Majibu ya chakula cha sikukuu za kidini

Majibu ya chakula cha sikukuu za kidini

Baada ya Miaka 20 hizi dini hazitakuwa na nguvu tena hawa watanzania wanazidi kujielewa huwezi kuwatenganisha Kwasababu ya misingi ya Imani
Natamani sana ingekuwa hivyo; lakini tatizo lako ni kuwa unasahau kwamba Tanzania hii hii tumwahi kuwa karibu zaidi miongoni mwetu kama waTanzania kuliko ilivyo leo.
Nilivyoelewa hoja yako ni kama unafikiri kuwa huko nyuma tulitengana sana kati yetu kwa sababu ya dini, jambo ambalo siyo kweli.

Hiyo Tanzania wewe na mimi tunayoitamani itategemea juhudi za viongozi wa nchi hii kurejesha umoja wetu huo.
Watawala kama huyu Samia alivyo, hiyo Tanzania unayoizungumzia hapa haitawezekana kamwe.
 
LOOOOooh!

Mkuu 'Mshana' unaweza kuvunja mbavu za watu hivi hivi! Nimecheka sana, na baadae nilipotulia nikapatwa na huzuni kubwa!

Mkasa huu unafikirisha sana Unaweza kuutumia kuwa kielelezo cha maswala mengi tuliyonayo katika jamii yetu.

Sasa huyu wa vipande vya nyama, si ni bora kuliko akina Adulla wenye mapande ya nyama, lakini bado hayatoshi!

Hebu Kwanza: Hii kweli siyo uigizaji (comedy)? huyu bwana anaonekana kuwa muigizaji mzuri sana.
 
Hii simulizi ni kweli mkuu na Ina mwendelezo wake.. Mke naye kaongea Ila kaongea nyodo sana😂
 
Back
Top Bottom