Majibu ya kukatana stim

Majibu ya kukatana stim

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
6,634
Reaction score
3,661
In a K/KOO mat,an elderly lady complaining about the music..Wekeni nyimbo za yesu'
Conductor: Mather,Yesu bado hajatoa album.......

Passenger: Kuna Kiti?
Conda:hao wengine wamekalia ndoo lakini wewe mambo safi usijali tutakupa kiti.
**************
Passenger: Kuna kiti ama ni Ule uwongo Wenu
Conda: Hehe,kama ulikuwa
unaogopa kukosa kiti c ungebeba chako!!
***********
Passenger: Punguza Sauti
Conda: Wewee,tuko na sheria za kutosha usituongeze zako
**************
Passenger: Bwana hii gari ina joto sana!!
Conda: Basi shuka upande fridge.
************

Conda: Madam,kuna seats pale nyuma, ingia
Passenger: Siwezi kaa seats za nyuma, nataka mbele.
Conda: Kwani za nyuma ziko nje ya gari.

Weekend Njema!
 
************

Conda: Madam,kuna seats pale nyuma,ingia
Passenger: Siwezi kaa seats za nyuma, nataka mbele.
Conda: Kwani za nyuma ziko nje ya gari
Weekend Njema!

Teh Teh zimekaa njema sana hizi.........

Ila kwani Serikali imeshatangaza kuwa siku hizi Weekend inaanza Alhamis leo? loooh
 
Haaaaa haaa,
Dah hii ya kuja na kiti chako lol!
Raha mpaka kumoyo!
 
mnh hii ya kwani seat nyingine zipo nje ya gari nayo imetiafora
 
In a K/KOO mat,an elderly lady complaining about the music..Wekeni nyimbo za yesu'
Conductor: Mather,Yesu bado hajatoa album.......

Passenger: Kuna Kiti?
Conda:hao wengine wamekalia ndoo lakini wewe mambo safi usijali tutakupa kiti.
**************

Passenger: Kuna kiti ama ni Ule uwongo Wenu
Conda: Hehe,kama ulikuwa
unaogopa kukosa kiti c ungebeba chako!!
**************

Passenger: Punguza Sauti
Conda: Wewee,tuko na sheria za kutosha usituongeze zako
**************

Passenger: Bwana hii gari ina joto sana!!
Conda: Basi shuka upande fridge.
************

Conda: Madam,kuna seats pale nyuma,ingia
Passenger: Siwezi kaa seats za nyuma, nataka mbele.
Conda: Kwani za nyuma ziko nje ya gari
Weekend Njema!

Lol....namrukisha huyo konda kichurachura mpaka akonde 🙁
 
Aaa! huyu jamaa amenifurahisa nimecheka peke yangu, hasa hii ya fridge imenifanyasiku kuwa poa.
 
Halafu unapata majibu hayo ukiwa na waifuu au mtoto : HAPO HATACHIMBIKA
 
Haaa haaaaaaaaaaaaaaa, imenifurahisha sana.... kwa kweli majibu ya makonda sometimes yanaweza yakakuharibia siku nzima, we mkareeeee........
 
Jamaa umetisha,kama kuna joto shuka kapande friji,duu ama kwa hakika,lakin ukiangalia ni kweli,friji ndo lina baridi.
 
aisee, kweli dunia bado inakua, mweeeeeeeeee!
 
Aisee imekaa njema! Siyo kama zile copy n paste tulizozizoea
 
KONDA:Oya anti,choma ndani,siti za kumwaga zinakusubiri. ABIRIA:Mh,mbona gari yenyewe imejaa?. KONDA:Kwani hii ndoo ya maji mpaka ijae?
 
Back
Top Bottom