Sasa kuanzia kombora mpaka lala salama ni I Love You na I Miss You tu?
Yaani akiona jina lako tu anajua msg iliyokuja kabla hajaifungua!
Baada ya muda atakuwa hajibu kabisa!
Una bahati kujibiwa poa,wengine wanajibiwa 'k'
Niambie Mimi Uone Raha!
haka kajibu ka 'K' huwa kananikera sana mimi. Kuna wanaume wanakapenda pia haka ka K
Habarini wana mmu,hope mko vizuri.
Hivi inakuwaje pindi unamwambia au kumuandikia mpenzi wako sms unamwambia 'nakupenda dia' halafu anakujibu 'poa',unamwambia 'nimekumis kpnz' anajibu 'poa','unaendeleaje mpnz?'anajibu 'poa'.
Mi binafsi inaniuma na kunkera pia,please nisaidieni wakuu, ni nini kinakuwa kinaendelea?
ulishagegedwa so huna jipya tena.
labda kati ya moja wapo:-
1. yuko kwenye mood
2. yuko busy
3. mapenzi kwishnei
Relationshops zina ku grow...
hizo za i love you kutwa ni stages za mwanzo
sasa hebu nenda stages zinazofuata....
mkumbushe kitu cha kiofisi....muulize mkopo wake amefikia wapi?
au kitu chochote mlichowahi kuzungumza....
kila relationship ina 'honeymoon period'
ikiisha hapo mnaingia kwenye reality......hebu muulize kuhusu bosi wake anaemkera uone atakavyo tiririka
..
POA tu!Habarini wana mmu,hope mko vizuri.