ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
- Thread starter
-
- #161
sipendi mwanamke anaeongea saaana kama wewe...mara nyingi ni watata,na trust me hakuna muoaji anaependa hii kitu...ushauri tu kama na wewe unasubiria ndoa..mimi nilishaoa tangu mwaka jana
heheheehe acha nikomae ng`wana wane maana maji nimeshayavulia nguo acha niendelee kuyaoga ikibi na kuyanywa kabisa.
Umesema kuwa lara 1 hajaolewa;
Kinachokusumbua hapo ni nini kwani, pamoja na kuwa mengine
uliyoyakoti ni ukweli pia.
Yeye alisema tu kama ule mfano wa abunwasi aliyejenga nyumba
hewani.
Ndoa ngapi zinamomonyoka kama barafu ya mlima kilimanjaro?
Ndoa ngapi kila mwanandoa analala chumba chake?
Ndoa ngapi mwanaume analeta mwanamke mwingine hadi ndani?
Ndoa ngapi mwanamke huwezi uliza kipato cha mume?
Wengi wanakwenda hivyo hivyo ili mradi siku ziende.
Na akibondwa na mumewe pia aje hapa atoe ushuhuda.Hata mimi namuombea lara 1 apate mme ili iwe ushuhuda na atasaidia wengi.
ivi why shuld you bishana nae mkuu??...mi nabishana na anaelala uch.i kama mie
Kama ya mama yako mzazi, atayokuji mama yako alipo fikisha baba yako ndo hapo hapo! Exactly! Ask no more!Kwani milage inasoma ngapi saivi?
Hahahaaa! KAMA NI HIVO NA WEWE USIBWABWAJE! Ukibwabwaja mimi nakuchamba wima wima vizuri tu kwani we nani labda.? Uliniita mwenyewe kwenye uzi wako!Kumbe tuko wengi, mimi mwanamke anaye bwabwaja kisa eti ana uhuru wa kuongea sipendi hata kidogo.mwanamke hufunua kinywa kwa hekima si kila neno linalotoka kinywani anatapika.
Kumbe tuko wengi, mimi mwanamke anaye bwabwaja kisa eti ana uhuru wa kuongea sipendi hata kidogo.mwanamke hufunua kinywa kwa hekima si kila neno linalotoka kinywani anatapika.
Sasa umeniitia nini hapa?
Eti sio kweli wote wanaotanga tanga wamepotea?
Umesema kuwa lara 1 hajaolewa;
Kinachokusumbua hapo ni nini kwani, pamoja na kuwa mengine
uliyoyakoti ni ukweli pia.
Yeye alisema tu kama ule mfano wa abunwasi aliyejenga nyumba
hewani.
Ndoa ngapi zinamomonyoka kama barafu ya mlima kilimanjaro?
Ndoa ngapi kila mwanandoa analala chumba chake?
Ndoa ngapi mwanaume analeta mwanamke mwingine hadi ndani?
Ndoa ngapi mwanamke huwezi uliza kipato cha mume?
Wengi wanakwenda hivyo hivyo ili mradi siku ziende.
''Hakuna Baba Mwenye Gari, kuna Baba mwenye Nyumba tu....!''
Na akibondwa na mumewe pia aje hapa atoe ushuhuda.
JIBU LINATOKANA SWALI! Swali likitakaa kuchabwa unachabwa tu, ukiuliza kistaarabu unajibiwa kistaarabu, ukitaka tusi nakupa la kusindikizia ugali!Mbona panic tena kulikoni? Hahaha take it easy my lala1.
na mara nyingi wanawake wa aina yako huwa wana sura mbaya,umbo bovu, mashauz clasiic tu...na huwez kua una kazi ya maana mjini!!Hahahaaa! KAMA NI HIVO NA WEWE USIBWABWAJE! Ukibwabwaja mimi nakuchamba wima wima vizuri tu kwani we nani labda.? Uliniita mwenyewe kwenye uzi wako!