Majibu ya maswali ya Tundu Lissu haya hapa - mwongozo kwa Mabalozi

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
336
677
Swali: Ni nani aliondoa walinzi eneo la area C linalolindwa 24/7?
Jibu: unaichafua nchi

Swali: Ni kwanini Kalemani aliondoa CCTV camera mara tu baada ya tukio na alitumwa na nani?
JIBU: Rudi uwatumikie wana singida

Swali: Kwanini wale wana CCM waliotangaza hadharani niuwawe hawakuhojiwa kabla na baada ya tukio?
JIBU: Tunazuia mshahara wako

Swali: Kwanini mnakataa uchunguzi wa FBI na Scotland yard ambao wako tayari kuja?

JIBU: Sisi ni nchi huru. Swali: Mbona Zanzibar walikuja kuchunguza issue ya padre?
Jibu: Tutaumbuka.
 
Huu mwongozo utumiwe na mabalozi maana ndio majibu yaliyopo midomoni wa viongozi wa CCM
 
balozi kapigwa swali ambalo hakulitegemea akabaki tu.kakaa sasa so urudi tu nyumbani?
 
Sasa nimeelewa kwanini wana CCM wanamuita Lissu mropokaji. Hata ningekuwa mimi ndo timu Buku Saba ningemuita hivyo hivyo kwa maswali hayo.
 
Kama majibu ya watu wakubwa wanaowakilisha nchi ndiyo hayo....tunashangaa nini kuona watoto wafanyapo mitihani shule ya msingi wanaandikia vituko kwenye karatasi za majibu?
 
Badala ya kushangaa nimecheka sana.Eti..."si urudi nyumbani?"...Huu wema wa kuanza kubembelezana kurudi nyumbani umeanza lini?Ni sawa na mtu uliye na mashaka naye akuambie mpite njia za vichochoroni usiku.Anataka akufanye nini?
 
Huu mwongozo utumiwe na mabalozi maana ndio majibu yaliyopo midomoni wa viongozi wa CCM
Nimeshangaa hata yule tulikuwa tunamwita msomi Bashiru Ally kumbe naye kilaza tuu? kaja na kauli utadhani ni Livingstone Lusinde au Msukuma! hivi kuna tatizo gani la kigenetiki kati ya CCM na Ubongo? mbona kama havitaki kuwa na mahusiano?
 
Yaani Mie hua najiulizaga saana uhusiano kati ya ubongo na sisiemu, huwa connections zake ziko hewani manake hata genius anakuà haeleweki. Wewe waangalie hakuna tofauti kati ya Mwakiembe na kibajaji. Usomi wetu upo wapiiiii
 
Swali: Ni nani aliondoa walinzi eneo la area C linalolindwa 24/7?
Jibu: unaichafua nchi

Swali: Ni kwanini Kalemani aliondoa CCTV camera mara tu baada ya tukio na alitumwa na nani?
JIBU: Rudi uwatumikie wana singida

Swali: Kwanini wale wana CCM waliotangaza hadharani niuwawe hawakuhojiwa kabla na baada ya tukio?
JIBU: Tunazuia mshahara wako

Swali: Kwanini mnakataa uchunguzi wa FBI na Scotland yard ambao wako tayari kuja?
JIBU: Sisi ni nchi huru. Swali: Mbona Zanzibar walikuja kuchunguza issue ya padre?
Jibu: Tutaumbuka.
Huu ni mwongozo mzuri sana kwa maccm
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom