kwa tunaomfahamu jack zoka , tunasema ni mtu hatari mpenda madaraka na ambaye pale TISS amepachafua kwa sababu kuna muda anafanya mambo yake bila ruhusa ya mkubwa wake akifikiri anawafurahisha wakubwa wa Nchi, anajaribu kuinyemelea nafasi ya Othman, lakini kimsingi pia anamsapoti mmojawapo wa candidates wa urais toka CCM , yule ***** mwenye kihere here, nafaikiri mnamjua yule mnafiki.
Mkuu hebu tuambie wanalinda nini? Kama watu wanavuruga uchumi wa nchi yetu watu hao hao wanawatuma kufanya kazi ndiyo wanatorosha mabilioni kuweka uswisi wanacholinda ni nini??Chadema fanyeni kazi zenu za siasa wacheni watu wa usalama wa Taifa wafanye kazi zao za kulinda nchi.
Unasema wafanye kazi gani? Hiyo ndiyo kulinda nchi? Nafikiri unahitaji kupimwa Mirembe!
Nani anaweza kutuwekea picha ya Jack Zoka hapa? Just curious kama ni huyo ninaye-muonaga maeneo fulani.
Labda anamaanisha usalama wa taifa ulinde twiga wetu wasisafirishwe kimya kimya ha ha ha! Yaani wanajiita usalama wa taifa alafu wanashindwa kugundua deal la wizi wa mnyama mkubwa kama twiga?
Tatizo mnakurupuka tu bila kufikiria. Sasa ulimjuaje kama siyo public figure? Ni yupi public figure unayemjua wewe ndani ya UWT? JF ishakuwa dustbin sasa hivi, inzi kibaoooooo....
Labda anamaanisha usalama wa taifa ulinde twiga wetu wasisafirishwe kimya kimya ha ha ha! Yaani wanajiita usalama wa taifa alafu wanashindwa kugundua deal la wizi wa mnyama mkubwa kama twiga?
wewe umeona kuna malumbano hapo, au wametoa malalamiko, hivi lugha hizi za kusoma kwenye shule za kata ndo matunga yake haya.....au hujui malumbano? we kabila gani kwanza inawezekana mkimbizi, kwani udhaifu wa vyombo vyetu vimesababisha watu wa kila kada kuingia tena kwa mwamvuli wa ccm ili walindwe...tunawatambuaChama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo
wewe mrundi nini? mbona mbishi, na mgumu wa kuelewa. Si kila mtu ni mgunduzi, lakini zoka au nzoka ni kazi yake.....vipi wewewewe umegundua nini tangu uzaliwe zaidi ya kujaza tu choo