Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Wapi kataja hivyo? Au wewe umeamua kumuongezea maneno ili ifanane unavyotaka? Hizo nchi ulizotaja kama rejea hazifanani na usiudanganye moyo wako kuwa mapinduzi yale yalifanywa name umma! Au unafikiri kila mtu humu hajui kama wewe? Iraq walipigwa na Marekani wakishirikiana na NATO na hata Libya marekani kashiriki na ndiye aliyefanya! Jifunze kuogofya!
Vizuri sana ! Ilasoma vizuri thread yake pale chini. One of the options to remove a government is coup de tat! Implicitly he ment so as he didn't specify which option or means to remove this government! Sumu haijaribiwi kwa kumeza ! Chunga sana ! Nchi hii imejaaliwa mali nyingi sana na inamezewa mate na mataifa mengi makubwa kwa hiyo jaribio lolote la kuangusha serikali definately lita draw attention ya hao watamanio kama ilivyo kuwa kwa mataifa niliyo yataja.
 
It is a pity kuwa watu tuliokuwa tunawatumaini kama brain za nchi hii angalau katika tasnia ya uandishi wa habari , ndio wako hivi kama Pascal! Nilkuwa nimeanza kujenga positive attitude na huyu bwana , lkn post ya leo imenitoa kabisa! Pascal unashindwa kuona kuwa wapinzania wote wa Jiwe ambao ni outspoken wamepotea, and knowing kuwa Lisu ni namba MOJA mpinzani (siyo adui) wa Jiwe, kuwa hili lililotokea most likely and that is SO ni mkono wa Jiwe? Pascal Mayalla
Njaa mbaya wewe
Maskini haaminiki
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Lissu kasema dereva yupo wapi,
 
Tatizo lenu mnapenda kusikia yanayo wafurahisha tuu na nininyi huwa wa kwanza kuwanyooshea wengine vidole hawana uvumilivu kwa wengine...
Kama mnataka kuendeleza mjadala wa Lissu msipangie watu jinsi ya kujadili swala husika na kamwe uwezi kumuweka pembeni dereva wa Lissu kwenye mjadala huu...

Mna wasi wasi gani? Mnaficha nini wana chama wa demokrasia na maendeleo?
Sio vizuri kumjadili mgonjwa
 
Vizuri sana ! Ilasoma vizuri thread yake pale chini. One of the options to remove a government is coup de tat! Implicitly he ment so as he didn't specify which option or means to remove this government! Sumu haijaribiwi kwa kumeza ! Chunga sana ! Nchi hii imejaaliwa mali nyingi sana na inamezewa mate na mataifa mengi makubwa kwa hiyo jaribio lolote la kuangusha serikali denately lita draw attention ya hao watamanio kama ilivyo kuwa kwa mataifa niliyo yataja.
Ngoja nipatafute nipasome isijekuwa nawe umeover read!
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
anzia kwanza hapa . nani alimua akwilina Akwilina? mambo sasa alisemaje mbele za wandishi baada ya mauaji yale? nani walishtakiwa baada ya pale? ukimaliza endlea kumjadili dereva wa lisu..
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Kufikiri kwamba aliyeshambaliwa kwa lengo la kuuwawa anamficha Dereva wake ni kituko tosha.
Ungekuwa wewe ni huyo dereva ungeweza kubaki nchini na ukaendelea kuishi kwa amani?
Dereva ni mtu muhimu sana katika hili, lakini kuamini kwamba yeye ndiye ufunguo pekee wa hili jambo ni ujinga usio na kipimo au ni kuvidharau na kuviondolea weledi kabisa vyombo vilivyopaswa kulichunguza hili.
 
Vizuri sana ! Ilasoma vizuri thread yake pale chini. One of the options to remove a government is coup de tat! Implicitly he ment so as he didn't specify which option or means to remove this government! Sumu haijaribiwi kwa kumeza ! Chunga sana ! Nchi hii imejaaliwa mali nyingi sana na inamezewa mate na mataifa mengi makubwa kwa hiyo jaribio lolote la kuangusha serikali denately lita draw attention ya hao watamanio kama ilivyo kuwa kwa mataifa niliyo yataja.
Kwanini unakuwa muongo? Kasema, "ondoa jiwe na genge lake by anymeans possible "
Unafikiri kwa tafsiri yako anamaanisha unavyomaanisha wewe au umejump kwenye conclusion kuiridhisha akili yako jinsi ilivyopokea kipengele hicho? Na kwanini ufikiri kuwa alilenga kama unayofikiri wewe? Usitoe majibu kwa maswali usiyoulizwa na usiwe unawafanyia wengine kwa kuwaburuza kwenye conclusion coner unayoitaka wewe!
Hakuna asiyeogopa ulichokiwazia kwani hasara zake ni nyingi kuliko faida na binafsi huwa napingana na wenye mawazo ya vurugu za aina yoyote! Binafsi naamini sana njia ya suluhisho mezani kwani ndiyo bora isiyo na madhara kwa pande zote!
Nashauri njia bora katika kujenga hoja zitakazotuunganisha na siyo zile za kutufarakanisha! Let's think rationally all the time for the health benefits of our nation! Wakatabahu!
 
Mtakuwa mmetumwa sio bure! It's fortunate wote wamepona. Angekufa Lisu Dereva angeteseka sana. God is working between us. Ficha upumbavu wako.
Siasa dhalimu, itikadi na ujinga zinafanya binadamu wengine kupoteza utu kabisa
 
Kaka mkubwa nilidhani utakuwa unajadili kwa fikra huru kumbe umefungwa na ubinafisi wa fikra.
Naomba nikuulize maswali ya msingi kama yafuatayo
1) Kiasi furani utakuwa umesoma au kusikia tukio lolote linapotokea ni watu gani wanakuwa wakwanza kuojiwa na jeshi au vyombo husika vya Usalama?
2)Je kila tukio la upelelezi police wanalazimika kutoa taarifa kwa jamii au wananchi husika?
3) Wewe unataka watanzania wafanye nini kuhusu kupigwa risasi 38? Na je Lissu ndie mtanzania wa kwanza kupingwa risasi na kama sio wa kwanza je waliopigwa kabla yake watanzania walifanya nini na ww ulifanya nini
Ombi langu kwako ukiwa unajadili mambo yanayogusa jamii kwa ujumla wake husiongozwe na matamanio binafisi
1)Watu wenye ugomvi na aliyeshambuliwa,watu anaowahisi yeye mwenyewe,watu waliokuwa eneo la tukio na wanaoweza kupatikana.
2)Unamaanisha taarifa ya aina gani? Sio kila tukio wanalazimika kutoa taarifa za kina za kiuchunguzi.Ila kushambuliwa kwa mkosoaji mkubwa zaidi wa serikali katika nchi zisizo na demokrasia Imara ni jambo lilopaswa kutolewa taarifa.
3)Hii ni nchi yake ana haki ya kuhoji, kushiriki na kutoa maoni yake na zaidi anataka Watanzania wayakatae mambo haya pasipo kujali yeye ni wa kwanza au wa mwisho.
 
Hujui unachokitetea kabisa na ni bora ungesoma hoja za wenzako na kupita kimya! Hebu jiweke kwenye nafasi ya Lissu, kisha ujizungumzie huenda ungelia michozi!
Hivi ni kweli mnajadili hoja Ya Lissu mkiwa na akili huru au kwa ujira? Kama mmeuumbwa kwa nyama na damu na unaishi bila maumivu shukuru na usiwabeze Wala kuwanyanyapaa walio kwenye shida na maumivu ya lazima kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kumdhihaki Mungu!
Wote msioiona shida ya Lissu mna tofauti gani na wale wanaoua watoto na wazee kule Syria na Yemen? Mna tofauti gani na yule mpigapicha aliyempiga picha tai akimnyanyua na kumrarua mtoto aliyekuwa ameteseka kwa njaa iliyosababishwa na vita kule Sudan kusini badala ya kumsaidia?
Msisahau kuwa haya ni maisha na dunia ni duara na tunapita! Tujifunze mamma Ya kuzuia tatizo ili lisijirudie kwani hatujui likirudi linamrudia nani kati yetu!
Acha kutafuta sympathy za kijinga,jenga hoja zenye mashiko.Kwanini Dereva asiwe suspected? Kuna jitihada zozote huyu lisu amezifanya kuhakikisha haki yake inapatikana kwa njia halali nje ya kuendelea kutoa povu kwenye social media?Hivi kuandika kujaza kurasa kwenye social media ndio njia sahihi ya yy kushinikiza haki yake ipatikane?Lisu ni mwanasheria,kweli hana njia yyt ya kisheria kuhakikisha anapata haki?Au huku kwenye social media ndio taratibu zinazotakiwa?

