Majibu ya maswali ya Tundu Lissu haya hapa - mwongozo kwa Mabalozi

Swali: Ni nani aliondoa walinzi eneo la area C linalolindwa 24/7?
Jibu: unaichafua nchi

Swali: Ni kwanini Kalemani aliondoa CCTV camera mara tu baada ya tukio na alitumwa na nani?
JIBU: Rudi uwatumikie wana singida

Swali: Kwanini wale wana CCM waliotangaza hadharani niuwawe hawakuhojiwa kabla na baada ya tukio?
JIBU: Tunazuia mshahara wako

Swali: Kwanini mnakataa uchunguzi wa FBI na Scotland yard ambao wako tayari kuja?
JIBU: Sisi ni nchi huru. Swali: Mbona Zanzibar walikuja kuchunguza issue ya padre?
Jibu: Tutaumbuka.
Zimeokotwa maiti kwenye viroba, umuhimu wa FBI na CIA kuja haukuonekana.

Wamekufa watu wengi tu kule kibiti umuhimu wa hao wapelelezi haukuonekana.

Leo mtanzania mmoja amejeruhiwa kwa risasi ndipo umuhimu wa FBI na CIA unapoonekana!!.
 
Hao wote uchunguzi wa Polisi ilikuwa unafanyika. Huyo mtu mmoja unayemsema, pamoja na viashiria vyote vinavyo tajwa hakuna hata polisi mmoja kapewa failing ili uchunguzi ufanywe
Ndio maana wachunguzi wa nje wanahitajika.
 
Back
Top Bottom