Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
kwani huoni majibu!?
Nimeshangaa hata yule tulikuwa tunamwita msomi Bashiru Ally kumbe naye kilaza tuu? kaja na kauli utadhani ni Livingstone Lusinde au Msukuma! hivi kuna tatizo gani la kigenetiki kati ya CCM na Ubongo? mbona kama havitaki kuwa na mahusiano?Huu mwongozo utumiwe na mabalozi maana ndio majibu yaliyopo midomoni wa viongozi wa CCM
You cant cut the hand that feeds you. Sasa hivi ukiwawekea clips zao za zamani watu kama Kabudi, Polepole, Mwita Waitara etc, wanaweza wakakataa kwamba sio wao waliokuwa wanatamka maneno yale.Yaani Mie hua najiulizaga saana uhusiano kati ya ubongo na sisiemu..
Huu ni mwongozo mzuri sana kwa maccmSwali: Ni nani aliondoa walinzi eneo la area C linalolindwa 24/7?
Jibu: unaichafua nchi
Swali: Ni kwanini Kalemani aliondoa CCTV camera mara tu baada ya tukio na alitumwa na nani?
JIBU: Rudi uwatumikie wana singida
Swali: Kwanini wale wana CCM waliotangaza hadharani niuwawe hawakuhojiwa kabla na baada ya tukio?
JIBU: Tunazuia mshahara wako
Swali: Kwanini mnakataa uchunguzi wa FBI na Scotland yard ambao wako tayari kuja?
JIBU: Sisi ni nchi huru. Swali: Mbona Zanzibar walikuja kuchunguza issue ya padre?
Jibu: Tutaumbuka.
Ngoja nilipasuepasue jiwe nipate kokoto za kutosha kujengea chooMaswali yote jibu moja tu
'Sasa si urudi nyumbani'