTCL walichofanya ni kinyume cha mkataba kwa kukomba hela yote kwenye akaunti za TTCL na kuzihamishia ughaibuni na kidogo kuwekeza kwenye Celtel.

Walitumia Raslimali watu ya TTCL pamoja na Mtaji wa TTCL ikiwemo fedha waliyorudishiwa kutoka hazina kwa kiasi. Watanzania wazalendo tunajua walianza na Celtel Tanzania huku wakisema ni Kampuni tanzu ya TTCL lakini baada ya kuona wanatengeneza faida kubwa kwa kutumia Raslimali watu ya TTCL na mtaji wa TTCL na fedha kiasi toka Hazina wakabadilisha jina na kujjita Celtel International na kutangaza rasmi kuwa Celtel International haina tena uhusiano wowote na TTCL!!

Baadaye walibadilisha tena jina na kujiita ZAIN(Zaina) katika mipango mikakati ya kukwepa KODI wakisaidiwa na SERA za kifisadi za CCM za TAX HOLIDAY EVERY AFTER 5 YEARS kwa makampuni ya kigeni yanayowekeza Tanzania si kwenye sekta ya Mawasiliano tu lakini hata kwenye MIGODI YA MADINI yetu policy hii ya kifisadi ya CCM bado inaendelea na ndiyo maana nchi hii inaendelea kuwa maskini ya kutupwa na Watanzania wakiendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini! Kwa watu wenye akili timamu wanajua ni kwanini uchumi wa nchi unakuwa kwenye makaratsi tu lakini kiuhalisia na -ve growth. Tunajua mpaka sasa deni la Taifa limefikia Trilioni 38 na thamani ya Shilingi inazidi kuporoka kwa sababu ya SERA ZA KIFISADI ZA CCM.

Labda kwa sasa nimalize kwa kusema kwamba mpaka MSI/DETECON anaondoka baada ya mkataba kwisha hakukuwa na mabadiliko yoyote ndani ya TTCL. Masharti yote 2 waliyopewa ya kuongeza wateja wa simu za kawaida toka 300,000 walishindwa kwani mpaka wanaondoka TTCL ilikuwa na wateja chini ya 200,000!!!Na hili la kujenga mtandao wa simu za mkononi halikuwepo tena kwani tayari Celtel International haikuwa Kampuni tanzu ya TTCL! Kuna jambo moja la kuchekesha kama siyo la kusikitisha ambalo hawa jamaa walilifanya ndani ya TTCL. Walianzisha mtandao wa Simu za mkononi ndani ya TTCL unaoitwa CDMA wakidai ni teknolojia mpya na ya kisasa. Mtandao huo wa kibabaishaji umeendelea kuitesa TTCL mpaka leo kwani Watanzania walishindwa kuupokea maana Makampuni yote wanatumia mtandao wa GSM. Mpaka leo huwa najiuliza ilikuwaje TTCL na Serikali mwenye hisa 65% wakakubali ulaghai huu wa kutumia CDMA wakti wenzao wote wanatumia GSM?

Haya ni ya TTCL tu bado sijagusa ya TRL, ATC, NBC na kadhalika. Labda kabla sijazzungumzia hayo nikukumbushe tu mheshimiwa sana kama utakuwa na kumbukumbu sahihi kuhusu alichosema Baba wa Taifa hili Mwl.J.K.Nyerere kuhusu Ubinafsishaji baada ya kuona Mkapa na Mafisadi wenzake wameigeuza Ikulu kuwa Pango la Wezi na Wanyang'anyi. Alisema hivi. Kama serikali inataka kubinasisha Mashirika basi ifanye hivo kwa yale yaliyokuwa yanajiendesha kwa hasara si kila shirika. Hawa jamaa Mkapa na kina Mwandosya waliweka pamba masikioni waakendelea kubinafsisha mpaka Benki ya NBC iliyokuwa inatengeneza faida kwa bei ya kutupa yaani Tsh. Bilioni 15 tu. Hapa ndipo Mwalimu alivyowatelea uvivu na kumwambia Mkapa na Serikali yake kwamba kwa kasi na mtindo wa ubinafsishaji waliokuwa wanaenda nao BASI WANGEBINAFISISHA MPAKA MAGEREZA!!!!!!!!

Shirika la Ndege Tanzania liko wapi? Ni aibu Tanzania kutokuwa na shrika la ndege huku ikipitwa na vinchi vidogo kama RWANDA,BURUNDI, UGANDA,KENYA, ETHIOPIA n.k. tena vinchi ambavyo havina Raslimali nyingi kama Tanzania. Hivi hii kama siyo laana tuseme ni kitu gani hasa???

