Majibu ya kukera unapochati na mpenzi wako

Majibu ya kukera unapochati na mpenzi wako

mwambie kama hupendi hiyo tabia atajirekebisha usisemee kwenye mtungi
 
Mi huwa nna mwambia kabisa I love u, I miss u my ass. Kuna watu cjui hawana kaz kuuuuutwaaa bla bla ahh
 
kila muda beb beb..
miss u,lov u,nid u aisee zinachefua yani huna muda wa kuongelea vitu vingine?

hata kama anakupenda anachoka uphillipino huo anza kuongelea na vingine bn...
kuonyesha unapenda sio lazima yawe hayo maneno kila mara kama song of lawino

duuuuuuhhhhhh......
 
Habarini wana mmu,hope mko vizuri.

Hivi inakuwaje pindi unamwambia au kumuandikia mpenzi wako sms unamwambia 'nakupenda dia' halafu anakujibu 'poa',unamwambia 'nimekumis kpnz' anajibu 'poa','unaendeleaje mpnz?'anajibu 'poa'.

Mi binafsi inaniuma na kunkera pia,please nisaidieni wakuu, ni nini kinakuwa kinaendelea?

Niambie Mimi Uone Raha!
 
Pole mwaya bt wanaume wapo wengi haina haja yakumbembeleza uyo kakuchoka.....
 
Sasa kuanzia kombora mpaka lala salama ni I Love You na I Miss You tu?
Yaani akiona jina lako tu anajua msg iliyokuja kabla hajaifungua!
Baada ya muda atakuwa hajibu kabisa!
 
atamaliza kijiji sasa.... ajiangalie mwenyewe kakosea wapi[/QUOTE]

Hivi kila mahusiano yaki fail mwanamke ndio anakuwa amekosea?
Acheni kujiona Miungu watu nyie,kuna sababu nyingi za kuua mahusiano ikiwemo wehu wa baadhi ya wanaume pia
 
ILOVE U zikizidi sana unaboreka mwanamke unatakiwa kuwa na changamoto cku hizi wanaume hizo i love u wamezichoka cz hata wakienda kwa machangu na mabaamedi wanazipata
 
Habarini wana mmu,hope mko vizuri.

Hivi inakuwaje pindi unamwambia au kumuandikia mpenzi wako sms unamwambia 'nakupenda dia' halafu anakujibu 'poa',unamwambia 'nimekumis kpnz' anajibu 'poa','unaendeleaje mpnz?'anajibu 'poa'.

Mi binafsi inaniuma na kunkera pia,please nisaidieni wakuu, ni nini kinakuwa kinaendelea?

Labda anakua yupo busy sn,bt ni vzr ukimueleza ukweli kua hupendi da way anavyojibu sms pindi mnapochati…!!!
 
ha ha ha ha mtu mwenyewe bahili hata voucher hutumi unatuma tuma msg zako majibu yako ndio hayo
 
Sio wote wana mahaba ya maandishi mwaya!
Mwingine yupo tu hivyo!
Usikariri
unaweza ukamwacha best man ever! Kisa tu hasemi i love you too!
Mwingine anakuona we booooonge la mwanamke ukimsalimia kwa kumpa rates za hisa TCC.lol
hebu msome huyo mtu umjue vizur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom