Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Najibu hiyo namba 3 na 4.
Uchunguzi umekwamishwa na Team ya Lissu mwenyewe, kwa kumficha dereva. Upelelezi huwa ni chain ya matukio, tukio hata liwe dogo kiasi gani linaweza kuwa na maana kubwa sana kwenye upelelezi.
Niliumizwa sana na tukio lile, lakini kilicho endelea mbele na hasa vitendo vya team ya muumizwaji vilianza nitia mashaka na vinaendelea nitia mashaka kuwa huenda ni sinema kama lile la Recep Tayyip Erdoğan.
Naona mnafanya kazi kubwa hongereni....ila ukweli mnaujua mnajitekenya na kucheka wenyewe.....kikubwa kati yao wawili hamna aliyepoteza maisha....hakuna siri chini ya jua.
 
Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.

Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?

Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.

Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
1.Jeshi la polisi.
2.Kulingana na maelezo ya waziri wa sheria marekani juzi ndio uchunguzi unafanyika na unaendelea, hawajashindwa.

Swali. Lissu na cdm walitaka uchukue muda gani? Je wanadhani ni busara kwa kuwa wao wanataka isemwe ni rais ni busara jeshi la polisi pia liseme hivyo bila ushahidi ili walizike?
3.Maendeleo ya uchunguzi hawatangazwi redioni uchungizi si ujenzi wa daraja hilo halina ubishi,
4.Reff. No 3 above.
5.mkuu wa serikali ni Rais lkn hana mamlaka ya kumtia mtu hatiani au kulazimisha uchunguzi ili kumfurahisha mtu yeyote anaweza kuhimiza tu uchunguzi wa haraka lkn hawezi kuamua uishe lini?
6.Jpm
7. Shuku ya Lissu haijasemwa polisi, sababu lissu bado hajahojiwa na polisi toka ashambuliwe jeshi litaijua baada ya kumhoji, hata hivyo shuku ni hatua muhimu tu ya uchunguzi lkn si ushahidi tosha au haitimilishi uchunguzi kwamba nikishambuliwa nikakushuku kwa kuwa tu tunagombea mke au shamba basi moja kwa moja nitakuwa mimi si kweli japo ni vyema uchunguzi ukaanza na mimi.
8.reff no 7 above mpaka atakapo hojiwa ndio jeshi la polisi litawajua.
9.Tunaamini kwenye ushahidi wa kuona kuliko wa kusikia dereva na Lissu ndio watu pekee walioliona tukio na si kuona tu walihusika kwa 100% kumtoa kwenye mjadara ni uchuro usioelezeka. Hakuna namna utaongelea shambulio la Lissu bila kumuongelea dereva sijui utaongelea nini? Kufuatiliwa lazima ahusike, kushambuliwa lazima ahusike, kuokoa maisha ya Lissu lazima ahusike, kutoa taarifa lazima ahusike, sasa unamuondoaje kwenye mjadara? Labda uwe mwehu.
10.Tulifanya nini kibiti? Stakishari? Lugalo aliposhambuliwa afisa jeshi? Mwangosi? n.k Lissu ni sehemu ya watanzania mwenye haki sawa na wewe, mimi na yule. Tunataka haki itendeke na si itendeke tu ionekane kutendeka.
 
Kama nitakuwa nimekusoma na kukuelewa vizuri unataka umma uelewe kuwa Lissu (akijua/ bila kujua) anashiriki katika kumficha mtu aliyetaka kumuua?

There is no doubt about that but it is AKIJUA sio bila kujua na kwamba sio mtu aliyetaka kumuua bali ni mtu ambaye alifahamu mpango wote wa kushambuliwa. Na hii inaleta sura kuwa hata Lissu aliufahamu huo mpango ila ukaja kwa vingine, badala ya kuwa mpango wa kushambuliwa ili kupata kiki wenzie wakabadilisha gear angani probably bila dereva kufahamu ili mpango mzima uwe kummaliza Lissu.
 
Kama Lissu na dereva wangepoteza maisha siku ya tukio kusingekuwa na uchunguzi???

My friend usidhani kuwa uchunguzi haupo. Hawa jamaa wanaomficha dereva wanahisi uchunguzi umeendelea kiusahihi kabisa na dereva anayo maelezo ya kukamilisha uchunguzi na ndio maana kamwe hawatamruhusu dereva aonekane kwa sababu ataonyeshwa mambo ambayo hataweza kuyabishia na kumbidi aseme ukweli ambao utawaumbua kweli kweli.Uchunguzi sio kama mchezo wa mpira wa miguu ambao kila hatua inaonekana wazi. Subiri dereva aonekane utakuta uchunguzi ulishafikia 90% na wahusika kuwekwa hadharani na si wengine bali hao waliomficha na kumsomesha ya kuzungumza. Sasa watashtuka maswali atakayoulizwa hayatafanana na hayo aliyokaririshwa. Ukweli utafahamika tuuuu
 
Kwa hiyo wewe unapendekeza serikali ya nchi hii iliochaguliwa kidemokrasia ipinduliwe au ? Wacha ujinga ndugu ! Tembelea Libya na Iraq walau mitandaoni uoene ya huko halafu rudi humu JF na pendekezo mbadala.
Amani ya nchi hii haina uhusiano na ccm Wala watawala wetu wa sasa wala jana. Ila ccm inajitahidi kwa nguvu zote kuiondoa ila watanzania tumegoma
 
My friend usidhani kuwa uchunguzi haupo. Hawa jamaa wanaomficha dereva wanahisi uchunguzi umeendelea kiusahihi kabisa na dereva anayo maelezo ya kukamilisha uchunguzi na ndio maana kamwe hawatamruhusu dereva aonekane kwa sababu ataonyeshwa mambo ambayo hataweza kuyabishia na kumbidi aseme ukweli ambao utawaumbua kweli kweli.Uchunguzi sio kama mchezo wa mpira wa miguu ambao kila hatua inaonekana wazi. Subiri dereva aonekane utakuta uchunguzi ulishafikia 90% na wahusika kuwekwa hadharani na si wengine bali hao waliomficha na kumsomesha ya kuzungumza. Sasa watashtuka maswali atakayoulizwa hayatafanana na hayo aliyokaririshwa. Ukweli utafahamika tuuuu
Na uchunguzi wa mabomu pale Soweto Arusha umefikia wapi?
 
There is no doubt about that but it is AKIJUA sio bila kujua na kwamba sio mtu aliyetaka kumuua bali ni mtu ambaye alifahamu mpango wote wa kushambuliwa. Na hii inaleta sura kuwa hata Lissu aliufahamu huo mpango ila ukaja kwa vingine, badala ya kuwa mpango wa kushambuliwa ili kupata kiki wenzie wakabadilisha gear angani probably bila dereva kufahamu ili mpango mzima uwe kummaliza Lissu.
Mpango Kama huu wa kutafuta kiki kwa kutumia SMG siku hizi unakubarika TZ?
 
Yani lisu ndo mtoa utaratibu wa kuhojiwa hahahahah, huu utani Lisu alitakiwa afanye juu chini ahojiwe au aende mahakaman kudai haki yake na sio serikali iangaike na yy.Serikali haina cha kupoteza lkn maajabu ni lisu kama kuiamrisha na kuifundisha serikali cha kufanya kati Shida ni zake yy.Huo mda aliotumia kuita press conference Kenya kwann hakutumia kudai haki yake Tz?Ilitosha lisu kushirikiana na mawakili wake kufungua kesi kudai haki yake mahakaman na uzur dereva yuko salama kabisa.Siasa uchwara za lisu zinashika akili za wapumbavu na sio wanaojitambua.Mda anaotumia kutoa mapovu kwenye social media unatosha kabisa kudai haki yake kwa njia za kisheria kama ana HAKI ZOTE.

..Lissu siyo mtoa utaratibu au maelekezo.

..Jeshi la Polisi la Tanzania linatakiwa kujua taratibu na hatua za kufuata ktk kuhoji mashahidi walioko nje ya nchi.

..Unapotosha unapodai Tundu Lissu anapaswa kwenda mahakamani ili kulilazimisha jeshi la Polisi kufanya uchunguzi na kuwatia nguvuni magaidi waliompiga risasi.

..Suala la uchunguzi wa jinai ni jukumu la Polisi ambalo wanapaswa kulitekeleza wao wenyewe na siyo kusubiri wasukumwe-sukumwe.
 
