Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Hiyo Ngoma huioni hakuwa dereva tu alikuwa na Mafunzo zaidi ya walio shambulia hicho ndiyo kinafichwa kwani sio Sheria mengi yataibuka alipata Mafunzo wapi,ila tu walio shambulia walikuwa kwenye risk kubwa kama angeamua hujibu.
 
Yani lisu ndo mtoa utaratibu wa kuhojiwa hahahahah, huu utani Lisu alitakiwa afanye juu chini ahojiwe au aende mahakaman kudai haki yake na sio serikali iangaike na yy.Serikali haina cha kupoteza lkn maajabu ni lisu kama kuiamrisha na kuifundisha serikali cha kufanya kati Shida ni zake yy.Huo mda aliotumia kuita press conference Kenya kwann hakutumia kudai haki yake Tz?Ilitosha lisu kushirikiana na mawakili wake kufungua kesi kudai haki yake mahakaman na uzur dereva yuko salama kabisa.Siasa uchwara za lisu zinashika akili za wapumbavu na sio wanaojitambua.Mda anaotumia kutoa mapovu kwenye social media unatosha kabisa kudai haki yake kwa njia za kisheria kama ana HAKI ZOTE.
We kilaza wa lumumba unafahamu sheria inaitwa mutual assistance in criminal matters act?
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Wenye akili? Dereva anafichwa na nani? Mlengwa kuuawa anamficha muuaji wake. Wenye akili! Labda wawe ni wengine bila wewe kuwemo.
 
Acha kutafuta sympathy za kijinga,jenga hoja zenye mashiko.Kwanini Dereva asiwe suspected? Kuna jitihada zozote huyu lisu amezifanya kuhakikisha haki yake inapatikana kwa njia halali nje ya kuendelea kutoa povu kwenye social media?Hivi kuandika kujaza kurasa kwenye social media ndio njia sahihi ya yy kushinikiza haki yake ipatikane?Lisu ni mwanasheria,kweli hana njia yyt ya kisheria kuhakikisha anapata haki?Au huku kwenye social media ndio taratibu zinazotakiwa?

Shida ni kwamba mnapenda majungu yake dhidi ya serikali lkn katu hamjawahi jiuliza baada ya hayo majungu kipi hutokea?Je stahiki zake hutolewa ka mbunge?Je waliompiga risasi ndio watakamatwa?Huwa nasema lisu ni mwanasheria uchwara aliyebahatika kupata wafuasi wajinga wajinga kiasi kuwatumia atakavyo.Inawezekana vipi mambo yanayohitaji mahakama itoe tafsiri ye anapiga porojo kwenye social media? Huku ndio mahakimu wako?Kwanini mda anaotumia kupiga porojo huko Belgium asirudu Tz kudai haki yake?Au Kwanini Dereva na mawakili wake wasianze mchakato wa kudai haki?

Linapofika swala la kujenga hoja lzm tujenge hoja,hapa msilete za ooh chukulia ungekua wewe mara binadam cjui nn.Swala la lisu msilichukulie kwamba kila agenda ya kisiasa watu wakae kimya kisa lisu.Mgonjwa gani kila SAA anaangaika kuandaa madesa ya kejeli,majungu na mipasho?Kwamba hayo madesa yake kila mtu aseme AMENI?
Mkubwa uko sawa ndio maana kuna mahakam na vyombo vya uchunguzi
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Kama Lissu na dereva wangepoteza maisha siku ya tukio kusingekuwa na uchunguzi???
 
Wenye akili? Dereva anafichwa na nani? Mlengwa kuuawa anamficha muuaji wake. Wenye akili! Labda wawe ni wengine bila wewe kuwemo.
Kama hujui kuwa dereva anafichwa Tena kwa gharama kubwa Sana Sana ukae kimya tu Tena tu. Na Kama pia hujui anayemficha ndio kabisa huwezi kuchangia chochote kwenye hii thread. Ila uliza uelezwe Mbowe alitoa maelezo gani kuhusu uwepo wa dereva mjini Nairobi na juzi Lissu katoa maelezo gani kuhusiana na uwepo wa dereva Ubelgigi. Ungekuwa na ufahamu ungelinganisha hayo maelezo then connect dots to come to a conclusion
 
Tukio la mabomu pale Soweto Arusha, tukio la kuuliwa Alphonse Mawazo, tukio la Lissu, matukio hayo hamtajuwa ukweli wake dola inataka yasijulikane.
 
