Majibu ya makonda wa daladala za Dar - noma

Majibu ya makonda wa daladala za Dar - noma

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Posts
1,022
Reaction score
412
Haya ni baadhi ya majibu ya makonda wa daladala hapa Dar ambayo yamewahi nichekesha sana, weka yako...

Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga? Wekeni nyimbo za yesu..
"Konda: "Vunga wewe, Yesu bado hajatoa album..."

Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu?
"Konda: "We taahira nini,hao wengine wamekaliandoo?! "
...
Abiria: "Embu punguzeni sauti ya redio...
"Konda: "Sheria za nchi tu ziko za kutosha, tusikilize na zako!?"

Mmama: "Bwana ondoa gari joto sana!!
"Konda: "Uctuzingue wewe,shuka upande fridge...."

Konda: "Anti, kuna siti pale nyuma,ingia...."
Anti: "Siwezi kaa siti za nyuma...
"Konda: "Kwenda zako wewe, sio muendaji!!! Kwani za nyuma ziko nje ya gari?!"

Sister duu: "Konda unanibana bwana...
Konda: "Zinabanana ndizi haziongei, kama ulitaka kujiachia si ungekodi treni pekeyako!!!"

Sharobaro: "Kuna kiti?!kama hamna sipandi...
"Konda: "Mpuuzi kweli, wa wapi wewe... Kama ulikuwa unaogopa kukosa kiti si ungebeba chako?
lol...! wabongo noumer
 
ACHA BANA WEEEEEEEEEEEEEE hahahaaaaaa
 
nimemis mambo haya jamani nimependa sn aha aha ahaaa hatare.
 
Demu;konda punguza sauti ya redio Konda:hi so nyumba ya ibada ka saut inakukela shuka chini
 
konda kuna siti (ndio zipo na zimeshakaliwa
 
Abiria:Konda nina mia mbili kituo kinachofuata
Konda:weka chini miambili yako uipande ikupeleke
 
Back
Top Bottom