Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Siyo Dereva tu hata Lisu mwenyewe ni suspect! Kumbuka kabla ya kujeruhiwa Lisu alikuwa anafanya kila kitu kushawishi mataifa ya nje yaichukie serikali ya awamu ya tano - Kwa mwendelezo huo anaweza akawa amepanga ajeruhiwe kusudi serkali ipakaziwe. Sasa katika kutekeleza hilo mambo hayakwenda kama walivyopanga ndo akaumizwa vibaya. Lakini siyo kichwani au sehemu za mwili hatari! Na yeye alishiriki katika mpango huo. Matukio kama hayo yameisha shuhudiwa pengi - hasa katika wivu Wa mapenzi. Sasa wanachelea Dereva kubanwa akasema! Nafikiri wapelelezi Wa dola walisha liona hilo.
Kwahiyo hao wapelelezi wameshindwa kumpata dereva? Nyie jamaa hivi mna akili gani? Eti Lissu amfiche dereva alafu vyombo vya dola vishindwe kumpata...hivi ukiondoa ushabiki na ukaamua kutumia akili yako hilo linakuingia akilini??
 
kujadili hii ishu ni kama kupoteza mda sasa mashahidi wa tukio ni watatu CCTV dereva na Lissu mwenyewe selikari imeficha cctv camera chadema wanamficha dereva Lissu anaongea kisiasa hakuna ukweli utakaosemwa na upande wowote ule

Dereva alikua Nairobi hakuna aliyetaka kumfuata!! Hii kitu bado ni mbichi sana, ila ukweli utajulikana tu
 
Ni kweli kabisa ila Mayalla Leo ile post au kaandikiwa au ipo hacked sio Yule role model ninaemfahamu kabisa. Kashindwa hata kuhojI walinzi waliondolewa getini?
Hao majambazi walowatoa police mchana kweupe? ?? Kisha wakaamuru cctv camera kwa Waziri ziondolewe?? Hakuna asie na bei nimeelewa. Wewe unajulikana sina shida ila Pascal? ?
Kila mtu anahoji anapoona anaweza kuhoji, itakua jamii ya wasomi wa aina gani kama wote tukazane kuhoji jambo moja?We hoji camera,Mimi nihoji serikali mwingine dereva na mwingine angle nyingine.Ni jambo la ajabu kumfanya mtu mwenye akili timamu awaze sawa na utakavyo
 
Binafsi nalipongeza jeshi la polisi lilivyoi-handle hii issue,Mtu akileta ujuaji ilhali tukio Zima linahusu ustawi wake mnaachana naye mnaangalia walioko tayari kutoa ushirikiano.
Mwenyewe najiuliza kulikoni mhanga kuleta ujuaji sana?Yani ye ndo anajua kila kitu kiasi vyombo husika vifuate maelekezo yake.Mara police Tanzania haina haki ya kuja kunihoji Kenya mara ooh cjui nn.Huu ujuaji wengine tunapata Shida kujua userious wa muathirika
 
Nyie ni wapumbavu na nyei ndio wahusika hizi za kuzungumzia dereva ni geresha tu ila DAB na Jiwe( ibilisi mkuu) ndio wahusika directly hakuna kumung'unya maneno hapa.

Yaani unataka kusema Lissu na Derecmva wske ndio wahusika na tukio la kupigwa kwa Lissu? Kwamba mtuhumiwa namba moja ni Dereva harafu huyo huyo dereva anafichwa na Lissu??

Wapumbavu dunia hii hamtaisha.
Kwanini wasiwe wahusika kama wanatoa maelezo ya kbongo movie?Yani wanakuambia waliona wanafuatiliwa wao kimya tu,wakaona watu wameshika siraha za kivita et wakaanza kujificha. Hahahahah yaani kuvamiwa wao wamechukulia kama mchezo wa kombolela
 
Hivi kwa akili yako unafikiri dereva kajificha na polisi wameshindwa kumpata/kumuhoji?
Kenya/Ubelgiji ni kwamba hakufikiki? Hivi ingekuwa ni jaribio la kumuu rais huyu dereva angekuwa uraiani mpaka leo?
Kwahiyo serikali ikampigie magoti lisu kuwa tunamuomba dereva tumhoji?
 
Kwahiyo hao wapelelezi wameshindwa kumpata dereva? Nyie jamaa hivi mna akili gani? Eti Lissu amfiche dereva alafu vyombo vya dola vishindwe kumpata...hivi ukiondoa ushabiki na ukaamua kutumia akili yako hilo linakuingia akilini??
Mwambieni lisu arudi Tanzania kudai haki yake
 
Kwani Lisu aliwahi kukataa dereva asiojiwe mazaa??
Sa si amtume dereva wake Tz ahojiwe? Au kwanini wasirudi kufungua kesi kudai haki yao?Mwenye kutaka haki ni lisu sio serikali, so lisu anawajibu mkubwa sana ktk kutengeneza mazingira ili apate haki yake lkn kwa huu ujuaji wake napata Shida kujua jamaa anajua anachokipigania au ndo kutafuta kiki za kijinga
 
Kwa wanaomfahamu PASCAL MAYALLA zamani alikuwaga kichwa saana ila siku hizi sijui kimepata nini. Kawa mtupu mno, hawezi hata kujenga hoja.
 
Ndugu yangu kuna siku ukweli utafahamika tuuu. Kila siku watakuja na hoja tofauti kuhalalisha kuwa wanachokisema ni kweli japo wenyewe wanajua fika kuwa ni uongo. Ni wazi kuwa hata Lissu hataki dereva ahojiwe pamoja na kumfundisha mambo ya kuongea karibu mwaka mzima. Usishangae wakasema dereva ameomba hifadhi ya kisiasa huko aliko. Na ikilazimika akaja TZ naona uwezekano wa hao hao kumwuua na kusingizia serikali. Naamini mpango ulisukwa na Lissu na wenzake ili ashambuliwe ila wenzake kama kawaida yao wakabadilisha gear angani wakawaambia wale washambuliaji wammalize kabisa. Sasa Lissu atapenda hiyo ifahamike? Na wale wenzake watapenda ifahamike? Ni wazi dereva alihusishwa na wanaona anaweza kutoa siri. Fikiria gharama inayotumika kumficha huyu dereva. Karibu mwaka mzima amekaa nje ya TZ akifundishwa ya kuzungumza pindi akihojiwa na serikali. Ikitokea wakaamini kuwa hajafuzu watamwondoa tu ili kuepuka aibu.
Mimi nashindwa kukuelewa kwa maneno yako kumbe ile ni bongo movie waliekiti kuwa tundu lisu ashambuliwe?ila mimi Nina kumbukumbu siku ile ile rais alitoa pole kwa lisu na akaamuru hao wahusika wanapatikana kama ni ingizo rais angetoa pole na angesema wahusika watafutwe?na kama ni akina Mbowe wamefanya hivyo mbona wasipelekwe mahakamani au wahojiwe mnawaogopa nini? Na huyo Dereva mnataka kumfanyia nini?mimi sikuzote napata mashaka sana na hawa wanaomtaka Dereva kama ni ndugu yangu ningemsihi asije Tanzania mpaka pale mambo haya yatakuwa yameisha ila akina hata kuwa salama nikuombe sana tukio la lisu usiseme ni mchezo wakati unajua kabisa sheria ya kutakakujizuru ni kosa ila hata wewe usidhani uko salama sana hii ni dunia hata kama ni upenzi au ajira usifanye dhihaka kwa tukio la tundu lisu tuendelee kumbombea tumshukuru Mungu amependa awepo hai hadi Leo atarudi nyumbani
 
Kwa hiyo wewe unapendekeza serikali ya nchi hii iliochaguliwa kidemokrasia ipinduliwe au ? Wacha ujinga ndugu ! Tembelea Libya na Iraq walau mitandaoni uoene ya huko halafu rudi humu JF na pendekezo mbadala.
Wapi kataja hivyo? Au wewe umeamua kumuongezea maneno ili ifanane unavyotaka? Hizo nchi ulizotaja kama rejea hazifanani na usiudanganye moyo wako kuwa mapinduzi yale yalifanywa name umma! Au unafikiri kila mtu humu hajui kama wewe? Iraq walipigwa na Marekani wakishirikiana na NATO na hata Libya marekani kashiriki na ndiye aliyefanya! Jifunze kuogofya!
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.

