Majibu ya Jack Zoka yana utata!

Status
Not open for further replies.
Kwani hao watu hamnywi nao vilabuni ,umefika wakatiwa ubabe ubabe tu,wakati wa kila mtu kutembea na bunduki begani ,ni jambo la kawaida ikiwa nchi imefikia kuwa na wasiwasi wa kuvamiwa wakati wowote.
 
....... Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.

Ni kweli kabisa kwmba Chadema ni chama cha siasa, na mchezo wa siasa ndio kazi yao ya msingi.
Tatizo hapa ni yeye zoka kuanza kuchezeshwa michezo ya siasa chafu kinyume na maadili ya kazi yake. Usalama wa Taifa ni kwa watu wote bila kujali itikadi ya kisiasa, itikadi ya kidini, kabila, rangi ama jinsi. Kwa hiyo hapa ni dhahiri kwamba anafanya kazi pasipo kuzingatia principles and procedures.
 
unasumbuliwa na siasa za chuki baina ya CCM na CHADEMA jack yuko sahihi kajibu kijasusi hana siasa longolongo
 
Zoka anaweza kuwa sahihi. Hawa jamaa wakitaka kukuua au kukudhuru unaweza usigundue kama ilivyotokea kwa Dr Ulimboka.
 
There you are PakaJimmy,
Kwakuwa hajakanusha kupokea maelekezo ya kufanya kazi maalum ya kuwa-limboka viongozi wa Chadema basi bado hiyo statement haitoshi kumkwamua katika tuhuma hizo.

Kwakuwa hata RO mkurugenzi mkuu wa TISS naye anafanya kazi ofisi hiyo hiyo ya state organ kama zoka anavyodai, kwanini asituhumiwe yeye ambaye ndiye boss badala yake naibu wake ndiye atuhumiwe? hapa inaonekana zoka ndiye kichaka cha uhalifu ndani ya TISS.

vihere here mnaojifanya wajuaji,ukikaa pale kwny kijiwe cha wambea we ndo unaeskilizwa,poor u.
 
Last edited by a moderator:
Chama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo

Na vyombo vya ulinzi na usalama kujiingiza katika masuala ya siasa chafu zenye lengo la kuwadhuru viongozi/wanachama wa chama cha upinzani kwa faida ya chama kinachotawala ni dalili za wazi kabisa za kupoteza mwelekeo na kushindwa kuwajibika kwaajili ya Taifa.
 
Kama kweli anaijua kazi yake, atuambie ilikuwaje ndege ya kijeshi imetoka nchi nyingine ikaja ikabeba Twiga na kuondoka bila serikali kujua na inakuja kujua kupitia wabunge? Yeye kama mkuu wa Usalama wa Taifa alikuwa anajua au alikuwa hajui? Na kama alijua alichukua hatua gani kulizuia lisifanyike? Anyamaze kimya ache mahoka. Anachefua.

Akimaliza kujibu hilo atuambie alikuwa wapi watu wanajilimbikizia mafedha mabenk ya nje mpaka report za wazungu ndio zinawataja wezi wakubwa hawa tena wanataka kuleta machafuko ili waingie BOT wakombe hazina yetu yote watokomee ughaibuni hawa ni malaya kuliko malaya wa kona bar.
 
Zoka anaweza kuwa sahihi. Hawa jamaa wakitaka kukuua au kukudhuru unaweza usigundue kama ilivyotokea kwa Dr Ulimboka.
WildCard ni bahati nzuri tu kwamba humo ndani ya TISS bado kuna vijana wachache wazalendo ndio wameamua kulisanua kwa maslahi mapana ya nchi hii. Hivi unategemea itakuwaje kama viongozi wakuu wa Chadema wakifanyiwa uharamia kama aliofanyiwa Dr. Ulimboka?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;

But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
"Dragging my name into their claims is sheer nonsense…. all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. I'm doing my work as guided by principles and procedures," Mr Zoka said



maswali ya kujiuliza;
1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.

Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,

Wala Zoka get lost!! tumejipanga tunajua kila kitu na mipango yenu!! wewe hakikisha usalama wa hao unaotuhumiwa nao au___ usijelaumu baadaye. Nitaendelea kumshukuru Ruksa kwa kuwafanya idara kamili na ya wazi. Tunawajua ofisi zenu na majumbani mwenu nyie pokeeni amri za kipuuzi na mzitekeleze tu muone huo MOTO!!!
 
Zoka anaweza kuwa sahihi. Hawa jamaa wakitaka kukuua au kukudhuru unaweza usigundue kama ilivyotokea kwa Dr Ulimboka.

AA wapi siku hizi kuna walevi mpaka wanatangaza mipango yao Baa!! wamejaa they are quite unprofessional!!
 
Ni kweli kabisa kwmba Chadema ni chama cha siasa, na mchezo wa siasa ndio kazi yao ya msingi.
Tatizo hapa ni yeye zoka kuanza kuchezeshwa michezo ya siasa chafu kinyume na maadili ya kazi yake. Usalama wa Taifa ni kwa watu wote bila kujali itikadi ya kisiasa, itikadi ya kidini, kabila, rangi ama jinsi. Kwa hiyo hapa ni dhahiri kwamba anafanya kazi pasipo kuzingatia principles and procedures.

umeshatekwa na wachaga ww.huna mpya tena
 
Juzi kati apa kulikuwa na malumbano ya hoja itv kuna mzee mmoja akasema cdm manake ni chaga development manifesto.
 
vihere here mnaojifanya wajuaji,ukikaa pale kwny kijiwe cha wambea we ndo unaeskilizwa,poor u.
Who is poor!! among the stupid idiot who disclose their evil plans in pubs and bars and the one narrating what they have heard!! Who is poor among the crazy! who pretend to defend the state by abusing their power and the state through stupid torture!!
 
Zoka sasa umekuwa joka la kibisa, siri yako nani kaivujisha? Panga nyingine sasa!

Umejibu tuhuma kwa mshituko sana ulijia ukiendelea utajichanganya.

Pole sana hakuna siri chini ya jua
huko shapu mara hii umeshajibu tuhuma!
 
Haya mambo yangefanyika miaka ileee, ingebaki kuwa siri, lakini kwa sasa no no no, huwezi kufanya siri katika ulimwengu wa sasa.

Kuna haja ya CDM kuwa na TISS yake sasa ili kujihami na hawa wauwaji kutoka TISS ya CCM.

Hatuwezi kuendelea kufa/kuteswa kikondooo namna hii. kila mtu kwa nafsi yake achukue hatua, mbona vibaka twawachoma moto hadharani itakuwa hawa wajinga tunakunywa nao Bar kila kukicha?
 
Hapa naona watu wamepigwa chenga na hii lugha ilotimika hapa.kama uongo hebu mmoja atutafsirie.najua mnaogopa kuaibika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom