Majibu ya kukera unapochati na mpenzi wako

Majibu ya kukera unapochati na mpenzi wako

mkuu kwa comment zako wewe hunifai kabisaaaa... mimi nataka mtu mwenye mahaba niue.

oh really? what kind of man is that binti matege? means you want to drive someone crazy while your life part is safe?
 
oh really? what kind of man is that binti matege? means you want to drive someone crazy while your life part is safe?

mahaba niue nayoyataka mm ni kwa pande zote mbili... kwangu na kwake
 
Habarini wana mmu,hope mko vizuri.

Hivi inakuwaje pindi unamwambia au kumuandikia mpenzi wako sms unamwambia 'nakupenda dia' halafu anakujibu 'poa',unamwambia 'nimekumis kpnz' anajibu 'poa','unaendeleaje mpnz?'anajibu 'poa'.

Mi binafsi inaniuma na kunkera pia,please nisaidieni wakuu, ni nini kinakuwa kinaendelea?

Acha kumwita dear, acha kumwambia nimekumiss. Treat him the way he treat you. Utajiona mwepesiiii. Usibebe mizigo Isiyobebeka.

Ikiwezekana muweke kwenye reserve list.
 
Relationshops zina ku grow...
hizo za i love you kutwa ni stages za mwanzo

sasa hebu nenda stages zinazofuata....
mkumbushe kitu cha kiofisi....muulize mkopo wake amefikia wapi?
au kitu chochote mlichowahi kuzungumza....

kila relationship ina 'honeymoon period'
ikiisha hapo mnaingia kwenye reality......hebu muulize kuhusu bosi wake anaemkera uone atakavyo tiririka
..

Very true
 
na kuna mwingine bora huyooo wa poa..... maaana kuna huyu weeee unaaandika Swaga zako weeeeee...... halafu yeeee anajibu K.... kuumaamaee huwa Naboreka mieee.....!!!
 
Wanasemaga marry a person who can make you laugh, because later on in your life the social skills are really crucial.

kama hamna cha kushare, the only thinv mnafanya ni kuambiana i love yuuu basi mtadoda. Ndo ndoa unakuta watu kwenye foleni wamenuniana kama gogondwe. Hata kama mna ugomvi you should be able to laugh and joke, at least about the weather! Khaa!
 
Acha kumwita dear, acha kumwambia nimekumiss. Treat him the way he treat you. Utajiona mwepesiiii. Usibebe mizigo Isiyobebeka.

Ikiwezekana muweke kwenye reserve list.
Ukishajibiwa hivyo block hiyo namba yake na ikitokea akakutafuta na kwa bahati akakuuliza swali lolote jibu liwe "poa" sikuhizi hakuna ishu za kubembelezana, mtu akikuzingua tafuta timu nyingine
 
Relationshops zina ku grow...
hizo za i love you kutwa ni stages za mwanzo

sasa hebu nenda stages zinazofuata....
mkumbushe kitu cha kiofisi....muulize mkopo wake amefikia wapi?
au kitu chochote mlichowahi kuzungumza....

kila relationship ina 'honeymoon period'
ikiisha hapo mnaingia kwenye reality......hebu muulize kuhusu bosi wake anaemkera uone atakavyo tiririka
..

Well said mkuu... Yaan ukiongelea issue za ofisini atatiririka kuanzia kilichofanyika asubuhi mpaka jioni.
 
Ukishajibiwa hivyo block hiyo namba yake na ikitokea akakutafuta na kwa bahati akakuuliza swali lolote jibu liwe "poa" sikuhizi hakuna ishu za kubembelezana, mtu akikuzingua tafuta timu nyingine

Nakushukuru....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom