Majibu ya Jack Zoka yana utata!

Majibu ya Jack Zoka yana utata!

Status
Not open for further replies.
Njama zao zimegundulika mapema. Sio kila deal wanalopanga linafanikiwa siku zote! Kuna wakati nao wanashindwa hasa wakati huu ambapo usalama wa taifa wa CCM umegawanyika. Tatizo akina Zoka wamekuwa wakifanya kazi yao kwa matakwa ya CCM huku wakitelekeza maadili ya kazi yao tofauti na viapo vyao.

Hivi maadili ya TISS ni yepi?
 
Hakuna mtu anaeweza kuwa na akili ya kipumbavu kufikiria kuua viongozi.kwa maslahi na faida ya nani then.huu ni uzushi mtakatifu

Wapumbavu wapo ndio maana neno hilo halijafutwa kwenye kamusi ya Kiswahili. Wewe unayesema hakuna thibitisha. Viongozi pia huwa wanauwawa kwa hiyo kama kwako wewe upumbavu ni kupanga kuua viongozi basi ujue wapumbavu hao wamejaa tele kama pishi ya mchele. Kwenye tuhuma hizi wenye faida ni hao wanaoamini kuwa watatawala milele, hiyo wala mwenye ufahamu kidogo tu hahitaji kuuliza.
 
hoja ya kuuwawa haiwezi kufunika hoja ya KUNUNUA MASHANGINGI AMBAYO GHARAMA YA UENDESHAJI NI JUU
 
Chama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo
jamani achani ushabiki , kama hujui ukinyamaza kuna tatizo?mbona kila mara kurukia mambo na hoja za kijinga?tuhuma walizotoa CDM ni kubwa si watoto wadogo , kwa maana nyingine wanao ushahidi maake kama watatoa watashitakiwa kwa uchochezi .kwahiyo kwann, ukimbilie kuwalaum wakati, wanasema wanaushahidi, waache wakikosa ndo uwalaumu, lakini kama ni kweli ulitaka wasubiri mpaka watu wafe ndo waseme?
 
Angalieni Marekani CIA ya Bush ndiyo hiyohiyo ya OBAMA, na wananchi wanamuheshimu Rais ingawa ni mweusi kutoka Afrika, HATUKANWI, HAKASHIFIWI km amekuudhi sana ipo Bustani yenye Mnara huko Washington unaenda hapo unatukana unavyoweza ukitoka tu ni kimya. Waliomtukana Bush wote wamepelekwa kwenye Sheria (kwa Ushahidi nitaufuatilia niwawekee)
Ukwaju toa ujinga wako hapa, usijaribu kulinganisha Marekani na Tanzania. Hakuna nchi yoyote duniani anakokashifiwa na kutukanwa Raisi kuliko Marekani... Unawajua hawa? Glenn Lee Edward Beck, Sean Hannity, Rush Limbaugh, Karl Rove, Megyn Kelly, Sarah Palin, Jim DeMint, Michele Bachman, Keli Carender, Jenny Beth Martin, Mark Meckler, and Amy Kremer? Unaijua Tea Party? Juzi tu mwandishi moja wa habari kamgomea Obama, kakataa kunyamaza wakati Obama anaongea na waandishi wa habari...je hii ingewezekana hapa kwetu? Si angekuwa ameshapotezwa na watu majambazi kama Othman, Nzoka na Msangi? Je wakati wa Bush walioongoza katika kumtukana na kumkashifu kama Bill Maher wamechukuliwa hatua gani? Acha uzuzu, acha umbea, acha uwongo na acha ulimbukeni kwani hujui chochote.
 
Na vyombo vya ulinzi na usalama kujiingiza katika masuala ya siasa chafu zenye lengo la kuwadhuru viongozi/wanachama wa chama cha upinzani kwa faida ya chama kinachotawala ni dalili za wazi kabisa za kupoteza mwelekeo na kushindwa kuwajibika kwaajili ya Taifa.

Umemaliza.....TCDM 015
 
The main problem I spot in this Forum, more often than not, is playing politics in almost all aspects and sphere of life.

