Majibu kwa lara 1

lara1 my twin jana ulikuwa off-key kabisaaaaaaaa...... Yaani hukuniclick kabisa na mada yako... Ulizingu


Dont call this a hypocrisy coz ni busara pia kukubaliana kutokukubaliana...

Hata mimi mada ya wadada above 30 AMBAYO NDO CHANZO CHA YOTE kidogo inidedisheee! Niliandika napumulia mashine JAPO NIACHE WOSIA!

Mkuki kwa single ladies eeeh kwa binadamu mchunguu!
 
I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo

Naomba kukutaarifu mwanzo wa yote ulikuwa UZI WA MGIRIKI DHIDI YA WADADA WALIO 30 AND ABOVE WALISULUBISHWA KAMA SIO WATU VILE![/QUOTE]

Kama sikosei yule mgiriki ni mwanaume, kwahiyo ile mada yake sikuichukulia criaz na wala siku comment chochote kwasababu nilijua mwanamke hawezi kuandika kitu kama kile
 
Ukweli nahitaji kukutana na Lara 1 please mfikishieni ujumbe! Nimekua nikisoma trend zake mara kwa mara yupo muwazi na anawakilisha vizuri kile anachofikilia! Ndoa hizi hazifungwi na malaika ni ndoa za kibinaadam! Hata single ladies dio wengi wanaongoza kuwa na relation na wenye waume!! Hivo kotekote Hakuna usalama!!
 

lara 1 unajenga hoja kupitia post za jf kwamba wengi wanalalamika waume zao wanataka Zanzibar,post nyingi humu ni za kutunga ili kufurahisha jukwaa na ndiyo maana hata ushauri wenyewe umekuwa wa mizaha tu,fikiri mtu anaanzisha post 3 mpaka 4 kwa siku anaelezea masahibu yanayompata kwenye ndoa sisi tuliomo kwenye ndoa tunajua uongoooooooo!

Kutunza siri ni sehemu ya ndoa ni sawa na polisi kulazimisha asivae kofia akiwa kazini huiwezekani,matatizo yaliyomo ni ya kawaida sana binafsi sijaona tatizo au kwa vile nilipata mtu sahihi.sisi hatuwasemei mambo yenu ila tunawaelekeza njia inayo wafaa maana tulishapita huko mliko tunajua changamoto za huko ndo maana tunawashauri na kuwaelekeza njia ya kuingia nchi iliyojaa maziwa na asali.

Ndoa faraja baada ya masahibu ya ujana labda kama mtu alikosea mwenza.
 
Halafu wengi wao wanazitamani ila bahati haijawaangukia,wanaponda huku mioyo inawachoma hivyi kuna mtu asiye penda kukaa na mme anayempenda wale na kunywa pamoja watembee pamoja akiugua anamwangalia kama mtoto wake?
Hahahahaaaaa! Today is your lucky day! Niko na MKE WA MTU HAPA ANANIOMBA NIMTAJIE DAWA YA KUTOA MIMBA YA 3 DAYS (THE AFTER PILL) MANAKE KACHEZA MECHI YA NJE KAVU KAVU MKE WA MTU HUYO CHUPI INAMBANA HAPA, MOJA HAIKAI, MBILI HAIKAI. HAHAHAAAAAA,

Wanandoa kwa HYPOCRISY hamna mpinzani, JIPETE KUBWAAA, mda kama huu ndo mnakuwaga wa wazi, maana kumuuliza why, AKATIA MUME MWENYEWE KIBAMIA YULE, MI NIMEFATA FUTURE TU PALE! Hahahahaaaaaaa! (Sicheki kama mazuri la hashaaaa! Nacheka kwa masikitiko tu!)
 
Mkuu kwa jinsi ulivyoandika hii mada yako naweza kuona busara na utu uzima ulioko kwenye maandishi yako

Ninachotaka nikushauri ni kuwa mabinti aina ya lara 1 wanakuwa na mitizamo hii kwakuwa wanakuwa wanapambana na hofu zilizoko ndani mwao kuhusiana na suala zima la ndoa,wanaiogopa

Sasa wanadhani kupambana kwa kuipaka matope wataokoka nayo

Nadhani unajua kabisa kuwa mtu kama anakuogopa atashinda mtaani kwenu akikukashifu kila uchao,anapofanya hivyo sio kwamba anafanya hivyo kwakuwa na lengo la kukupaka matope,hapana,anakuwa anapambana na hofu zilizoko ndani mwake kwakuwa anajua kabisa anakuogopa sana

Huyu mwache na akiendelea kukua atakuja kugundua kuwa alichokuwa anakiogopa hakikufaa kuogopwa hata kidogo kwani ni cha kawaida,nilipokuwa na umeri fulani hivi nilikuwa napambana na vijana wenzangu ambao walikuwa wanajiingiza kwenye ndoa

Lakini zaidi nilikuwa nashauriwa na watu wazima kuwa kinachonisumbua ni hofu ya ndoa na umri tu lakini sikuwaelewa,waliniambia kuwa siku nikija kuoa au kukua mambo yatabadilika sana

Leo hii sijaoa lakini nimekua na nayaona mambo kwa mapana yake na sina haja ya kuikashifu au kuisema vibaya au kuigopa ndoa kwakuwa huo ni utoto!!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa! Hio ya Zanzibar mahakama yake SALUNI, WANANDOA WANALIAJE MANAKE BI MDOGO ZANZIBAR ANATOA, YEYE NDO ANAJISHAURI aachie buti lifunguliwe au waiache ndoanoooo! Maofisini humuu napo wana tungaa, vyoniia wanawake wanatunga Zanzibar kumalizwaaa? HAHAHAAAAAA! Msitudanganye! Wengine WANAUME MNAGOMA KULA ZANZIBAR WAKE ZENU WANASHINDWA KUVUMILIA ZANZIBAR WANAZITOA KWA VIJANA KWA PROMOSHENI, SIKU YA KUZAA MWASHANGAA MWATUKANWA! MUULIZE MKUNGA YOYOTE HALI YA ZANZIBAR KWA WAKE ZA WATU WANAOJIFUNGUA IKO VIPI?