Ni kweli dereva wa Lissu ni shahidi nambari 1 na ni mtu muhimu nambari 1 katika upelelezi wa tukio hili. Kuna kitu kinaitwa witness protection programme. Ni kumlinda shahidi kutokana na madhara atakayoweza kupata kwa washukiwa. Sijawahi kusikia tamko kutoka vyombo vinavyohusija kuhusu guarantee ya usalama wa shahidi huyu nambari 1 katika sakata hili. Hakuna cha kuwazuwia vyombo vinavyohusika kumuhoji huyu dereva huko alikokuwepo NBO na aliko sasa, sheria zinaruhusu.

Kwa nilivyosoma andiko moja wapo humu ndani ya kuwa aliondokea hati ya zarura iliyoyolewa na serikali ya Ubelgiji, ni imani yangu ya kuwa huyu mtu kwa sasa yuko katika witness protection programme ya serikali ya Ubelgiji. Ushawahi kumuona paka kumfukuza buku akawahi kuingia pangoni mwake? Utamuonea huruma aisee!
 
Mimi nashindwa kukuelewa kwa maneno yako kumbe ile ni bongo movie waliekiti kuwa tundu lisu ashambuliwe?ila mimi Nina kumbukumbu siku ile ile rais alitoa pole kwa lisu na akaamuru hao wahusika wanapatikana kama ni ingizo rais angetoa pole na angesema wahusika watafutwe?na kama ni akina Mbowe wamefanya hivyo mbona wasipelekwe mahakamani au wahojiwe mnawaogopa nini? Na huyo Dereva mnataka kumfanyia nini?mimi sikuzote napata mashaka sana na hawa wanaomtaka Dereva kama ni ndugu yangu ningemsihi asije Tanzania mpaka pale mambo haya yatakuwa yameisha ila akina hata kuwa salama nikuombe sana tukio la lisu usiseme ni mchezo wakati unajua kabisa sheria ya kutakakujizuru ni kosa ila hata wewe usidhani uko salama sana hii ni dunia hata kama ni upenzi au ajira usifanye dhihaka kwa tukio la tundu lisu tuendelee kumbombea tumshukuru Mungu amependa awepo hai hadi Leo atarudi nyumbani

Wengine si wakujibiwa maana wako kazini kufikiri kwa niaba ya wapiga kura wa ccm
 
Sa si amtume dereva wake Tz ahojiwe? Au kwanini wasirudi kufungua kesi kudai haki yao?Mwenye kutaka haki ni lisu sio serikali, so lisu anawajibu mkubwa sana ktk kutengeneza mazingira ili apate haki yake lkn kwa huu ujuaji wake napata Shida kujua jamaa anajua anachokipigania au ndo kutafuta kiki za kijinga
Hujui unachokitetea kabisa na ni bora ungesoma hoja za wenzako na kupita kimya! Hebu jiweke kwenye nafasi ya Lissu, kisha ujizungumzie huenda ungelia michozi!
Hivi ni kweli mnajadili hoja Ya Lissu mkiwa na akili huru au kwa ujira? Kama mmeuumbwa kwa nyama na damu na unaishi bila maumivu shukuru na usiwabeze Wala kuwanyanyapaa walio kwenye shida na maumivu ya lazima kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kumdhihaki Mungu!
Wote msioiona shida ya Lissu mna tofauti gani na wale wanaoua watoto na wazee kule Syria na Yemen? Mna tofauti gani na yule mpigapicha aliyempiga picha tai akimnyanyua na kumrarua mtoto aliyekuwa ameteseka kwa njaa iliyosababishwa na vita kule Sudan kusini badala ya kumsaidia?
Msisahau kuwa haya ni maisha na dunia ni duara na tunapita! Tujifunze mamma Ya kuzuia tatizo ili lisijirudie kwani hatujui likirudi linamrudia nani kati yetu!
 
Back
Top Bottom