I have problem to believe the allegation brought forward by CHADEMA Leadership. I think a serious politica party should be focused and have Political Vision for Tanzania, unfortunately all these are missing.

It has become a Political Party of accusations, cheap politics, master of cockamamie and useless propaganda. The question which execise my mind what will happen when Chadema takes over the reign of power for this country, will they overhaul the TPDF, TISS, POLICE, JUDICIARY, Will they be able to do the same to the Parliament?

What kind of discussions will be there in the Bunge if CHADEMA has majority of members of Parliament? Are we going to see the same level of unstructured discussions in the Bunge and some of the utterences, as we witnessed recently? If that will be the case then this country will go to the dogs! Not serious politicians. Some of these people as they say need to shape up or ship out and leave politics to those with that talent!

In Japan, they say always leave the cage door open, so that the bird may return! CHADEMA if it happen in the future to be a ruling party it has to work with Police, TPDF, Judiciary and a Parliament which probably half of its MPs will be from CCM, it has to learn to work withe everyone. Kuwa Upinzani siyo kutukana kila mtu, na kumshambulia kila mtu na kuidharau kila Taasisi. Nchi hii imekuwa salama tangu tupate Uhuru kwasababu wakati wenngine tunalala, TISS, POLICE, MAGEREZA, TPDF wao hawalali, na wameweza kutuepusha na mambo mengi, mengine tumeyasikia, na mengine hayajawahi hata kufika katika masikio na macho ya jamii yetu. Hivyo tusiwakebehi kwakua tunaona tunaamani na tunadhani kuwa inakuja tu hivi hivi, la hasha.

Tuna amani katika nchi hii kwa sababu ya umoja wa kitaifa na misingi ambao wazee na waasisi wa nchi hii waliiweka na watu wa TISS na TPDF, FFU wamekuwa wakifanya kwa uzalendo wa hali ya juu bila aibu, uoga na bila 'upendeleo'

Tanzania ya leo isingekuwana na sura iliyonayo kama siyo kazi ya wazee waliotangulia wa vyombo vya ulinzi na Usalama, hawa wengine wanajulikana na hawajashambuliwa lakini binafsi nawapongezeni wafanyakazi na viongozi wote wa TISS, kwa kazi mlioyoifanya na hata siku moja hamkuweka rehani usalama wetu kwa gharama yeyote.

Nitawataja viongozi waliofanyakazi kubwa huko nyuma na leo hii tunajuvunia amani tuliyonayo:

Mzee Mzena
Dr. Gama
Dr. Hassy Kitine
Dr. Augustine Mahiga
Lt. Gen. Imran Kombe
Mr. Apson Mwang'onda
Mr. Rashid Othman and his deputies.

Hawa wazee hapo juu na wasaidizi na watumishi wote tangu tupate uhuru, wamesaidia hii nchi kuwa ilivyoleo. Mr. Jack Zoka, wewe chapa kazi uzi ule ule, hawa jamaa naona wanapiga siasa tu, debe tupu haliachi kuvuma! Kama ilivyo ngoma inayovuma sana haikawii kupasuka. Na sitoshangaa ngoma ya CHADEMA kupasuka, kwani haina Itikadi, inavuma kwa shutuma na maandamano, ni Genge la watu na siyo Chama cha siasa. Lakini hata hao CCM, ambao walikuwa na Itikadi, wasijisahau, wanaweza kuteleza na kupigwa kikumbo! CCM wakumbuke kuwa Katika siasa za vyama vingi ni kama mbio za 100m, hakuna muda suala ni kupiga mbio na hakuna kumdharua au kumpuuza mpinzani wako katika mbio hizo kwani anaweza kukushangaza (2015) Siyo kwa kuwa mtu amekuwa Olympic medalists 10 times for the past fifty years basi anaweza kutembea kwenye mbio za 100 m, atashindwa tu. CCM inabidi ijitathmini, na CHADEMA wanapaswa wajifunze kuwa Chama cha Siasa na siyo Club ya Washikaji na Wazushi.

