Majibu ya kukatana stim

KONDA(huku katoa shingo nje ya daladala):Oya Mwenge,kawe mnaenda? ABIRIA(wakisubiri usafiri):Tukafanye nini?
 
Abiria: Konda nishushe hapo Chama.
konda: Njoo ushuke mwenyewe mimi sina nguvu za kukushusha.
 
Konda akidai nauli...! Oya mother hapo mbele.... Mama kimya...konda akaendelea.... Oya bro hapo nyuma....!! Dah jamaa kawa mbogo!! We konda shika adabu yako, kamwambie mzee wako hapo nyuma si mimi.
 
Abiria; we konda mbona unaendelea kupakia abiria nawakati gari imejaza?

konda: kama unataka starehe ungekodi tax.
 
Noti Mpya zilipotoka
Abiria: Konda nirudishia hii mia-tano mpya siitaki nipe ya zamani
Konda: Hata mimi hii mpya siitaki kama vipi ichane usiione tena kwenye pochi lako
 
konda akidai nauli! oya abiria toeni mapunga hayo, oya bro toa mpunga huo.
 
MWANACHUO:prof,nimekosa maksi moja tu ili nifaulu,kama vp niongezee. PROFESA:Yaaani wewe umesoma mwaka mzima umeikosa hiyo maksi moja sasa mimi nitaipata wapi kwa ghafla muda huu.
 
mama kasaundshwa kunae cti akapanda kumbe gar lmejaa!
PASNGR-kwa huzun:dereva kwel gar lmejaa c2mecmama na bado unacmama kupakia watu?
DEREVA- ninawachezesha POOLTABLE!
 
mama kasaundshwa kunae cti akapanda kumbe gar lmejaa!
PASNGR-kwa huzun:dereva kwel gar lmejaa c2mecmama na bado unacmama kupakia watu?
DEREVA- ninawachezesha POOLTABLE!
hueleweki na lugha za kisharobaro
 
Back
Top Bottom