SIO WANANDOA WOOOTE NDO NAWALENGA HAPA LA HASHAAA BAADHI YENU MLIOZOESHWA HUU MCHEZO WA ZANZIBAR MNAWAHARIBIA WENZENU! WENGINE KUKWEPA MIMBA KUCHACJUA DAMU NDANI YA NDOA NDO MNAIKIMBILIA ZANZIBAR! Laaanakum hiii!

HUO USIRI NDO HYPOCRISY YENYEWEEEEE! Mabaya yako wayaficha na kujikausha yawengine washiriki kusikitisha! Huoni kwa mfumo huo wanandoa mnawaonea wasio na ndoa!
 

sipendi mwanamke anaeongea saaana kama wewe...mara nyingi ni watata,na trust me hakuna muoaji anaependa hii kitu...ushauri tu kama na wewe unasubiria ndoa..mimi nilishaoa tangu mwaka jana
 

HAHAHAHAAAAAAAAAAA!

Huu wala sio mtizamo NI UKWELI HALISI WA MAMBO YALIYOPO KWENYE JAMII YETU SEMA WATU SABABU UNAFIKI NA JADI YETU WANAFUMBIA TU MACHO! ILA HAMNA JOPYA CHINI YA JUA KATIKA YALE NILIYOYATAJA!

Hofu iliyokuwa ndani yako wewe isemee nafsi yako, kujifanya unayajua ya nafsini mwetu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juuu! We mambo ya nafsini mwetu umeyajuaje? Tangu linibinadamu akajua ya nafsini mwa mwenzie? UONGO MTAKATATIFU HUO!

Haijapakwa matope YAMESEMWA TU BAADHI YA WAYATENDAYO WANANDOA! JIPUA LIPI CHINI YA JUA KATI YA YALE AMBALO WANANDOA AMBAO WANAKILA MPAKA ZANZIBAR HAWAJATENDA? Punguzeni unafiki kidogo,

MIMI SIMUOGOPI MTU YEYOTE HUMUUUUUU! Namuogopa Mungu tu! NA KAMA YA UONGO MBONA KIMEWAUMA MNATAPA TAPA? JIWE NILIRUSHA GIZANI SI MNGELIPUUZA TU? Nyooooooo! Nimepiga ikulu mnabakia kuweweseka kuanzisha thread!

Upuuzi mtupu NIKUE MARA NGAPI? Mmeishiwa hoja mmebakia na umri! Jepi wanalofanya watu wazima mi sifanyi!

AFU USIPENDE KUJIFANANISHA MIMI NA WEWE, WEWE KAMA UNAYAOGOPA MAISHA, SIJUI NDOA, SIJUI WATU WAZIMA, SEMEA NAFSI YAKO, SIO KUTUSEMEA WATU USIOTUJUA SABABU UNADANGANYA!

MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION PERIOD,!!?!!
 
Ni kweli lakini sehemu kubwa ya maelezo yalikuwa kukandia ndoa! As if anashauri wasiende kwa sababu ndoa siyo.

Achana na yule. Ni kama yule muongozaji wa kipindi cha MKASI cha EATV (Sijui Salama) dizaini flani hivi za usagaji sagaji hivi!!
 
Hata mimi mada ya wadada above 30 AMBAYO NDO CHANZO CHA YOTE kidogo inidedisheee! Niliandika napumulia mashine JAPO NIACHE WOSIA!

Mkuki kwa single ladies eeeh kwa binadamu mchunguu!

Tunapowakanya wadogo nia ni kuwasaidia msing`ang`ane na vitu ambavyo havina maana Mgiriki amesema kwenye uzi wako kuwa alikuwa anawaonya wadada ambao ni selective sana mpaka umri umewapa kisogo.
 
Umesema kuwa lara 1 hajaolewa;

Kinachokusumbua hapo ni nini kwani, pamoja na kuwa mengine
uliyoyakoti ni ukweli pia.

Yeye alisema tu kama ule mfano wa abunwasi aliyejenga nyumba
hewani.

Ndoa ngapi zinamomonyoka kama barafu ya mlima kilimanjaro?
Ndoa ngapi kila mwanandoa analala chumba chake?
Ndoa ngapi mwanaume analeta mwanamke mwingine hadi ndani?
Ndoa ngapi mwanamke huwezi uliza kipato cha mume?

Wengi wanakwenda hivyo hivyo ili mradi siku ziende.
 
sipendi mwanamke anaeongea saaana kama wewe...mara nyingi ni watata,na trust me hakuna muoaji anaependa hii kitu...ushauri tu kama na wewe unasubiria ndoa..mimi nilishaoa tangu mwaka jana
Hahahaaaaa! HIVI HATA KWA KUTANIA NIMEWAHI KUSEMA NAPENDA MWANAUME KAMA WEWE? Hahahahaaaa! Unachekesha kweli!
MIE HATA NIPEWE BUREEEE SITAKI UNIOE! Hata niwekewe kisu shingoni SITAKI UNIOE!

So dude KEEP YOUR DISTANCE!

MDOMO MALI YANGU, NITAONGEA MPAKA MWISHO WA DAHARI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…