Iko wapi TRC(Shirika la Reli Tanzania) lililokuwa maarufu enzi za Mwalimu, iko wapi TAZARA jamani???Mafisadi wa Serikali ya CCM wameamua kuua RELI zote ili waweze kufanya biashara ya kubeba MIZIGO na ABIRIA kwa kutumia maroli yao(Semi-trailer) na Ma-bus ya YOU-TONG made in China!! Upo hapo mwanakwetu????

Nitaendelea tena baada ya kufanya loading.......
 
Hakuna alichojibu Prof. Nakiri ni kiongozi makini na sio mpayukaji. Nahisi anaweza kuwa baba mzuri, mhadhiri bora kabisa. Kwa mtu wa umri wangu ni kaka mzuri lakini kwa dhambi ya chama chake cha Mapinduzi Prof. Mark hanajibu la maana hapa. Aliyoyasema Zitto, ndizo tuhuma zetu kwa CCM. Hakuna atakaye okoka kutoka CCM.
 
Mimi ni Chadema damu. Lakini ikitokea naambiwa nichague kati ya Rafiki yangu, Mzee wangu, Jabali langu Dr. Slaa na Mzee Mark Mwandosya, wana Chadema wenzangu mtaniwia radhi, Mwandosya atabaki kuwa chaguo langu la kwanza.

CC: masopakyindi
 
Last edited by a moderator:
Kwa watu wavivu wa kufikiri wanaweza kuona kama Prof. Mwandosya hapa katiririka lakini ukweli ni kwamba alichoongea ni utumbo mtupu! Mwandosya hajazunngumza hata chembe moja ya ukweli hapa.

Hivi Professor huyu wa Kinyachusa pamoja na majigambo yake hayo ya kubinafisha mashirika ya Umma anaweza kutuonyesha ni shirika gani linalofanya vizuri baada ya Ubinafsishaji? Liko wapi angalao moja tu atuambie.

Mimi ningependa kuanza na hili la TTCL. Nakumbuka vizuri sana nikiwa na akili timamu kuwa kabla ya Detecon/MSI hawajauziwa/kupewa TTCL kwa bei ya kutupa TTCL chini ya marehemu Adolar Mapunda(RIP) ilikuwa na kiasi cha Tshs. 90 Billion. Mkurugenzi Mkuu Adolar alikwenda mpaka Bungeni akaiambia Serikali kuwa TTCL inauwezo wa kuanzisha Kampuni ya Simu za Mkononi yenyewe na tayari ilishapewa leseni na BRELA kuanzisha Kampuni ya CELNET. Lakini Serikali kupitia Mwandosya wakamwabia Mapunda kuwa TTCL hawataruhusiwa kuanzisha huduma ya Mobile badala yake wamsubiri Mwekezaji DETECON/MSI.

Kila Mtanzania anajua jinsi mchakato wa uuzaji/Ubinasishaji wa TTCL ulivyokwenda. Mwekezaji huyu tapeli kwa kushirikiana na kina Mwandosya walikubaliana walipe USD 120m lakini badala yake wakalipa USD 60m kwa ahadi kwamba ile nusu iliyobaki 60m USD ingelipwa baada ya kuanza kazi. Matokeo yake ni kwamba walipoingia tu TTCL walichezea mahesabu ya TTCL na hela zote zile 90B Tshs wakazikomba na kuzipeleka kwenye Kampuni yao ya Celtel. Iumbukwe kwamba leseni ileile ya CELNET toka BRELA ndiyo waliyoitumia hawa jamaa kwa kufanya nabadiliko kidogo kwenye jina kutoka Celnet kwenda CELTEL.

Muda wa kulipa ile 60m USD iliyobaki ulipofika hawa wahuni wakadai kuwa baada ya kupitia mahesabu upya wamegundua kuwa TTCL haina fedha kabisa tofauti na walivyofikiria mwanzo na kwa hiyo wako tayari kulipa 4.5m USD tu badala ya 60m USD!

Ikumbukwe kuwa kabla ya hawa wakezaji uchwara hawajapewa TTCL kulifanyika upembuzi yakinifu wa kimiundo mbinu waliyokuwa nayo TTCL na kupitia mahesabu ya TTCL na ndiyo maana wakakubaliana na Serikali ya CCM chini ya Mkapa na Mwandosya kuwa watainunua TTCL kwa 120m USD na si vinginevo!