1.Jeshi la polisi.
2.Kulingana na maelezo ya waziri wa sheria marekani juzi ndio uchunguzi unafanyika na unaendelea, hawajashindwa.

Swali. Lissu na cdm walitaka uchukue muda gani? Je wanadhani ni busara kwa kuwa wao wanataka isemwe ni rais ni busara jeshi la polisi pia liseme hivyo bila ushahidi ili walizike?
3.Maendeleo ya uchunguzi hawatangazwi redioni uchungizi si ujenzi wa daraja hilo halina ubishi,
4.Reff. No 3 above.
5.mkuu wa serikali ni Rais lkn hana mamlaka ya kumtia mtu hatiani au kulazimisha uchunguzi ili kumfurahisha mtu yeyote anaweza kuhimiza tu uchunguzi wa haraka lkn hawezi kuamua uishe lini?
6.Jpm
7. Shuku ya Lissu haijasemwa polisi, sababu lissu bado hajahojiwa na polisi toka ashambuliwe jeshi litaijua baada ya kumhoji, hata hivyo shuku ni hatua muhimu tu ya uchunguzi lkn si ushahidi tosha au haitimilishi uchunguzi kwamba nikishambuliwa nikakushuku kwa kuwa tu tunagombea mke au shamba basi moja kwa moja nitakuwa mimi si kweli japo ni vyema uchunguzi ukaanza na mimi.
8.reff no 7 above mpaka atakapo hojiwa ndio jeshi la polisi litawajua.
9.Tunaamini kwenye ushahidi wa kuona kuliko wa kusikia dereva na Lissu ndio watu pekee walioliona tukio na si kuona tu walihusika kwa 100% kumtoa kwenye mjadara ni uchuro usioelezeka. Hakuna namna utaongelea shambulio la Lissu bila kumuongelea dereva sijui utaongelea nini? Kufuatiliwa lazima ahusike, kushambuliwa lazima ahusike, kuokoa maisha ya Lissu lazima ahusike, kutoa taarifa lazima ahusike, sasa unamuondoaje kwenye mjadara? Labda uwe mwehu.
10.Tulifanya nini kibiti? Stakishari? Lugalo aliposhambuliwa afisa jeshi? Mwangosi? n.k Lissu ni sehemu ya watanzania mwenye haki sawa na wewe, mimi na yule. Tunataka haki itendeke na si itendeke tu ionekane kutendeka.

