Majibu ya chakula cha sikukuu za kidini

Majibu ya chakula cha sikukuu za kidini

Licha ya uwepo wa idadi kubwa ya waislamu nchini Iran kiongozi wao mkuu wa Ayatollah Seyyid Ali Khamenei,hajaacha kuungana na Wakristo wanaoishi katika taifa hilo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa Yesu kristo kila mwaka tarehe 25.
FB_IMG_1766728347372.jpg
 
Baada ya Miaka 20 hizi dini hazitakuwa na nguvu tena hawa watanzania wanazidi kujielewa huwezi kuwatenganisha Kwasababu ya misingi ya Imani
 
🚦BUSARA ZA KIISLAMU KATIKA TAIFA LISILO NA UDINI.

️UNGOMVI WA WAISLAMU NA WAKRISTO KATIKA TAIFA LISILO NA DINI NI UGOMVI HARAMU USIOTAKIWA KABISA.

✍️Ugomvi huo unastahiri kupingwa na kukemewa na Serikali ili kuondoa kwa haraka hali hiyo ambayo haipaswi kuzoeleka.

✍️Kama ikitokea yamaendelea basi Serikali itakuwa ni sehemu ya tatizo, kutukuza Haramu hiyo ya Udini ndani ya Serikali kama mtaji wa kisiasa amma kwa kutekeleza lengo la siri la serikali linaloficha mambo maovu yanayoendelea kupitia dini, hali ambayo ni mbaya sana kwa Rais mwenye imani ya dini hyo aliyepo madarakani kuonesha wazi kuwa ni sehemu ya mgawanyiko huo na Mvutano wa kidini.
 
Maneno ya sheikh azim dewji ndugu wa mo dewji

" Dini zote duniani zinahubiri amani na mshikamano iwe budha hindu wakristo na waislamu zote zinahubiri amani lakini wewe mwislamu unaposema humtambui yesu wewe haujakamilika maana ameandikwa kwenye vitabu vyote vya kidini hivyo tunavyosherekea kuzaliwa kwake sio tunaongea maneno hasi juu ya wakristo ni sahihi kesherehekea nao kwa pamoja kuleta amani duniani"
1766730259824.jpg
 
Huyo kukku amechinjwa na nani?
Msitake kulazimisha vitu
Nenda kwa wayahudi, wana vyakula vyao vilivyochinjwa kwa dini yao, na hawali misosi ya wazungu
Hivi ni wapi hamuelewi nyinyi wagalatia wa siku hizi mnajifanya wajuaji
 
Mie ni muislam, ila mkristu akileta mpunga wake naula bila tabu
Kwa hiyo nyinyi waislamu waliberali wa siku hizi mnakula vibudu, hata mbuzi ikichinjwa na massawe huko kimara unafakamia tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom