hapa hata mimi Nampongeza Mr Zoka kazi anayoifanya ni sahihi kabisa, yeye hayuko kukamata wezi wa Twiga, au malumbano ya kisiasa kati ya CHADEMA na CCM ambao ndio wagomvi wakubwa yeye huko hayupo.
TISS kazi yake ni kwa Serikali iliyopo Madarakani na shughuli zake za Utawala, hata CUF ikiingia Madarakani yeye atakuwa anashughulika na Serikali ya CUF yeye hatahusika na Malumbano ya kisiasa Angalieni Marekani CIA ya Bush ndiyo hiyohiyo ya OBAMA, na wananchi wanamuheshimu Rais ingawa ni mweusi kutoka Afrika, HATUKANWI, HAKASHIFIWI km amekuudhi sana ipo Bustani yenye Mnara huko Washington unaenda hapo unatukana unavyoweza ukitoka tu ni kimya. Waliomtukana Bush wote wamepelekwa kwenye Sheria (kwa Ushahidi nitaufuatilia niwawekee)