Majibu kwa lara 1

NDOA INA MIAKA 28, MIMI WA MWISHO NA WATOTO WOTE WAMEZALIWA NDOANI! My motherwas a woman of virtues,

lara 1
mamako amekuwa hero wako kwenye mengi sana!!
umewahi kufikiria kumfanya awe hero.wako kwenye ndoa na mahusiano
anzia uchumba wake mpk kuwalea mwenyewe akimake kwa mshahara na kufuga,bado.mlisoma,mlivaaa,mlikula na aliendelea kutuma nauli kwa mumewe ulaya arudi !
na aliporudi alimpokea!
wana ndoa ya miaka 29 sasa!
aint that lovely ?
 

Ndio maana nimekwambia ndoa hazifanani... Kila watu na style yao. kama ndugu/ shosti wako anawaamsha matisa ya usiku, ana emoro, kaharibu wtt sijui, ni ndoa yao, siyo zetu. You cannot generalize huo mfano wako kwa kila ndoa.

and, there is nothing wrong with being 40 and single.. as long as you are emotionally and mentally satisfied with your choice
 
NDOA ZA WANAZOJIHESHIMU NDO NITAZIHESHIMU TUUUU HIZI ZA HYPOCRICY MTANISAMEHE BUREEEEEE! Haiwezekani nikutajie the AFTER PILLS afu kesho niiheshimu ndoa yako! Thubutuuuuuu! Au najua kabisaa kimada wako flani niheshim ndoa yajko! Thubutuuuuuu!

Hapo hapana hata mimi nakusapoti lazima wajiheshimu na sisi ndiyo tuheshimu
 
ndoa ina changamoto, na maisha bila changamono yapo dull. lakini changamoto hazifanani kwenye kila ndoa. utakayemuoa pia, hafanani tabia wala makuzi na mimi.

So, utakapooa utakutana na changamoto zako na utazisolve accordingly. uhitaji kuiga solutions za changamoto za ndoa yangu. Anavyonibembeleza mme wangu akinikosea, haimaanishi na mkeo atakubali kebembelezwa kwa style hiyo hiyo. au nachomfanyia mmewangu, haimaanishi na mkeo atakufanyia, au hata akikufanyia hivyo utaridhika. Subirini, kama mkiingia mtakutana na challenges zenu na mtazisolve kivyenu
 
Hii ni sawa na hadithi ya nyani 'Sizitaki mbichi hizo'
Nyani aliziona ndizi mbivu zilizomvutia zikining'ing'inia juu ya mgomba wake. Akatamani azipatte kwa kuzirukia ili azichume ale. Aliruka mara ya kwanza. Ikabakia kidogo kuzifikia. Akajaribu mara ya pili huku akiongeza nguvu zaidi, lakini kwa bahati mbaya hakuzifikia tena. Akajaribu mara ya tatu, uwezo wake wa kuzifikia uliendela kupungua kuliko hata alivyoanza. Kwa kukata tamaa ndipo akasema 'SIZITAKI MBICHI HIZI' Wenye kujua fasihi wanaweza sasa kumwelewa lara 1 kuandika alivyoandika. Mara nyingi huyu lara 1 huandika juu ya ndoa au wanaume. Mimi nadhani hayo ndiyo anayowazana hulazimika kutumia njia ya kuandika ili kupunguza msongo wa mawazo. Tiba mojawapo ya kukabiliana na msongo wa mawazo ni kuandika.
Ni kweli lakini sehemu kubwa ya maelezo yalikuwa kukandia ndoa! As if anashauri wasiende kwa sababu ndoa siyo.
 
Na mkija kuwaponda single ladies MSEME UKWELI TUNAWAPONDA ILA HALI KULE NAISHIKILIA KWA MAOMBI!

Haina haja ya kupondana,ila pale ambapo wanaenda ndivyo sivyo lazima waambiwe uhalisia wa maisha.Likewise to the married ones.
 
NDOA ZA WANAZOJIHESHIMU NDO NITAZIHESHIMU TUUUU HIZI ZA HYPOCRICY MTANISAMEHE BUREEEEEE! Haiwezekani nikutajie the AFTER PILLS afu kesho niiheshimu ndoa yako! Thubutuuuuuu! Au najua kabisaa kimada wako flani niheshim ndoa yajko! Thubutuuuuuu!

Hahahahaha, likewise to the singles anaejieshimu ataheshimiwa.
 

yani ww hasara tupu.
 

Well she is my and all BUT I HAVE TO DISAGREEE! It waa not a smart move! Maybe because she had two kids, kidogooo naweza muelewa ila angekuwa hana mtoto sidhaniii!

Yale sio maisha ni kusurbive tu! For what? Why should i pay for somebodys else mistake?

29yrs is lovely BUT THE OPPORTUNITY COST IS HUGE MEIIIIIN!

I am sorry but My mom is not my hero! She was too weak, too sweet, too devoted and and IT IANT COOL!
 
Hahahahaha, likewise to the singles anaejieshimu ataheshimiwa.
SASA MNACHOLIA LIA GENERALISATION IHESHIMIWE NA WATU WOTE NINI??? Au WOTE manake nini? Tulizeni ball kabisaaaaa! Usipoheshimu yako mimi hio watu wote tukuheshimu kama mazombi wakti mwenyewe mufilisiiii mtanisamehe!
 
Haina haja ya kupondana,ila pale ambapo wanaenda ndivyo sivyo lazima waambiwe uhalisia wa maisha.Likewise to the married ones.
This is what i call ALL CARDS ON THE TABLE!
 
Kuna mod kilaza, kafuta integral zangu hapa, hivi anajua muda nlotumia kuandaa ile post ili ilete maana na topik hii?
 
Hahahaaaaaaa! NDOA NIMEANZA KUIANDIKA HUU MFUNGO WA RAMADHANI, NDO HAMKALIKI HUMU ILA KAWAIDA MADA ZANGU ZINAJULIKANA SIO ZA SINKI NA DINING TABLE! Hahahaaaaa! Mambo hata ukioga jioni hutoki lea watoto hapo! Hahahaaaa! Na kesho nina mada mpya MPAKA MFUNGO UISHE MMU NI HALALI KUONGELEA NDOA TU!

Hayo mengine ni DUA YA KUKU, MASKINI KUKU AKESHA AKIOMBA, ALIA NA MOLA WAKE, ILA MWEWE MIE NIKISHUKA NASHUKAAA TU KAMA MVUA. KUKU WE OMBA DUA ZAKO WEEEE ILA MWEWE KAMA KAWAIDA KWA RAHA ZANGU HAINIPATI HATA ROBOOOOO!

Tangu lini kelele za chura zikamzuia tembo kunywa maji? Hahahaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…