Shida ni kwamba mnapenda majungu yake dhidi ya serikali lkn katu hamjawahi jiuliza baada ya hayo majungu kipi hutokea?Je stahiki zake hutolewa ka mbunge?Je waliompiga risasi ndio watakamatwa?Huwa nasema lisu ni mwanasheria uchwara aliyebahatika kupata wafuasi wajinga wajinga kiasi kuwatumia atakavyo.Inawezekana vipi mambo yanayohitaji mahakama itoe tafsiri ye anapiga porojo kwenye social media? Huku ndio mahakimu wako?Kwanini mda anaotumia kupiga porojo huko Belgium asirudu Tz kudai haki yake?Au Kwanini Dereva na mawakili wake wasianze mchakato wa kudai haki?

Linapofika swala la kujenga hoja lzm tujenge hoja,hapa msilete za ooh chukulia ungekua wewe mara binadam cjui nn.Swala la lisu msilichukulie kwamba kila agenda ya kisiasa watu wakae kimya kisa lisu.Mgonjwa gani kila SAA anaangaika kuandaa madesa ya kejeli,majungu na mipasho?Kwamba hayo madesa yake kila mtu aseme AMENI?
 
Dereva aliokoka kutoka Risasi 38 na hakupata hata mchubuko kuna shida gani akawasili polisi kuhojiwa au kuelezea tukio?
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Nyie watu mnataka mmpige na risasi dereva!! Mshindwe
 
Acha kutafuta sympathy za kijinga,jenga hoja zenye mashiko.Kwanini Dereva asiwe suspected? Kuna jitihada zozote huyu lisu amezifanya kuhakikisha haki yake inapatikana kwa njia halali nje ya kuendelea kutoa povu kwenye social media?Hivi kuandika kujaza kurasa kwenye social media ndio njia sahihi ya yy kushinikiza haki yake ipatikane?Lisu ni mwanasheria,kweli hana njia yyt ya kisheria kuhakikisha anapata haki?Au huku kwenye social media ndio taratibu zinazotakiwa?

Shida ni kwamba mnapenda majungu yake dhidi ya serikali lkn katu hamjawahi jiuliza baada ya hayo majungu kipi hutokea?Je stahiki zake hutolewa ka mbunge?Je waliompiga risasi ndio watakamatwa?Huwa nasema lisu ni mwanasheria uchwara aliyebahatika kupata wafuasi wajinga wajinga kiasi kuwatumia atakavyo.Inawezekana vipi mambo yanayohitaji mahakama itoe tafsiri ye anapiga porojo kwenye social media? Huku ndio mahakimu wako?Kwanini mda anaotumia kupiga porojo huko Belgium asirudu Tz kudai haki yake?Au Kwanini Dereva na mawakili wake wasianze mchakato wa kudai haki?

Linapofika swala la kujenga hoja lzm tujenge hoja,hapa msilete za ooh chukulia ungekua wewe mara binadam cjui nn.Swala la lisu msilichukulie kwamba kila agenda ya kisiasa watu wakae kimya kisa lisu.Mgonjwa gani kila SAA anaangaika kuandaa madesa ya kejeli,majungu na mipasho?Kwamba hayo madesa yake kila mtu aseme AMENI?
Hii ni misuli ya shitholeeeee......,
 
Ndugu yangu kuna siku ukweli utafahamika tuuu. Kila siku watakuja na hoja tofauti kuhalalisha kuwa wanachokisema ni kweli japo wenyewe wanajua fika kuwa ni uongo. Ni wazi kuwa hata Lissu hataki dereva ahojiwe pamoja na kumfundisha mambo ya kuongea karibu mwaka mzima. Usishangae wakasema dereva ameomba hifadhi ya kisiasa huko aliko. Na ikilazimika akaja TZ naona uwezekano wa hao hao kumwuua na kusingizia serikali. Naamini mpango ulisukwa na Lissu na wenzake ili ashambuliwe ila wenzake kama kawaida yao wakabadilisha gear angani wakawaambia wale washambuliaji wammalize kabisa. Sasa Lissu atapenda hiyo ifahamike? Na wale wenzake watapenda ifahamike? Ni wazi dereva alihusishwa na wanaona anaweza kutoa siri. Fikiria gharama inayotumika kumficha huyu dereva. Karibu mwaka mzima amekaa nje ya TZ akifundishwa ya kuzungumza pindi akihojiwa na serikali. Ikitokea wakaamini kuwa hajafuzu watamwondoa tu ili kuepuka aibu.
Mh!! Mbona watu hamna akili namna hii, Jiwe Kawatuma
 
Back
Top Bottom