In China we say If the battle can't be won don't fight.
 
do u know the meaning of kujihami,thats how u r masters are doing,kujifanya wanataka kuuawa ili kutafuta huruma ya wananchi.we r so punctual on ths men.
It is their right!! kujihami! mnataka kuwaua wangapi!?

wakipiga kelele jeshi la UMA tunakuwa alert!! kuona mnataka kufanya nini. Kujihami ni silaha ya wanyonge katika kutaarifu Uma kuwa wenye nguvu wanataka kufanya ushetani mliozoea. Hebu fikiria Ndugu wewe hata kama ni TISS au Kuwadi wa mfumo kandamizi. Kolimba hakujihami akafia ndani ya jengo la KIZOTA!

Fikiria mauaji yote tata yaliyotokea waliouliwa waliona kuwa mpo pamoja mkatumia nafasi hiyo kuwaua. Kubenea, Mwakyembe, Wangwe nk yote hayo mmetekeleza. Kwa Dr ulimboka mmeingia choo cha kike manaake anawafahamu na anawataja kwa majina.
Sijaelewa unatetea nini!

Hitler/Idd Amin walianza hivi hivi; mauaji ya kimyamya kwa ajili ya KUNYAMAZISHA! na yalikuwa hadi yakawa masacre!! Ninakushauri kama upo kwenye mfumo wa TISS achana na huu upuuzi haraka.

Hapo hamusaidii usalama wa taifa bali mnatengeneza MAFARAKANO NA FUJO ZA KITAIFA. NA IDARA HII ITAKUWA IDARA YA KUTENGENEZA MAFARAKANO NA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE TZ. GOD forbid we will never allow this to happen!!

How many are your by the way! we know you all!! BEWARE!! we are 40million against this stupidity!!
 
Hivi huyu Jack Nzoka si ndio swahiba wake na Zito Kabwe?? Nazikumbuka zile email zake na zito ziliripotiwa sana na Mwanahalisi
Wala usijali ndugu!! kazi ya TISS kubwa imekuwa kukandamiza na kuvuruga upinzani. Kama ni kweli habari za mwanahalisi Zito ali/anatumika tu.

Na wata/wamefanya makubwa zaidi ya hayo kukandamiza/kuvuruga upinzani. Hata Ulimboka asingepona dalili zote zilikuwa watu waliovaa magwanda(CDM) ulimsikia yule kilaza bungeni MANYA-NYA!! wamemuua. Wezi wa kura ni hawa hawa TISS,. Wauaji ni Hawa hawa TISS, wachomaji wa makanisa ni hawa hawa TISS!!

Ndugu zangu waislamu na wakristo shetani mkuu wa mafarakano ni TISS!! tusilaumiane tena wenyewe kwa wenyewe shetani wetu ni Idara ya usalama wa taifa TISS iliyopoteza mwelekeo baada ya kuchanganya mbinu za CIA, KGB, na MOSAT na kuchanganyikiwa kwa ajili tu ya UKILAZA na kufikiria kuwa kuua upinzani ni mbinu bora ya usalama wa taifa SHAME!!
 
Wala Zoka get lost!! tumejipanga tunajua kila kitu na mipango yenu!! wewe hakikisha usalama wa hao unaotuhumiwa nao au___ usijelaumu baadaye. Nitaendelea kumshukuru Ruksa kwa kuwafanya idara kamili na ya wazi. Tunawajua ofisi zenu na majumbani mwenu nyie pokeeni amri za kipuuzi na mzitekeleze tu muone huo MOTO!!!

mangikule sasa wewe kwa mtazamo wako utafanya nini! ukiitwa kituo cha polisi kuwa ndugu yako kakamatwa kwenda tu unahunya hunaya! alafu watu mnaojifanya mnaongea humu kwa jazba ndo wakwanza kukimbia siku za matukio! waogaaaa!
 
mangikule wewe ni mbuzi kweli! sasa wewe kwa akili yako utafanya nini! ukiitwa kituo cha polisi kuwa ndugu yako kakamatwa kwenda tu unahunya hunaya! alafu watu mnaojifanya mnaongea humu kwa jazba ndo wakwanza kukimbia siku za matukio! waogaaaa!

