Huyu Zoka ni mara ya pili anajitokeza na kujibu tuhuma za Chadema. Nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa ni baada ya uchaguzi wa 2010.
na bado anajiita mwanasiasa ilhali ni mjumbe wa CC na NEC ya ccm
Huyu Zoka ni mara ya pili anajitokeza na kujibu tuhuma za Chadema. Nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa ni baada ya uchaguzi wa 2010.
wewe ni rais wa migomo isiyokuwa na tija, na unaonyesha jinsi ambavyo huendani na wakati, unashindwa hata kuchambua hali ambayo nchi yetu inayo kwa sasa, unashindwa kuelewa hata maisha tuliyonayo watanzania wa chini. Nikizisoma comments zako naweza kuku-define katika perspectives nyingi sana. kama sio mshirika wa chama tawala basi wewe ni shabiki usiejua mwelekeo wako. Hali ambayo tanzania inayo leo haihitaji maoni ya watu design yako. Muda sio mrefu watu watakuwa wanashindia chai isiyo sukari. Leo mtanzania anakula mlo mmoja bado unawashabikia hao jamaa zako wanaosababisha ugumu wa maisha. Sijui kuhusu elimu yako maana navyozidi kuifikiria tanzania ya leo ilivyo kulinganisha na rasilimali zilizopo na nikiangalia comments zako nazidi kupata tafsiri mbaya juu yako, ila ntendelea kukuchambua kadri utakavyoendelea kutoa hoja dhaifu namna hiyo. Haya tiss wameshakuwa mawakala wa ugumu wa maisha ya watanzania, kila mtu anaekuja na solution kuhusu maisha mazuri anakuwa ni adui yao. Angalia maisha wa watanzania then ufikirie ndo utoe comments zako unakera
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;
But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
Dragging my name into their claims is sheer nonsense . all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. Im doing my work as guided by principles and procedures, Mr Zoka said
maswali ya kujiuliza;
1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.
Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,
Tanguu alioanza kujittokeza kwenye vyyomb vya habari pale Southern Sun.....ameshusha heshima yay idara.........principles gani za intelligence anafuata yeye..kitu watu wasicho kijua ni hiki Ndani ya TISS HAKUNA CHEO CHA NAIBU MKURUGENZI! Kama huyo bwana anayejiita jina bandia la "JACK ZOKKA" anavyodai!
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;
But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
Dragging my name into their claims is sheer nonsense . all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. Im doing my work as guided by principles and procedures, Mr Zoka said
maswali ya kujiuliza;
1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.
Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,
Ni vyombo vipi vya usalama? hivi vilivyochakachuliwa na kufanya kazi kama matawi ya CCM na kutekeleza mateso na mauaji kwa wananachi walioviweka? Kama kuna wakati hivyo "Vyombo vya usalama" vimepoteza jina ni katika awamu hii ya nne, vimejiingiza katika tope la uchafu wa kisiasa na sasa vinahunya hunya kujinasua bila ya uwezekano wa kufaulu! Usalama wa Taifa umekuwa janga la Taifa kwani taifa limepoteza uhai, mali na amali bila ya kulisaidia kama walivyopaswa. Hebu tujikumbushe machache:Chama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo
Na vyombo vya ulinzi na usalama kujiingiza katika masuala ya siasa chafu zenye lengo la kuwadhuru viongozi/wanachama wa chama cha upinzani kwa faida ya chama kinachotawala ni dalili za wazi kabisa za kupoteza mwelekeo na kushindwa kuwajibika kwaajili ya Taifa.
Hisia za kutapika wali maharage baada kupiga ulabu wa kutosha.Tangu nilipoanza kusikia hili jina kichwani kwangu napata hisia ya video ya kutisha. Labda wakuu mkisikia hili jina hisia gani zinawapata?
A prudent man sees evil andHao wengine wanajificha lakini jack zoka ukimbelembele wake ndio unamponza anakimbilia kwenye vyombo vya habari utafikiri TISS Mali yake
Akimaliza kujibu hilo ajibu na hili inakuaje makampuni makubwa yanayochimba madini na gas yanaliibia taifa mabilioni ya dola kwa mikataba ya kimangungo na ukwepaji wa kulipa kodi mpaka mataifa ya nje yanagundua, mfano PAN AFRICA, wenyewe wakiwa wamezidiwa na ndoto za ccm kutawala milele.Kama kweli anaijua kazi yake, atuambie ilikuwaje ndege ya kijeshi imetoka nchi nyingine ikaja ikabeba Twiga na kuondoka bila serikali kujua na inakuja kujua kupitia wabunge? Yeye kama mkuu wa Usalama wa Taifa alikuwa anajua au alikuwa hajui? Na kama alijua alichukua hatua gani kulizuia lisifanyike?
Anyamaze kimya ache mahoka.
Anachefua.