Majibu kwa lara 1

mi nakula tu wazuri ila mazoombie daah nisamehe siwezi hehe
teamsurambaya mmepanic

Waliwaaaaaaaa tuuu weye mtoto wa kiume, wanaume wazuri wawajua pia teeeeeeeh! Wachaaaaa! Mtoto lainiiiii watu wanakufaidii tu! Kantangazeeeeeeeee! GAWA ZANZIBARA HIOO GAWA KWA PROMOSHENI UTUKOMOE SIE WABAYA YAKHEEEEE!

HAHAHAAAAAAAAAA! Wewe tene MOST BEAUTIFUL DUME GELO WA HILI JAMAVI.! Alaaaaaaaaaaa! Tutakupatia wapi sie ! WAPE WAPE VITU HIVO WAFAIDI MALI ZAKO MWENYEWEEEE!
 
sura na gender ni two issues tofauti hehe sokwe bana

hahahahaha tanteeeeeee haya weka yako anti tuone unavyotufunika hivi pampasi ushaanza kuvaa au mikwaju ya haja haijakukolea ant sajo hahahaha
 
mbona kama kigodoro hiki mwali yupo wapi????

mwali ni REALITY a.k.a sajo na keki tumemuandaliaa leo tunamfundisha na kukata kiuno anatuaibisha mnoooo kiuno kigumu kama toroli linakata kona
 
Last edited by a moderator:

Samaki mmoja akioza haimaanishi wote wameoza.Kuna watu wanafuraia ndoa zao mpaka unatamani ukimaliza kusoma hii thread na we ukaolewe.

Kuna wengine wanateseka na ndoa mpk utatamani sa ivi umwambie boyfriend wako its over.

Kuna pia walio single maisha yao hayaeleweki kama chura.Kuna wale pia wanafuraia maisha mpk utatamani kweli usioe au usiolewe.

Haya maisha yasikudanganye focus on your goals.
 
mwali ni REALITY a.k.a sajo na keki tumemuandaliaa leo tunamfundisha na kukata kiuno anatuaibisha mnoooo kiuno kigumu kama toroli linakata kona

Kakalia kujisifia suraa tu WAKATI ENGINE IMEKAKAMAA KAMA GARI IMEKATA CENTRE BOLT! Mbele hachezi nyuma hatikisikiiiii! Huyu mwali kweli kigegooooooo! Ma kungwi tumekula hasaraaaa!
 
wala always UKWELI UNAUMA na kukubali ukweli wanashindwa ... waende kwenye ustawi wa jamii waona matatizo yaliyopo kule mengi ni kutokana na ndoa .... NDOA wasidanganyike si jambo la kukimbilia hata kidogo ni KUZIMU NDOGO

Kama imefikia iyo point hamna ambae angekubali kuingia kuzimu.Sana sana watu naona wanakimbilia kuingia humo.
 
Kutwa wanashinda humu hata kazi hawana mala lara1 msipokuwa makini mtakufa maxini mfyuuuuuuuuuuuuuxxxxxxxxx

hahahaha hizi id mbili mbili hizi dina nisaidie kumng'amua huyu mwanaume anajua kusonya sijaonaga hahaha
 
mwali ni REALITY a.k.a sajo na keki tumemuandaliaa leo tunamfundisha na kukata kiuno anatuaibisha mnoooo kiuno kigumu kama toroli linakata kona

Tobaaa !!!! Hahaha makubwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Acha unafki wewe mwanaume hapendezi kuwa mnafki, wewe umemuona lara 1 tu wengine kutukana watu ruksa siyo?

Samahani mkuu nilikuwa sijaona wengine kama wapo waache mchezo mchafu.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
hahahahaha tanteeeeeee haya weka yako anti tuone unavyotufunika hivi pampasi ushaanza kuvaa au mikwaju ya haja haijakukolea ant sajo hahahaha

Khaaa we mwana Tabia ya kukesha kwenye vigodoro imeanza lini???
 

hahahahah mali zake mwenyewe halipiii kodi wala nini aendelee kuchuma mboga waongeze urefu wa shimo la taka lol
 

sina nyongeza mkuu umemaliza.ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 

mkuu mimi ni naogopa hii kitengo na yawezekana ni historia iliyopo ila sasa any way niiche hii kitu,,... kiukweli jamii itaniona muhuni lakini noagopa kufanya maamuzi kwa kuangalia jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…