Maelezo yako yanaonesha we ni mshirika wa genge la wasiojulikani chini ya kichaa jiwe mkuu and you seem worried that someone is already baying for your blood. Be assured that in due time people of Tanzania will know what exactly happened during 38 bullets and will avenge appropriately. Kimsingi lengo la uzi huu ni kuainisha maeneo muhimu ya kupewa kipaumbele ktk mjadala juu ya Lissu mwaka moja baada ya risasi 38. Kwa hiyo sikuwa natafuta majibu bali kuwasaidia kufikiri wale ambao genge lenu limepewa kazi ya kuwapotosha. Na uzuri ni kwamba umeweka wazi kuwa upo kazini japo ktk comment hii hujawalenga wateja wako wa siku zote ila umewalenga wale wenye IQ kubwa km ya Lissu na kwa kuwa IQ yako ni level 1 na aliyekupa kazi au mkuu wa genge lenu, km kawaida ya inferior and low iq people njia rahisi kwao ni vitisho uchwara uchwara km hizi zako. Na ili kujiridhisha na haya ninayosema just review your responses n you will realize that you do not properly a functioning brain.
1. Umesema polisi, jiongeze kidogo kuwa mkuu wa polisi na waziri husika ni wateule wa raisi na wanatekeleza sera ya raisi aliyepo and the backstop with president, yaani ikiwa polisi haifanyi kazi yake vizuri anayewajibika ni raisi ndo maana amepewa mamlaka ya kumweka au kumtoa mtu yoyote anapoona inafaa saa yoyote km alivyofanya kwa yule wa pccb. Mantiki ni kuwa kwa katiba yetu ya Tz polisi wanawajibika kwa raisi na raisi anawajibika kwa umma. So muda ukifika umma utamuuliza raisi nini kinaendelea kuhusu wote waliouawa, waliojeruhiwa, waliotekwa na waliopotea.
2. Hapa nitakusaidia hivi, nenda kajifunze tofauti kati ya waziri wa sheria na yule anayehusika na issue ya Lissu na alisema nini juzi kati alipoteuliwa.
3. What are your sources of rules kwamba uchunguzi hautangazwi, by the way umesema aliyesema uchunguzi unaendelea ni waziri wa katiba ila hujui waziri muhusika amesemaje. For own good refer #2 above.
4.Umejibu refer #3 kwa mantiki kwamba uchunguzi upo na unaendelee. Ushauri wngu, jua kutofautisha kazi za mawaziri
5. Refer# 1 and other references kuhusu uhusiano kati raisi na polisi, itakusaidie.
6. Ok sawa, sasa ni mwaka moja umepita toka risasi 38 zilipoelekezwa kwa Lissu. Kwa maelezo yako yakupotosha au kutokujua unadhani yeye hana chakufanya na pengine hata siyo kazi yake, once agai rudia #1 above itakusaidia
7. Kwani nani amesema Lissu anawashukia polisi?
8. Lissu ameandika extensively kuhusu anamshuku nani na nani walihusika na kupigwa kwake risasi 38, so do some references
9. Rubbish full of nonsense response that was never requested. The process of criminal justice has many steps btn investigation and punishment/rehabilitation, sasa wewe na uchunguzi wako wa waziri sheria na katiba mko hatua ipi? By the way, lugha gongana mjadara=mjadala. In short, uchunguzi ni ukusanyaji wa taarifa ili kubaini wahalifu. Naelewa una tatizo la iq ambayo genetic work is to be blamed and not you. Logic ya #9 imetoka juu kwamba je kuna washukiwa? With police no suspect so far but with the victim (Lissu) there are many suspects na huyu dreva wake siyo mojawapo kati ya wale anaowashukia. Sasa jiongeze kidogo nani anamshukia dreva? Ukishindwa kujiongeza ni kwamba hakuna anayemshukia dreva, siyo polisi, lissu, chadema wala wananchi. Simply it's a stupid propaganda for only zombified people.
10. Sasa hapa umesema nini? mara kibiti, shari, afisa jeshi, Mwangosi, Lissu, watanzania, haki. Can't help with this level of ignorance and intellectual disability.
 
Dereva aweza kuwa anajua kwa nini Askari wale hawakuwepo. ndio maana halisi ya Consipiracy. Hata jambazi anaweza kupanga na mlinzi asiwepo eneo la lindo siku anaenda kuvunja godauni aibe. Nguvu iliyotumiwa kumutafutia dereva visa ya ukimbizi ubelgiji ingetumiwa kumrudhisha upelelezi ungefikia hatua
Na hao askali walikuwa wanareport Kwa Dereva WA Lissu ndo unavyojaribu kutuaminisha? Kama hawareport Kwa huyo dereva maana yake siku hiyo wahawakuwa kazini, umesikia kitu chochote toka kwa mwajiri wao?
 
There is no doubt about that but it is AKIJUA sio bila kujua na kwamba sio mtu aliyetaka kumuua bali ni mtu ambaye alifahamu mpango wote wa kushambuliwa. Na hii inaleta sura kuwa hata Lissu aliufahamu huo mpango ila ukaja kwa vingine, badala ya kuwa mpango wa kushambuliwa ili kupata kiki wenzie wakabadilisha gear angani probably bila dereva kufahamu ili mpango mzima uwe kummaliza Lissu.

Wewe ni nani aliyekuambia hayo yote?
Ni kwa kiasi gani unamuamini aliyekuambia, au nawe ni mshirika (acomplice) katika huo mchezo?
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Serikali yenyee mkono mrefu iliyotukukaa haiwez shindwa kumuhoji dereva na wahusikaa wotee waliomshambulia tundu na kuwatia kizuizin maana interegensia yao iko juu ni kwambaa ni mambo yakanyela mumo wanajuana
 
tatizo watu wengi wamekataa kushugulisha vichwa vyao na kusubiri habari za kuambiwa, mauaji ya Tundu Lissu ni ya kisiasa.Unapokuwa mwanasiasa mara nyingi unajijengea maadui wengi, wengine wanawezakuwa kuwa wanasiasa wenzako wa chama kimoja na wengine nje ya chama chako. Pascal amelitazama jambo hili kwa jicho la tatu tofauti na wengine ambao mmekariri habari za kuambiwa na viongozi wenu wa kisiasa ambao si ajabu wao ndio wahusika wakubwa
 
Wewe ni nani aliyekuambia hayo yote?
Ni kwa kiasi gani unamuamini aliyekuambia, au nawe ni mshirika (acomplice) katika huo mchezo?

Huyu achana naye yupo kwenye genge linaloitwa KUPOTOSHA UKWELI TZ ASSOCIATION, yaani KUTA, ring leader kichaajiwe
 
Kila mtu anahoji anapoona anaweza kuhoji, itakua jamii ya wasomi wa aina gani kama wote tukazane kuhoji jambo moja?We hoji camera,Mimi nihoji serikali mwingine dereva na mwingine angle nyingine.Ni jambo la ajabu kumfanya mtu mwenye akili timamu awaze sawa na utakavyo
Kuna watu wakianzisha mada huwa zipo sawa sio biased au ushabiki. Mfano wewe ni pro Chama so comments na mada zako ni za kutetea chama hata kama chama kitakosea. Lkn mtu kama Mayalla huwa anaweka point na hayupo biased bali huweka ukweli bila ushabiki ila kwenye ile thread ampiga nje kabisa Yaani kama sio Yule Mayalla original nahisi kuna kitu au anachuki na Lissu au something fishy is going on time will tell. Ile mada kwa ambao tu me kuwa mashabiki wake amepotosha na kukwepa ukweli wa neutrality akaingia kwny unafki na ushabiki waziwazi.
 
tatizo watu wengi wamekataa kushugulisha vichwa vyao na kusubiri habari za kuambiwa, mauaji ya Tundu Lissu ni ya kisiasa.Unapokuwa mwanasiasa mara nyingi unajijengea maadui wengi, wengine wanawezakuwa kuwa wanasiasa wenzako wa chama kimoja na wengine nje ya chama chako. Pascal amelitazama jambo hili kwa jicho la tatu tofauti na wengine ambao mmekariri habari za kuambiwa na viongozi wenu wa kisiasa ambao si ajabu wao ndio wahusika wakubwa

Sasa hapa na wewe utasema umeishughulisha kichwa chako na kweli ukamwelewa Pascal? Let me assist you to know that 'hujamwelewa' rudia tena kumsoma. Hints are anahitaji kujua kina nani ni wahusika haijalishi wametoka pande ipi?
 
