Majibu ya kukatana stim

Majibu ya kukatana stim

...hahahaaa!
Makonda wakati flani wanakera sana, hasa wakitoka kula mchana. Wanatoa vichwa nje ya daladala makalio wanaacha ndani. Kinachoendelea ni harufu zisizoeleweka!!

teh teh !
 
ABIRIA: Nimedondosha 50 ndani ya gari nitakupa 250;hiyo iliyobaki utaokota wakat wa kufagia
KONDA : Ungedondosha hela zote nijue hauna nauli...
 
Back
Top Bottom