Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Sasa yuko Chuo Anasema certificate kisha Diploma akimaliza degree ndiyo anakuja kuhojiwa
Habari za ndani zinasema anatafutiwa namna ya kupata Uraia au Ukimbizi
Jiulizeni kwanini yote hayo yanafanywa na Chadema?
Ni mtu tu mwenye upungufu mkubwa wa akili ambaye ndiye atashindwa kumshuku dreva wa Lissu kuwa aidha alihusika kwa namna moja katika shambulio hilo au ni kati ya watu wanaojua siri nyingi za wahusika wa shambulio hilo lililokuwa na lengo la kukatisha uhai wa Tundu Lissu. Hivyo wahusika wa shambulio hilo wanahakikisha dreva huyo hapatikani kwa njia yo yote ile hata ikibidi watamtoa uhai uhai wake. Afadhali aruhusiwe kuishi kama mkimbizi huko aliko akiwa na roho yake. Iko siku atarejea mambo yatakapokuwa salama kwake hapa Tanzania.
 
Dereva aliokoka kutoka Risasi 38 na hakupata hata mchubuko kuna shida gani akawasili polisi kuhojiwa au kuelezea tukio?
Ukisikia wauaji waoga ni waliotaka kumuua Lisu, plan was totally mess....and even after walipatwa na mstuko kuliko ndugu na marafiki wa Lisu. Wasijue la kufanya ku- cover. Dereva anabahati mno, hakujrruhiwa na Lisu hakufa maana Lisu ndie mtetezi wake pekee katika hili. Mnaomtaja Dereva mmechelewa sana! Bora muwe kimya.
 
Hivi ndege ikianguka hupaswi kumhoji pilot?
 
Ni mtu tu mwenye upungufu mkubwa wa akili ambaye ndiye atashindwa kumshuku dreva wa Lissu kuwa aidha alihusika kwa namna moja katika shambulio hilo au ni kati ya watu wanaojua siri nyingi za wahusika wa shambulio hilo lililokuwa na lengo la kukatisha uhai wa Tundu Lissu.
Tell us spinning Dk.
 
Kwa maono yangu hapa mayala hana tatizo tatizo ni kutoka juu ana familia inamtegemea lazima afate ya mkulu ila kuhusu huyu dereva wanahofia wakimkabidhi kwa polisi kitu kitakacho tokea ndivyo sivyo atakuja toa ushahidi alio lishwa na askr
 
Ndege imeangukia baharini na kulipuka..pilot kapona ...asihojiwe kwa nini?
Acha kuandika unazidi kuonyesha upumbavu wako......kwanza siro keshafunga fail ......nashangaa mnaropoka huku mitandaoni. Forensic investigation haisubiri mtu, mazingira yanatosha..... Mikamera wametoa mnatafuta manusura kwenye uchunguzi.....black box is only reliable source of information to find exactly cause of plane accident period!
 
Black box when there is no survivor ndio naweza kukubaliana nawe Ila pilot kapona halafu unahangaika na black box na kumuacha pilot anarandaranda sidhani kama ni sahihi.
 
Acha kuandika unazidi kuonyesha upumbavu wako......kwanza siro keshafunga fail ......nashangaa mnaropoka huku mitandaoni. Forensic investigation haisubiri mtu, mazingira yanatosha..... Mikamera wametoa mnatafuta manusura kwenye uchunguzi.....black box is only reliable source of information to find exactly cause of plane accident period!
Acha na hilo puga liko kazini
 
Hili Jambo limekuwa la kisiasa tangu mwanzo, na kwenye siasa logic tupa kule kinachobaki ni maneno na matendo ya kuangamizana kwa pande zinazoshindana. Msio wanasiasa mnapata shida kwa vile mna-base kwenye logic na sheria tu.
 
Kwanini unakuwa muongo? Kasema, "ondoa jiwe na genge lake by anymeans possible "
Unafikiri kwa tafsiri yako anamaanisha unavyomaanisha wewe au umejump kwenye conclusion kuiridhisha akili yako jinsi ilivyopokea kipengele hicho? Na kwanini ufikiri kuwa alilenga kama unayofikiri wewe? Usitoe majibu kwa maswali usiyoulizwa na usiwe unawafanyia wengine kwa kuwaburuza kwenye conclusion coner unayoitaka wewe!
Hakuna asiyeogopa ulichokiwazia kwani hasara zake ni nyingi kuliko faida na binafsi huwa napingana na wenye mawazo ya vurugu za aina yoyote! Binafsi naamini sana njia ya suluhisho mezani kwani ndiyo bora isiyo na madhara kwa pande zote!
Nashauri njia bora katika kujenga hoja zitakazotuunganisha na siyo zile za kutufarakanisha! Let's think rationally all the time for the health benefits of our nation! Wakatabahu!
Asante sana mkuu ! "Ondoa jiwe na genge lake by any means possible" is a qualified statement of toppling an elected Government though colloquially framed ! The extreme means is a coup de tat implied here ! Kwa sababu njia mbadala ni ballot box, but the way the thread author concluded definitely the democratic means of removing the government was off the table in my view ! Hatuzungumzii kuondoa uongozi wa club ya mpira wa miguu au wa kampuni fulani, ni uongozi wa nchi ! Ndio maana nikatoa mifano hai za mataifa yaliyo pitia njia hizo ovu na leo hii sote tu mashahidi wananchi wao wanavyoteseka ! Labda tuu ningemshauri aangalie kwa makini sana lugha ya kiingereza anavyo itumia ili kuepuka tafsiri zisizokusudiwa na wasomaji.

BALLOT NOT BULLETS PLEASE !
 
kama huyo dereva anajijua ni innocent na anapenda asiendeleee kutajwa kwenye hili kwa nini hajitokezi hadharani akaenda polisi yeye mwenyewe na kutoa maelezo yake? Kwa kweli kuna uwezekano huyu naye ni mhusika. Kwa nini anajificha kiasi inashikiwa bango kiwa polisi Tanzania wakamtafute. He is a suspect, sjitokrze approve kuwa ni innocent.
 
Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.

Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?

Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.

Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Najibu hiyo namba 3 na 4.
Uchunguzi umekwamishwa na Team ya Lissu mwenyewe, kwa kumficha dereva. Upelelezi huwa ni chain ya matukio, tukio hata liwe dogo kiasi gani linaweza kuwa na maana kubwa sana kwenye upelelezi.
Niliumizwa sana na tukio lile, lakini kilicho endelea mbele na hasa vitendo vya team ya muumizwaji vilianza nitia mashaka na vinaendelea nitia mashaka kuwa huenda ni sinema kama lile la Recep Tayyip Erdoğan.
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Asee ,mpaka napata ukakasi,hivi uyo dereva ni jinsia gani hadi apewe "ukarimu" huu wote
 
Back
Top Bottom