Kwa kutumia ulaghai na kucheza na mahesabu ndipo wakawaweka sawa kina Mwandosya kwa kuwapa RUSHWA ya fedha pamoja na kuwasomeshea watoto wao akiwemo huyo Binti wa Mwandosya aliyepelekwa Afrika Kusini kwa gharama za CELTEL. Watu wanajua chuo alichopelekwa na mpaka chumba alichokuwa nakaa huyo Binti wa Mwandosya huko SA.

Kwa hili la TTCL Prof. amedanganya kwa 100%.

Nitaendelea............now loading.....
Mkuu tunasubiri muendelezo!...
 
"Kinyachusa" ndiyo sasa?
Hujitambui wewe, kajipange upya.
 
Sio mccm,ila huyu prof akipita maendeleo yatakuwa makubwa sana, jimbo la lake lipo kijijini sana lakn kuna maendeleo makubwa sana had nyani wamewekewa maji ya kunywa porini na vikombe ,umeme ndo usiseme lakin majiran zake siye mbunge wetu anasinzia bungeni mbali nakuwa mjn maendeleo hakuna,anajsfia kutujengea mochwari miaka yote 20 aliyokaa bungeni. nafurah kwamba kasoma alama za nyakati mwaka huu hagombei tena baada ya kuonja joto la uchaguzi 2010!

Tuko pamoja mkuu, kweli Mwakyusa ni janga kwetu wana Rungwe Magharibi, hakuna la maana atakalojivunia hata kushikiria jimbo kwa takribani miaka 15 mfululizo.
 
Msulibasi,

Wewe inaonekana aidha ni fisadi au ni shabiki wa Prof. Mwandosya.
Yaonekana hata unachokiongea hukijui. Nionyeshe shirika linalopata faida baada ya ubinafisishaji chini ya utawala wa Mkapa na huyu Waziri wake kihiyo anayejiita Profesa.

Hivi wewe ni mgeni katika nji hii? Hizi habari za TTCL, ATC,TRL,NBC n.k huzijui? Haya ni mashirika yaliyokuwa yanatengeneza FAIDA na fedha za mashirika haya zilikuwa zikitumika vibaya kwa kuchotwa bila mpango na haohao Vigogo wa Serikali ya Chama Cha Mafisadi kwa ajili ya matanuzi na vikao vya chama huko Chimwaga na Dar. Kama hujui uliza mwanakwetu tukujuze. Kuna watu bado wameweka vimemo vya vigogo wa Serikali na CCM wakiomba fedha kwa ajili ya Kampeni za chaguzi mbalimbali. Vipo na zinaweza kutolewa kama ushahidi!!!

Hata kama unazungumzia swala la Collective responsibility bado huyu jamaa yako Mwandosya alikuwa kwene ngazi ya Waziri ambaye anatakiwa kumshauri Rais inavyopaswa kuhusu Ubinafsishaji kama ulikuwa na tija kwa Taifa au la! Labda nikujuze tu ya kwamba MSI/DETECON hawakuja na mtaji wowote wa kuanzisha Celtel leo hii inaitwa Bharti Airtel. Hivi vitu tunavifahamu na tuna ushahidi ambao unaweza kutolewa wakti wowote na mahali popote kwenye Mahakama yoyote.
Jambo la kwanza unatakiwa ufahamu kwamba Celtel alilipa jumla ya Dola 64.5milioni tu kununua 35% ya hisa ndani ya TTCL na 65% zilizobaki zilikuwa zinamilikiwa na Serikali kinadharia tu kwani Serikali haikuwa na sauti yoyote ndani ya TTCL pamoja na kumiliki hisa kubwa! Kwa kutumia mbinu za kifisadi Serikali ya CCM (Prof.Mwandosya na Rais Mkapa)ilitoa maelekezo HAZINA kwamba HAZINA iwape Celtel zile dola 64.5m ili wawekeze kwenye miundombinu ya TTCL kwa nia ya kuiendeleza! Kwa maana ningine ni kwamba Celtel kama Celtel hawakuja na MTAJI wowote wa kuwekeza ndani ya TTCL baada ya kuuziwa/kupewa kwa bei ya kutupa!!Kwa hiyo MSI/DETECON walikuja na Briefcase tu na pum**u zao.

Katika mkataba wa Ubinafsishaji wa TTCL hawa jamaa walikuwa wamepewa masharti ya kutimiza/kutekeleza ikiwemo kuongeza idadi ya simu za kawaida(mezani/fixed) toka 300,000 kufikia 804,000 ndani ya miaka 4 lakini pia kujenga mtandao wa simu za mkononi kupitia Celtel. Baada ya hawa matapeli kuingia TTCL walichofanya ni kinyume cha mkataba kwa kukomba hela yote kwenye akaunti za TTCL na kuzihamishia ughaibuni na kidogo kuwekeza kwenye Celtel.

Walitumia Raslimali watu ya TTCL pamoja na Mtaji wa TTCL ikiwemo fedha waliyorudishiwa kutoka hazina kwa kiasi. Watanzania wazalendo tunajua walianza na Celtel Tanzania huku wakisema ni Kampuni tanzu ya TTCL lakini baada ya kuona wanatengeneza faida kubwa kwa kutumia Raslimali watu ya TTCL na mtaji wa TTCL na fedha kiasi toka Hazina wakabadilisha jina na kujjita Celtel International na kutangaza rasmi kuwa Celtel International haina tena uhusiano wowote na TTCL!!

Baadaye walibadilisha tena jina na kujiita ZAIN(Zaina) katika mipango mikakati ya kukwepa KODI wakisaidiwa na SERA za kifisadi za CCM za TAX HOLIDAY EVERY AFTER 5 YEARS kwa makampuni ya kigeni yanayowekeza Tanzania si kwenye sekta ya Mawasiliano tu lakini hata kwenye MIGODI YA MADINI yetu policy hii ya kifisadi ya CCM bado inaendelea na ndiyo maana nchi hii inaendelea kuwa maskini ya kutupwa na Watanzania wakiendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini! Kwa watu wenye akili timamu wanajua ni kwanini uchumi wa nchi unakuwa kwenye makaratsi tu lakini kiuhalisia na -ve growth. Tunajua mpaka sasa deni la Taifa limefikia Trilioni 38 na thamani ya Shilingi inazidi kuporoka kwa sababu ya SERA ZA KIFISADI ZA CCM.

Labda kwa sasa nimalize kwa kusema kwamba mpaka MSI/DETECON anaondoka baada ya mkataba kwisha hakukuwa na mabadiliko yoyote ndani ya TTCL. Masharti yote 2 waliyopewa ya kuongeza wateja wa simu za kawaida toka 300,000 walishindwa kwani mpaka wanaondoka TTCL ilikuwa na wateja chini ya 200,000!!!Na hili la kujenga mtandao wa simu za mkononi halikuwepo tena kwani tayari Celtel International haikuwa Kampuni tanzu ya TTCL! Kuna jambo moja la kuchekesha kama siyo la kusikitisha ambalo hawa jamaa walilifanya ndani ya TTCL. Walianzisha mtandao wa Simu za mkononi ndani ya TTCL unaoitwa CDMA wakidai ni teknolojia mpya na ya kisasa. Mtandao huo wa kibabaishaji umeendelea kuitesa TTCL mpaka leo kwani Watanzania walishindwa kuupokea maana Makampuni yote wanatumia mtandao wa GSM. Mpaka leo huwa najiuliza ilikuwaje TTCL na Serikali mwenye hisa 65% wakakubali ulaghai huu wa kutumia CDMA wakti wenzao wote wanatumia GSM?

Haya ni ya TTCL tu bado sijagusa ya TRL, ATC, NBC na kadhalika. Labda kabla sijazzungumzia hayo nikukumbushe tu mheshimiwa sana kama utakuwa na kumbukumbu sahihi kuhusu alichosema Baba wa Taifa hili Mwl.J.K.Nyerere kuhusu Ubinafsishaji baada ya kuona Mkapa na Mafisadi wenzake wameigeuza Ikulu kuwa Pango la Wezi na Wanyang'anyi. Alisema hivi. Kama serikali inataka kubinasisha Mashirika basi ifanye hivo kwa yale yaliyokuwa yanajiendesha kwa hasara si kila shirika. Hawa jamaa Mkapa na kina Mwandosya waliweka pamba masikioni waakendelea kubinafsisha mpaka Benki ya NBC iliyokuwa inatengeneza faida kwa bei ya kutupa yaani Tsh. Bilioni 15 tu. Hapa ndipo Mwalimu alivyowatelea uvivu na kumwambia Mkapa na Serikali yake kwamba kwa kasi na mtindo wa ubinafsishaji waliokuwa wanaenda nao BASI WANGEBINAFISISHA MPAKA MAGEREZA!!!!!!!!

Shirika la Ndege Tanzania liko wapi? Ni aibu Tanzania kutokuwa na shrika la ndege huku ikipitwa na vinchi vidogo kama RWANDA,BURUNDI, UGANDA,KENYA, ETHIOPIA n.k. tena vinchi ambavyo havina Raslimali nyingi kama Tanzania. Hivi hii kama siyo laana tuseme ni kitu gani hasa???

Iko wapi TRC(Shirika la Reli Tanzania) lililokuwa maarufu enzi za Mwalimu, iko wapi TAZARA jamani???Mafisadi wa Serikali ya CCM wameamua kuua RELI zote ili waweze kufanya biashara ya kubeba MIZIGO na ABIRIA kwa kutumia maroli yao(Semi-trailer) na Ma-bus ya YOU-TONG made in China!! Upo hapo mwanakwetu????

Nitaendelea tena baada ya kufanya loading.......

Kwanza nikupo hongera kw majibu marefu sana lkini kikubwa hapa ni swali la je Mwandosya amehusikje directly as an individual usi-m-sue kanakwamba yeye ndio alikua rais au PSRC. Kwa kumbukumbu zangu kampuni ya bia ilishaanza kujifia kiasi cha kuhatarisha ajira za wafanyakazi , Sigara nayo iliyumba sana wafanyakazi wakawa wanapewa likizo za bila malipo

Eneo lingine muhimu ni upatiknaji wa bidhaa ama huduma na kiwango cha huduma yenyewe, hilo ndio kubwa ,mwanachi wa kawaida haezi kuona ubora wa kampuni kupitia mapato kabla ya kuona faida ya mojakwamoja kutoka kwenye hizo kampuni.Kipindi kile kuna kitu kiliitwa subdidies -ruzuku ,kampuni kama hizi za bia na sigara zilikua zikipatiwa ruzuku ili zisife na hazikuweza kukua-kulikua hakuna namna labda hiyo TTCL ambayo hakuhusika oja kwa moja.
 
Mimi ni Chadema damu. Lakini ikitokea naambiwa nichague kati ya Rafiki yangu, Mzee wangu, Jabali langu Dr. Slaa na Mzee Mark Mwandosya, wana Chadema wenzangu mtaniwia radhi, Mwandosya atabaki kuwa chaguo langu la kwanza.

CC: masopakyindi
Ha ha ha!
Mkuu umacheza karata ya home ground.
nakubaliana na wewe, ni kama ambavyo wana CHADEMA Arusha wamevua soni yao kwa CCM.
Na kumpa hi Lowassa.
 
Kwanza nikupo hongera kw majibu marefu sana lkini kikubwa hapa ni swali la je Mwandosya amehusikje directly as an individual usi-m-sue kanakwamba yeye ndio alikua rais au PSRC. Kwa kumbukumbu zangu kampuni ya bia ilishaanza kujifia kiasi cha kuhatarisha ajira za wafanyakazi , Sigara nayo iliyumba sana wafanyakazi wakawa wanapewa likizo za bila malipo

Eneo lingine muhimu ni upatiknaji wa bidhaa ama huduma na kiwango cha huduma yenyewe, hilo ndio kubwa ,mwanachi wa kawaida haezi kuona ubora wa kampuni kupitia mapato kabla ya kuona faida ya mojakwamoja kutoka kwenye hizo kampuni.Kipindi kile kuna kitu kiliitwa subdidies -ruzuku ,kampuni kama hizi za bia na sigara zilikua zikipatiwa ruzuku ili zisife na hazikuweza kukua-kulikua hakuna namna labda hiyo TTCL ambayo hakuhusika oja kwa moja.

Msulibasi,

Nashukru kwa hongera.

Swala la Mwandosya ni swala la sera ya Chama Cha Mafisadi. Kwa maana hiyo upuuzi au ufisadi wowote uliofanyika wakti yeye akiwa Waziri ni utekelezaji wa sera zilezile mbovu za CCM ambazo Viongozi wa CCM huzitunga ili ziwanufaishe wao na siyo nchi. Ndiyo maana tunasema CCM imechoka hivo inatakiwa ipishe Ikulu kiongoze chama kingine kitakacholeta mabadiliko ya kweli na siyo MAISHA BORA HEWA na MATUMAINI HEWA wanayoahidiwa Watanzania na bado hawayaoni!!!
 
Back
Top Bottom