Lissu alisema anafuatwa na kataja hadharani serikali ikakaa kimya na baadaye alishambuliwa na serikali imekaa kimya. Akaja juzi Kabudi kuthibitisha kuwa hata marais wa Matekani waliuliwa na hakuna sliyekamatwa. Sasa what do you expect? Wahusika hawajulikana ila wapo
 
Asante sana mkuu ! "Ondoa jiwe na genge lake by any means possible" is a qualified statement of toppling an elected Government though colloquially framed ! The extreme means is a coup de tat implied here ! Kwa sababu njia mbadala ni ballot box, but the way the thread author concluded definitely the democratic means of removing the government was off the table in my view ! Hatuzungumzii kuondoa uongozi wa club ya mpira wa miguu au wa kampuni fulani, ni uongozi wa nchi ! Ndio maana nikatoa mifano hai za mataifa yaliyo pitia njia hizo ovu na leo hii sote tu mashahidi wananchi wao wanavyoteseka ! Labda tuu ningemshauri aangalie kwa makini sana lugha ya kiingereza anavyo itumia ili kuepuka tafsiri zisizokusudiwa na wasomaji.

BALLOT NOT BULLETS PLEASE !
You sound like one of core members of genge la kichaa jiwe that needs to be uprooted from the realms of power by any means necessary n you seem to be so desperate for intimidating tactics of your boss
 
kama huyo dereva anajijua ni innocent na anapenda asiendeleee kutajwa kwenye hili kwa nini hajitokezi hadharani akaenda polisi yeye mwenyewe na kutoa maelezo yake? Kwa kweli kuna uwezekano huyu naye ni mhusika. Kwa nini anajificha kiasi inashikiwa bango kiwa polisi Tanzania wakamtafute. He is a suspect, sjitokrze approve kuwa ni innocent.
Sijakuelewa kati haya ma2, yaani km hujui au upo kazini? Ok let's assume hujui, 1 hakuna uchunguzi uliofanyika, 2 anayepaswa kufanya uchunguzi ni serikali ya kichaa jiwe, 3 kwanini hajafanya bcoz wanaopaswa kufanya uchunguzi ndo hao ambao lissu anawatuhumu kuhusika. Sasa jiongeze kidogo uelewe kwanini wamekataa uchunguzi ufanyike km hawahusiki?
 
Swali lingine,wa kuhojiwa ni dereva wa Lissu tu?

Wale askari pale aread D waliopaswa kuwepo kazini wamehojiwa?

Au kuwahojI watu wengine wanaostahili kuhojiwa ni mpaka kwanza dereva wa Lissu ahojiwe?
Dereva aweza kuwa anajua kwa nini Askari wale hawakuwepo. ndio maana halisi ya Consipiracy. Hata jambazi anaweza kupanga na mlinzi asiwepo eneo la lindo siku anaenda kuvunja godauni aibe. Nguvu iliyotumiwa kumutafutia dereva visa ya ukimbizi ubelgiji ingetumiwa kumrudhisha upelelezi ungefikia hatua
 
Najibu hiyo namba 3 na 4.
Uchunguzi umekwamishwa na Team ya Lissu mwenyewe, kwa kumficha dereva. Upelelezi huwa ni chain ya matukio, tukio hata liwe dogo kiasi gani linaweza kuwa na maana kubwa sana kwenye upelelezi.
Niliumizwa sana na tukio lile, lakini kilicho endelea mbele na hasa vitendo vya team ya muumizwaji vilianza nitia mashaka na vinaendelea nitia mashaka kuwa huenda ni sinema kama lile la Recep Tayyip Erdoğan.
I presume I'm not the target of your comment na kwamba upo kwenye mkataba wa kazi ya waliohusika na risasi 38 kwa lissu. Ok fanya umenilenga mimi na mi nakupa mfano huu, umebakwa ukaharibika vibaya, wenye dola wamekataa kufanya uchunguzi. Sasa jamii inakuliza Mmexico wewe unamshakia nani ktk hili? Jibu lako 'wenye dola' Baadaye ukapata taarifa wenye dola wanamtafuta mwenzi wako watengeneze ushahidi na kwamba kabla ya tukio walishawahi kusema 'we ni 'msaliti na dawa yako ni moja' Utafanyaje? Chini ya dola ya kichaa uchwara mwenzi atafinywa asema kwa umma mbowe ndo mhusika mkuu na baada ya hapo anapotezwa ili kuendelea kuachwa kwenye hangover wale mliopewa kazi ya kuwasaidia kufikiri
 
Dereva aweza kuwa anajua kwa nini Askari wale hawakuwepo. ndio maana halisi ya Consipiracy. Hata jambazi anaweza kupanga na mlinzi asiwepo eneo la lindo siku anaenda kuvunja godauni aibe. Nguvu iliyotumiwa kumutafutia dereva visa ya ukimbizi ubelgiji ingetumiwa kumrudhisha upelelezi ungefikia hatua
Nyie na kichaa wenu jiwe hakuna wakumsaidia mwenzeka, iq yenu iko level 1. Mlifikiri kabisa mumpate dreva mkamfinye ili asema mbowe au chadema ndo wahusika na baada ya hapo mnampoteza, mmechelewa sana, kila mtu abebe mzigo wake
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.

Kama nitakuwa nimekusoma na kukuelewa vizuri unataka umma uelewe kuwa Lissu (akijua/ bila kujua) anashiriki katika kumficha mtu aliyetaka kumuua?
 
Back
Top Bottom