Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

anazani ndoa simple act hajui pale heshima kuu inaanza tawala kashazoea vigodoro cant blame ila nikiambiwa nimuoe lara bora niweke box nilipe jina latifa kuliko kuka na huyo mfugo unaweza pata murdercase for pulling a trigger

Hata yeye nafikiri anajua hana sifa za kuwa mke wa mtu.
 
Mkuu umeuliza maswali 'logic' sana ambayo inabidi mtu atulie sana ili atoe majibu. Kwa aina ya majibu ya huyo uliyemuuliza anayotoa sidhani kama atajibu. Huu uzi ulitawaliwa kwa vijembe kama bunge maalumu la katiba, ila kwa jinsi ilivyo, mtu kishasoma na kuelewa tofauti kati ya usiri wa changamoto za ndoa na 'unafiki' wa wanandoa.

Mwenye kusikia na asikie.....Ndoa na iheshimiwe na watu wake pamoja na changamoto zake.
 
Halafu wengi wao wanazitamani ila bahati haijawaangukia,wanaponda huku mioyo inawachoma hivyi kuna mtu asiye penda kukaa na mme anayempenda wale na kunywa pamoja watembee pamoja akiugua anamwangalia kama mtoto wake?
Tena wanaenda mpk kwa waganga il wazipate lakini wapi, wanaishia kutukana na kuponda kuwa Ndoa si nzuri lkni moyoni wanaumia,
 
Tena wanaenda mpk kwa waganga il wazipate lakini wapi, wanaishia kutukana na kuponda kuwa Ndoa si nzuri lkni moyoni wanaumia,

biashara yao imekuwa ngumu now wanaona wavuruge kote period:
 
Kukosa jf siku mbili tatu inaelekea nimemiss mengi!
 
Hahahahaha unani chekesha yani unasema inabidi mnyamaze kwakuwa matatizo hayafanani? Wakati kila leo wanao amua kuyaeleza asilimia kubwa yana fanana?

Pengine mnajaribu kuonesha kuwa ndoa ni taasisi yenye mazuri tuu? Pengine mnafikiri ukweli ukisemwa wengine hawato tamani kujiunga!

Mnachotakiwa kujua kuwa hata kama mkisema mabaya yanayo wakumba ,watu hawato acha kuingia kwenye ndoa bali watazidi kujifunza!

Unadhani labda kinachowafanya wachelee kusema ni ili watu wasione kuna mabaya ili wawe wasononekaji ( na watunza siri) wengi ?
 
Kweli kabisa Lisa wanapishana kwa masangoma kugeuza mioyo ya wanaume lakini wapi!

Rafiki yangu kabisa ana miaka 38 sasa anampango wa kwenda kwa TB Joshua kuomba muujiza aolewe. Hapa kuna kujazana ujinga nyumba ya keyboard lakini kwenye maisha halisi ndoa ni muhimu sana, na katika maisha kuna changamoto zake!
 
Halafu wanakuja kupotosha hata roho zao zinawasuta, ndoa ni muhimu na kweli ulivyosema ni maisha gani yasiyo na changamoto kuzaliwa tu ni changamoto tayari.
 
Tena wanaenda mpk kwa waganga il wazipate lakini wapi, wanaishia kutukana na kuponda kuwa Ndoa si nzuri lkni moyoni wanaumia,

Lisa mambo? Mekumisi sana mimi:angry::angry::angry:
 
Acha longolongo, kaolewe huko. Kama umekosa bwana njoo kwangu nikuoe uwe mke wa tatu.

Jamani mwamsheni lala 0, miss neddy wake make hawajalala taabu hii ya kukosa ndoa in hatari sana. Usichana wao wamechezea chuoni wakiamini mtaani mambo safi.
 
Back
Top Bottom