Maelezo yako yanaonesha we ni mshirika wa genge la wasiojulikani chini ya kichaa jiwe mkuu and you seem worried that someone is already baying for your blood. Be assured that in due time people of Tanzania will know what exactly happened during 38 bullets and will avenge appropriately. Kimsingi lengo la uzi huu ni kuainisha maeneo muhimu ya kupewa kipaumbele ktk mjadala juu ya Lissu mwaka moja baada ya risasi 38. Kwa hiyo sikuwa natafuta majibu bali kuwasaidia kufikiri wale ambao genge lenu limepewa kazi ya kuwapotosha. Na uzuri ni kwamba umeweka wazi kuwa upo kazini japo ktk comment hii hujawalenga wateja wako wa siku zote ila umewalenga wale wenye IQ kubwa km ya Lissu na kwa kuwa IQ yako ni level 1 na aliyekupa kazi au mkuu wa genge lenu, km kawaida ya inferior and low iq people njia rahisi kwao ni vitisho uchwara uchwara km hizi zako. Na ili kujiridhisha na haya ninayosema just review your responses n you will realize that you do not properly a functioning brain.
1. Umesema polisi, jiongeze kidogo kuwa mkuu wa polisi na waziri husika ni wateule wa raisi na wanatekeleza sera ya raisi aliyepo and the backstop with president, yaani ikiwa polisi haifanyi kazi yake vizuri anayewajibika ni raisi ndo maana amepewa mamlaka ya kumweka au kumtoa mtu yoyote anapoona inafaa saa yoyote km alivyofanya kwa yule wa pccb. Mantiki ni kuwa kwa katiba yetu ya Tz polisi wanawajibika kwa raisi na raisi anawajibika kwa umma. So muda ukifika umma utamuuliza raisi nini kinaendelea kuhusu wote waliouawa, waliojeruhiwa, waliotekwa na waliopotea.
2. Hapa nitakusaidia hivi, nenda kajifunze tofauti kati ya waziri wa sheria na yule anayehusika na issue ya Lissu na alisema nini juzi kati alipoteuliwa.
3. What are your sources of rules kwamba uchunguzi hautangazwi, by the way umesema aliyesema uchunguzi unaendelea ni waziri wa katiba ila hujui waziri muhusika amesemaje. For own good refer #2 above.
4.Umejibu refer #3 kwa mantiki kwamba uchunguzi upo na unaendelee. Ushauri wngu, jua kutofautisha kazi za mawaziri
5. Refer# 1 and other references kuhusu uhusiano kati raisi na polisi, itakusaidie.
6. Ok sawa, sasa ni mwaka moja umepita toka risasi 38 zilipoelekezwa kwa Lissu. Kwa maelezo yako yakupotosha au kutokujua unadhani yeye hana chakufanya na pengine hata siyo kazi yake, once agai rudia #1 above itakusaidia
7. Kwani nani amesema Lissu anawashukia polisi?
8. Lissu ameandika extensively kuhusu anamshuku nani na nani walihusika na kupigwa kwake risasi 38, so do some references
9. Rubbish full of nonsense response that was never requested. The process of criminal justice has many steps btn investigation and punishment/rehabilitation, sasa wewe na uchunguzi wako wa waziri sheria na katiba mko hatua ipi? By the way, lugha gongana mjadara=mjadala. In short, uchunguzi ni ukusanyaji wa taarifa ili kubaini wahalifu. Naelewa una tatizo la iq ambayo genetic work is to be blamed and not you. Logic ya #9 imetoka juu kwamba je kuna washukiwa? With police no suspect so far but with the victim (Lissu) there are many suspects na huyu dreva wake siyo mojawapo kati ya wale anaowashukia. Sasa jiongeze kidogo nani anamshukia dreva? Ukishindwa kujiongeza ni kwamba hakuna anayemshukia dreva, siyo polisi, lissu, chadema wala wananchi. Simply it's a stupid propaganda for only zombified people.
10. Sasa hapa umesema nini? mara kibiti, shari, afisa jeshi, Mwangosi, Lissu, watanzania, haki. Can't help with this level of ignorance and intellectual disability.
Kifupi ni kuwa wewe Lissu au chadema haiwezi kulichagulia jeshi la polisi mshukiwa, yeye anahaki na nafasi ya kusema anamshuku nani na jeshi litapokea majina yake na kuyafanyia kazi, lkn jeshi likiona dereva ni mshukiwa Lissu hawezi kuzuia, hata wakiona mke wa Lissu au mtoto wa Lissu ni mshukiwa watamhoji.

Mwambie lissu aache kulichagulia jeshi ni nani na nani hawapaswi kushukiwa.
 
Serikali yenyee mkono mrefu iliyotukukaa haiwez shindwa kumuhoji dereva na wahusikaa wotee waliomshambulia tundu na kuwatia kizuizin maana interegensia yao iko juu ni kwambaa ni mambo yakanyela mumo wanajuana

Lissu alisema waziwazi kuwa dereva wake hawezi kuhojiwa bila yeye Lissu kuwepo, au hukuisikia hiyo? Wakati IGP Sirro anasermaq atawatuma maaskari kwenda Nairobi kupata maelezo ya Lissu na dereva wake ulisikia majibu ya Liassu? Kama hukuyasikia you are not bcompetent kuendelea kuchangia hii hoja. Kama uliyasikia comment in the context of the hoja.
 
Wewe ni nani aliyekuambia hayo yote?
Ni kwa kiasi gani unamuamini aliyekuambia, au nawe ni mshirika (acomplice) katika huo mchezo?

Hiyo ni based on public information information ambayo kama hunayo au haijapitia kwako nasita kuamini kama una haki au uwezo wa kuchangia hii thread.Kama ulikuwa hujaipata hiyo basi ndio habari yenyewe
 
Back
Top Bottom