The best reply of the thread,thumb up jaluo.Passenger: hapa tupo wapi?
Conda: ndani ya daladala.
The best reply of the thread,thumb up jaluo.
ongeza,kama mapenzi ni pesa kaoe benki
KONDA:Hata siku moja,kesho haijawahi fika.ABIRIA:wai mbona unakaa saana kituoni
KONDA:kama una haraka ungeondoka jana
ABIRIA:Ndio hivyo shughuli yenyewe kesho ndo maana naondoka leo
mentor kapotelea wapi? nilimtania kwenye ile thread yake ya matani hadi leo hajaonekana,
Aliaga hajarudi tena!
Aisee,hata kama nguvu sina,nitamrushia hata mawe!Abiria:konda umenipitiliza kituo
konda:kwani mi ndio najua unakoenda!
Abiria:si nilikwambia sipafahamu.
Konda:sasa umejuaje kama umepilizwa!