Endeleeni na ujinga wenu mkiwa mnajiona mko juu ya sheria and I tell you your days are numbered!! trust me!!
 
jamani waacheni wafanye kazi hao watu mh mmezidi hawalali wenzenu ila kumbukeni kuwa makelele ya chura hayamnyimi tembo kunywa maji..
 
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;

But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
“Dragging my name into their claims is sheer nonsense…. all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. I’m doing my work as guided by principles and procedures,” Mr Zoka said

maswali ya kujiuliza;
1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.

Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,

Kwanza yeye sio 'public figure' anakwendaje kwenye public? Pili, "since he was not a politician but a civil servant working for a State organ." kwa kutumia wakati uliopita inaonesha kuwa kwa sasa ni mwanasiasa na sio civil servant!!!!!!
 
Mwaka huu tutaona na kusikia vituko vingi tu ambavyo lengo lake ni kutafuta njia za mkato za kuingia Ikulu. Sasa mambo ya siasa wanataka kuyaingiza hata katika usalama wa taifa!! jambo ambalo km ni viongozi makini wanaojua mifumo na nafasi ya taasisi nyeti za dola, hata km siku wataingia mjengoni, hawatathubutu hata kufikiria siasa kuichanganya na vyombo hivyo..kwani havichanganyiki. Tafuteni hadaa nyingine baada ya madaktari kukwama.
Wana unyeti gn hao usalama wa taifa sasa hivi?

Ilikuwa hivyo wakati wa Mwalimu sio leo,hawana kazi hao zaidi ya kupanga njama kuhujumu vyama vya siasa na kutisha raia vitisho mbuzi.. kazi imewashinda, na tutawaondoa

WOTE! wappumbavu hawa, kodi yetu hatutaki itumiwe kishenzi km wanavyofanya!
 
Kitu kimoja inabidi wafahamu... Watu wamesha choka thats why infomation zinavuja kias hicho... hakuna anaye penda kuishi kwa wasiwasi.. isije ikatokea lawama, watu sasa hawaendi tena polisi na hawataenda... mkithubutu na wenyewe wnathubutu, mkiwinda na nyinyi mtawindwa mpaka discipline itakuja... kwani si wanafahamika na anayewatuma wanafahamika.. kinacho fuata ni nini...? mkiua na wenyewe watawaua tuu... kaa mkijua hilo.. thubutu kuua mtu, jua na nyinyi mtauawa kwa style hiyo hiyo kuanzia wewe unayetekeleza mpaka aliyekutuma... si mnafahamika na mnaioshi humu duniani na si mwezini.. nyinyi viongozi u better watch, these Guys are not like Ulimboka, once ukithubutu kuua anza ku count ur days na za kwako... ni jino kwa jino.. watu washaona polisi also are the problem too... HATUENDI POLISI, ITS ALL ABOUT SOCIAL JUSTICE.. LET ME STAY AND WATCH THIS KIND OF MOVIE... THE GUYS WANT TO MAKE SURE KILA ANAYEFANYA MWENZAKE AISHI KWA WASIWASI, NA YEYE ATAISHI TU KWA WASIWASI, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI,,, UNAISHI DUNIANI PIA.. NA UNAKANYAGA ARDHI PIA.. WATCH OUT TOO......
 
Hivi kitengo cha usalama wa taifa a.k.a. TISS,nini hasa majukumu yake?

Nadhani majukumu yake yalizikwa kaburi moja na la baba wa Taifa.. Tafadhali nijuzeni!
 
The main problem I spot in this Forum, more often than not, is playing politics in almost all aspects and sphere of life.

I have problem to believe the allegation brought forward by CHADEMA Leadership. I think a serious politica party should be focused and have Political Vision for Tanzania, unfortunately all these are missing.

It has become a Political Party of accusations, cheap politics, master of cockamamie and useless propaganda. The question which execise my mind what will happen when Chadema takes over the reign of power for this country, will they overhaul the TPDF, TISS, POLICE, JUDICIARY, Will they be able to do the same to the Parliament?

What kind of discussions will be there in the Bunge if CHADEMA has majority of members of Parliament? Are we going to see the same level of unstructured discussions in the Bunge and some of the utterences, as we witnessed recently? If that will be the case then this country will go to the dogs! Not serious politicians. Some of these people as they say need to shape up or ship out and leave politics to those with that talent!

In Japan, they say always leave the cage door open, so that the bird may return! CHADEMA if it happen in the future to be a ruling party it has to work with Police, TPDF, Judiciary and a Parliament which probably half of its MPs will be from CCM, it has to learn to work withe everyone. Kuwa Upinzani siyo kutukana kila mtu, na kumshambulia kila mtu na kuidharau kila Taasisi. Nchi hii imekuwa salama tangu tupate Uhuru kwasababu wakati wenngine tunalala, TISS, POLICE, MAGEREZA, TPDF wao hawalali, na wameweza kutuepusha na mambo mengi, mengine tumeyasikia, na mengine hayajawahi hata kufika katika masikio na macho ya jamii yetu. Hivyo tusiwakebehi kwakua tunaona tunaamani na tunadhani kuwa inakuja tu hivi hivi, la hasha.

Tuna amani katika nchi hii kwa sababu ya umoja wa kitaifa na misingi ambao wazee na waasisi wa nchi hii waliiweka na watu wa TISS na TPDF, FFU wamekuwa wakifanya kwa uzalendo wa hali ya juu bila aibu, uoga na bila 'upendeleo'

Tanzania ya leo isingekuwana na sura iliyonayo kama siyo kazi ya wazee waliotangulia wa vyombo vya ulinzi na Usalama, hawa wengine wanajulikana na hawajashambuliwa lakini binafsi nawapongezeni wafanyakazi na viongozi wote wa TISS, kwa kazi mlioyoifanya na hata siku moja hamkuweka rehani usalama wetu kwa gharama yeyote.

Nitawataja viongozi waliofanyakazi kubwa huko nyuma na leo hii tunajuvunia amani tuliyonayo:

Mzee Mzena
Dr. Gama
Dr. Hassy Kitine
Dr. Augustine Mahiga
Lt. Gen. Imran Kombe
Mr. Apson Mwang'onda
Mr. Rashid Othman and his deputies.

Hawa wazee hapo juu na wasaidizi na watumishi wote tangu tupate uhuru, wamesaidia hii nchi kuwa ilivyoleo. Mr. Jack Zoka, wewe chapa kazi uzi ule ule, hawa jamaa naona wanapiga siasa tu, debe tupu haliachi kuvuma! Kama ilivyo ngoma inayovuma sana haikawii kupasuka. Na sitoshangaa ngoma ya CHADEMA kupasuka, kwani haina Itikadi, inavuma kwa shutuma na maandamano, ni Genge la watu na siyo Chama cha siasa. Lakini hata hao CCM, ambao walikuwa na Itikadi, wasijisahau, wanaweza kuteleza na kupigwa kikumbo! CCM wakumbuke kuwa Katika siasa za vyama vingi ni kama mbio za 100m, hakuna muda suala ni kupiga mbio na hakuna kumdharua au kumpuuza mpinzani wako katika mbio hizo kwani anaweza kukushangaza (2015) Siyo kwa kuwa mtu amekuwa Olympic medalists 10 times for the past fifty years basi anaweza kutembea kwenye mbio za 100 m, atashindwa tu. CCM inabidi ijitathmini, na CHADEMA wanapaswa wajifunze kuwa Chama cha Siasa na siyo Club ya Washikaji na Wazushi.

In China we say If the battle can't be won don't fight.
Watanzania ni waungwana by nature, hakuna kazi yoyote waliyofanya kuiweka nchi ktk hali hii, ni mwlimu tu ndiye alijenga spirit ya umoja na ustarabu, ndiyo maana unawaona wanavyofanya sasa wanaratibu wizi,uuwaji, uonevu nk..hawana kazi yoyote, wanalipwa hela za bure while they have failed in every front!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom